Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Sawa Mkuu
Kiufupi ilibidi uolewe na mwanaume aliekuzidi miaka 10 yaan 28 na 38 wewe uwe km katoto umuheshimu sasa hapo 28 na 31 nyinyi mnaonana km washkaji tu heshima sifuri mnaendeshana tu na tena wewe ndio unamuona yeye ni mtoto kwako maana wewe unaonekana mkubwa yeye anaonekana mdogo, sijakwambia uvunje Ndoa yako lakini nimekwambia acha kelele sisi wanaume hatupendi makelele ukitaka kutuvuruga piga makelele
 
Mke wangu wewe hujui tu kwanini nachepuka.

Ulevi naweza acha hata leo ila kwenye kuchepuka labda uweze kunifinyia kwa ndani kama flora. Alafu tatizo lingine wewe kuna kitu hunipi ambacho nikienda kwa jackline ananipa
Huko unapewa nini Mzee mboni umefunika KOMBE
 
Labda mpeane space kwanza ili kila mtu ajitafakari na kuona umuhimu wa mwenzie kabla hamjafikia hatua ya kutalikiana rasmi.
jina lako limenikumbusha hilo kundi ngoja nikasikilize tena ngoma zao fireflies na kamikaze jamaa wanajua sana
 
Haujanielewa mkuu nimesema wewe ni kivuli chake halisi cha mienendo, tabia na matendo yake, ukiwa mtu wa kupenda ibada nae utamshawishi apende ibada ili mtembee njia moja umesema mlifunga ndoa kanisani je Mara ya mwisho kwenda kanisani pamoja ilikua lini?

Mkuu huyu mwenzangu Weekend Haonekani nyumbn
 
Frankly speaking, nimeupenda sana ushauri wako mkuu. Ndani yake umenena kwa kutumia busara ya kiAfrika na umejaribu kumueleza uhalisia wa kwamba sisi wanaume wengi wetu tunafanana ujinga.

Sijui ni kwamba sijakua ama nina ideals za feminism ila huwa nakasirishwa sana na namna tunavyomdidimiza mwanamke hasa wa kiAfrika, japo hata wanawake wa kiArabu wanapitia changamoto nyingi pia.

Story aliyoleta mtoa mada iko one-sided hivyo naacha benefit of the doubt. Lakini kama mwanamke angekua ndo analewa kupitiliza na ku'cheat mara kwa mara (hata mara moja tu), ungemshauri mwanaume the same thing? Na kama hapana, kwanini?

Jamii zetu mpaka dini imewafanya wanawake kuwa submissive na kuvumilia vitu ambavyo ni vya kipumbavu sana. Kwa review yangu ndogo, hii yote inatokana na hali ya uchumi.

Ni ukweli usiopingika kwamba, mwanamke kama mwanaume wako kakuzidi mbali kiuchumi na yupo na wewe sio sababu anakupenda sana bali anataka tu kuwa na mtu kwa sababu mbalimbali, UTATESEKA SANA. Hakuna rangi utaacha kuona.

Nina dada zangu wengi sana, nina mama yangu ambaye nimeona alivyonyanyasika na dharau za hapa na pale, nina wapwa zangu wakike kibao na hopefully ipo siku nitakua baba wa mtoto wangu wa kike. Natamani sana ifike siku wanawake waondokane na hiki kitanzi. Sipendi wala sitopenda kuona jambo kama hili linatokea kwa ndugu yangu ama kwa mwanamke mwingine yeyote.

A day should come when women know their worth. A day should come when women become economically and sexually liberated. A day must come when women choose happiness over social validation.

Ninae mpenzi wangu, nampenda sana ila bado nina tamaa za hapa na pale kwakua ni asili yetu. Ila namheshimu enough that siwezi fanya ujinga wa kumuonyesha kwa makusudi kwamba nina'cheat, NEVER.

USHAURI WANGU KWA MTOA MADA;

Dada yangu kama unajiweza kiuchumi na umeshafanya jitihada zote kusuluhisha tatizo lako ila bado brother anaendelea, nakushauri uchague amani yako. Why put up with a toxic marriage kwa sababu tu ya mtoto/watoto na wakati unajiweza kiuchumi?

Wanaume asilimia kubwa tuna'cheat na wala hili jambo haliwezi kukoma leo. Tumeshaumbwa na tamaa ambayo mara nyingi inazidi akili. Kwa experience yangu ndogo, tunapenda mara moja ila tunatamani mtu mpya karibia kila siku tunayozunguka huko duniani. Hili wala halihitaji atoke mwalimu wa kiJerumani aje kufundisha hili jambo.

Ila tu, kama anakupenda ama anakuheshimu, kamwe hawezi kutaka ujue kwamba ana'cheat delibarately. Mpaka anakua reckless na kukuonyesha makusudi kwa mienendo yake, hapo tayari ushajua unasimama wapi hivyo usisubiri mpaka yakukute madhara ya moja kwa moja ukiwa kwenye jitihada zako za kupanda mihogo kwenye rami.

Kama unajiweza kiuchumi, naweka msisitizo kwenye "KAMA UNAJIWEZA KIUCHUMI" (maana asikudanganye mtu bwana njaa mbaya sana), na wewe tafuta mtu unaempenda uanzishe nae mahusiano. Kama utaamua kuivunja ndoa, well and good. Kama unampenda sana na hutamani kumuacha basi fanya kama alivyoeleza mkuu kwenye ushauri wake hapo juu.

Kumbuka kwamba wote tunaoshauri hatutakuwa na wewe either ukiamua kuvunja ndoa ama ukiamua kubakia kwenye ndoa. Madhara na faida za maamuzi yako yataendelea kuja upande wako wewe mwenyewe.

Asante mkuu kwa Ushauri . Ntaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom