Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

Sina haja ya kwenda UD nimejua uwezo wake katika uongozi wake, iko wazi sana kama mimba, low IQ
Hongera kwa kukebehi madaktari wa kusomea , ungeuliza walio na masters wangekusaidia upate mwanga , mtu yoyote mwenye masters anajua PhD ni nini .
 
Mwamba sio kama Shibuda au Mrema Vision na Focus ya Mwamba ni kutuvusha na ni mbinu mujarabu kabisa.
 
Anachozungumzia Missile of the nation ni siasa za ushindani, si za kuunga mkono juhudi za CCM...Nchi inahitaji siasa mbadala, CCM ishatufilisi vya kutosha! Kina Mbowe wameingia mtego wa panya mroho...!
1. Hebu fafanueni basi mueleweke, kwamba, kabla ya hapo walikuwa wakifanya siasa zipi kwani? Na "siasa mbadala" ni zipi na wasifanye kwa namna gani eti?

2. Umesikia kuwa "wameunga mkono juhudi" au una uhakika Kwa kuona wenyewe?

3. Kama una hakika na kukielewa usemacho kwa hakika, hebu eleza "maana ya kuunga juhudi" na
 
Wewe unataka upinzani wa aina gani kwani? Chadema wanaamini zaidi katika chadema kuliko hicho kinachoitwa upinzani.
Imeshaisha imeisha. Hapa saivi ni mama tu. Chadema 2025 lengo kuu itakua ni kupata viti bungeni kwiaio mama ni mpaka 2030 hii
 
Imeshaisha imeisha. Hapa saivi ni mama tu. Chadema 2025 lengo kuu itakua ni kupata viti bungeni kwiaio mama ni mpaka 2030 hii
Unapoona mtu kama Sugu anasema kuwa Rais Samia ni rafiki yake anaweza kupigiana nae simu, Lissu anakwambia Rais Samia anamwita yeye ni mdogo wake hapo unafikiri kuna nini?
 
Tutor m
Wakati wanateseka kwa kufilisiwa, na kuwekwa rumande kwa kesi za mchongo, na wengine kuuliwa mlitoa msaada gani kwao
Tutoe msaada upi wakati Hilo ndo jukumu lao la sivyo waachane na siasa jukumu la mjeshi kupambania ulinzi wa taifa lake hata kufa sawa na upinzani kupambania kuwasemea raia mpaka kufa tofauti na hapo waachane na upinzani wake tujumuike NAO huku na siyo kula ruzuku bure bure
 
Back
Top Bottom