white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,395
- 13,426
Kutofautiana mawazo kila sehemu kupo ila kwa hili linalofanyika sasa,kwa mwana CDM anayelipinga atakuwa hajitambui,kweli kwa mateso yaliyokuwepo kwa wapinzani kwa serikali ya awamu ya 5,huu mwanga unaoonekana uukatae??Kwa wafuasi wa jiwe na ccm wengi hawapendi hilli kwani wanajua endapo tu pakiwa na uwanja sawa wa kufanya siasa hadi kwenye uchaguzi nini kinaweza tokea!!Najua bado kuna safari ndefu sana hasa kwa Mama!!labda ajizime data liwalo liwe mimi nataka katiba pendekezwa ile ya warioba ndio ije vile vile na iongozwe vitu na sio kupunguza,2030 amalize muda wake akapumzike,awe ameacha alama!!yenye kutukuka.Unataka kusema chadema huwa hamtofautiani mawazo ndio maana unaona kwa hiki kinachoendelea kwa ccm na chadema ni wafuasi wa jiwe tu ndio wanapinga ila chadema wote wana mawazo aina moja?