Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Mfno wa hayo na majanga mengine lakin dada kuvunja ndoa ni jambo rahisi sana lakn kuja kupata ndoa Nyengine sio kiturahisi mm naona kuirekebisha ndoa yako kunawepesi kuliko kuivunja na kupata nyengine inaweza kuwa historia Kaa cku na Mama yko umuulize yy alivumilia mangap mpaka leo unaweza ukajivunza kitu
Sawa Mkuu , Ntafanya ivo
 
Unadhani kuna kingine mkuu ni wivu tu.

Na kingine huyu bibie aliyoyatarajia kwenye ndoa siyo aliyoyakuta, ni dizain ya watu waliopenda sherehe ama lah alikua na kimuhemuhe cha ndoa.

Alidhani labda ndoa itakua kama vile uchumba huwa, bahati mbaya mume akawa hashow vile alitarajia ndo hapo kelele huanza sasa.

Kelele zikizidi ndo hapo mume anazidisha ulevi, kelele zikizidi zaidi hata home jamaa harudi kabisa anaona ndoa chungu, mke kelele kibao bora hata asingeoa.
Mke nae anajuta kuolewa na hapo usikute wamekaa uchumba hata 2yrs.

Pole yao aisee, hawakujipanga na maswaibu ya ndoa.
Wala hkukua ni Kimuhemuhe ..Ni watu tuliojuana muda mrefu , Sema distance Factor ..Tulikua tunaishi mikoa tofauti
Nashukuru mungu, familia nilioitamani ndio nitakayo ishi nayo, we joho huyo ndie mume wako, fanya kubuni njia zitakazo mchomoa huko, na vumilia kuyapokea matokeo unayoyahitaji.
Hongera sana
 
Natamani kuvunja ndoa yangu.

Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.

Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.

Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:

1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.

2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.

Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Ni kazi sana kuishi na mwanaume mlevi. Nimeisha shuhudia ndoa nyingi kuvunjika sababu ya mume mlevi
 
Kuna jamaa yetu ni mlevi kupindukia,
Alishajua kuwa tunamsema vibaya kwa ulevi wake,

Kuna siku tuko na shemej yetu jamaa alifunguka mazima kuhusu tabia ya mkewe,
Mkewe aliwai toka na shem wake wa tumbo moja,

Jamaa akamgeuka mkewake unakataa!?

Dah yule shem akainamia chini kimya,

Jamaa akaturudia na sisi akatuuliza ni nani anaweza vumilia hili tukio?

Tukabaki midomo wazi,

Mambo ya ndoa bana usikilize pande zote, ila hii ya upande 1, ni kuchangamsha genge,

Mlianza vizur iweje sasa?
Lazima stori ikamilike kwanza! Usiseme tu mlevi, umemjua leo?!

Nini kimefanya apindukie ulevi na uasherati?! Je ni kweli ni muasherati au ana viashiria?!

Haya ni mambo muhimu kujua kabla ya chochote!
 
Hili ni gumu kukushauri, fuata moyo wako, ndo nachoweza kukwambia maana ukichepuka km yeye itakugharimu pakubwa bora muachane japo na kwenye kuachana kuna gharama yake ila haifikii kwenye kuchepuka,
Ushauri mzuri Sana
 
Nayeye angekuja hapa atoe Mapungufu yako maybe tungejua wapi pa kuanzia kushauri, sometime wanawake ndo chanzo, mwanaume anamua kukuonyesha dharau Ili uondoke kwa sababu ya Visa vyako unavyo mfanyia, Sjasema wewe
Sikiliza vile moyo unavyo kuongoza
 
Usiondoke, ukiona kero muue taratibu uishi kwa raha
Killer whore wew... Roho ya kichawi hiyo sio utani kbs kbs nataman bwana wako angeiona hii comment yko ajue anaishi na kiumbe chá aina gn

Wew ni "mnyamaa" period
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Natamani kuvunja ndoa yangu.

Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.

Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.

Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:

1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.

2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.

Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Mvumilie tu my friend ni suala la muda atabadilika. Kikubwa anatunza familia na anarud muombee Mungu anajibu. Kila dhahabu lazima ipite kwenye moto. Jifanye kama huoni makosa yake halafu zidisha upendo kisha usimuulize chochote kuhusu tabia zake. Kuwa tu na aman nae wala usimshitaki popote. Hutaamin ataacha mwenyewe.
 
Acha kujishughulisha na mambo yake mwaka mzima upime upepo...
Mpe funguo akirudi ajifungulie
Kuhusu kufumania pambana mtumie condom na nyingine uwe unamuwekea huko aendako ajikinge...
Usilalamike wala usigombane nae, fanya majukumu yako as usual ongezea na kujitoa out na mwanao, ongeza nguvu kwenye kazi yako au biashara kama unayo na kama una ajira tu tafuta na biashara ya ziada ilimradi ikuchoshe tu na kukeep busy FANYA KAMA HUJALI HATA KAMA MOYONI UNAUMIA HATA ARUDI ASUBUHI FANYA KAMA NI KITU CHA KAWAIDA
Kama ni mwanaume mwenye akili atashtuka na kujirekebisha, ukiona bado anaendelea na mambo yake basi hupendwi ONDOKA SIKU HIZI HATUSUBIRI MPAKA WAZEEKE, JALI KUISHI MAISHA MAREFU YASIYO NA MAGONJWA KWAAJILI YA MWANAO
 
Ingekuwa ndio kinyume chake…. Mwanaume kaleta malalamiko mke anacheat na mlevi kupindukia nilitaka kuona majibu yenu wanaume ( na wanawake) wote mliosema Huyu dada abaki na hio ndoa…?!
 
Natamani kuvunja ndoa yangu.

Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.

Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.

Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:

1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.

2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.

Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Mhhhh unaishi na mdogo wake!!! Hajawahi kukuomba mzigo ukaliwa kweli wewe?
 
Ungekaa tu,usubiri magonjwa na mambo mengine yatokanayo na umalaya?Daah! hii ni hatari sana,hata mume akiwa anasemwa vibaya kwa ulevi wake wewe hutajali,aisee na akipata maradhi ujue pia urasemwa kua yawezekana nawewe ni malaya ndiyomaana umepatwa na magonjwa yatokanayo na zinaa,sasa kwanini usifanye jitihada za kujiepusha na yatokanayo na umalaya...?
Daaah!
Nisingeangaika na mengine hayo
,u
 
Back
Top Bottom