Baada ya hili tukio jana, nimeacha pombe mazima

Baada ya hili tukio jana, nimeacha pombe mazima

Hapa ndiko shida imeanzia.

Mixer ya bia na Nyag au K vant ni mbaya sana.

Anyway. pombe aina yoyote ni mbaya Mkuu. tunywe kistaarabu.
Hivi sijui ni kwanini ukipiga bia hata kama ni castle lite afu ukapiga na nyagi ku boost starter inaleta mvurugo sana binafsi nikipiga hivo nakua naharibu kinoma mpaka nakua naichukia pombe week nzima ata natamani kuacha.
 
Huyo kuku hjaiva au nyama ya nguruwe

Itakuwa comedy tu, hamna mwanamke aliyeolewa anaweza kufanya ukenge wa namna hii, huyu anaunda content tu za kupost!

Tusidhalilishe mama zetu namna hii, wanawake wa kibongo wanapitia maisha magumu sana lakini kila siku familia zinakula na watoto wanakua na shule wanakwenda bila kujali hali
 
Hivi sijui ni kwanini ukipiga bia hata kama ni castle lite afu ukapiga na nyagi ku boost starter inaleta mvurugo sana binafsi nikipiga hivo nakua naharibu kinoma mpaka nakua naichukia pombe week nzima ata natamani kuacha.
sijui kwann mkuu.

Ila ukinywa bia uliyoizoea kunakuwa hakuna shida yoyote.
Unarud zako home kula na kulala.

Asubuh unaamka na nguvu kabisa.
 
Itakuwa comedy tu, hamna mwanamke aliyeolewa anaweza kufanya ukenge wa namna hii, huyu anaunda content tu za kupost!

Tusidhalilishe mama zetu namna hii, wanawake wa kibongo wanapitia maisha magumu sana lakini kila siku familia zinakula na watoto wanakua na shule wanakwenda bila kujali hali
Kwanza alikuwa kalewa hiyo picha kapiga Saa ngapi???
 
sijui kwann mkuu.

Ila ukinywa bia uliyoizoea kunakuwa hakuna shida yoyote.
Unarud zako home kula na kulala.

Asubuh unaamka na nguvu kabisa.
Mkuu bia niliyozoea ni castle lite hizi hua nachapa bila shida hata asubuhi ikifika nakua nipo vizuri kabisa mwili sio mzito wala sina hangover ila nikijitoa akili ni mix na nyagi aisee iyo kesho au hata hapo hapo nalewa naanza kusahau Sahau,basi siku hizi nimebadirisha mfumo nikitaka uchangamfu na kua na juggermaster ndogo au grants ndogo angalau naona kama combination yake haivurugi sana,lkn bia ni bora zaidi kuliko vikali.
 
View attachment 3415464

Moderator wiki jana sio jana.

Wiki iliopitia Wife kanipigia simu saa kumi umeme umekata na gesi imeisha, ila akili yangu ilikuwa settled katika kutuliza koo kidogo koo kwa dakika 10 alafu nikimbie home ninunue umeme fasta

Ebwana eeh, si raha ya maji ikazidi mixer nyagi nikasahu kila kitu nikawa nacheka cheka tu na mabaa medi.

Nimerudi nyumbani saa mbili na nusu nyumba giza na waifu akanipa hio menu hapo nile, nikaanza kumgombeza maana akili iko juu juu.

Asubuhi nimeamka na nafsi yangu imenichoma sanaa na nikaona watoto walishindia chai na biskuti za dukani, nikajiona fala sana.

NILIACHA UGALI, SASA NIMEACHA NA POMBE
Hii sababu ni nyepesi sana kukuzuia kuacha pombe! Kula maji wewe ili serikali yako ipate kodi ya kununulia Ma V8 ya Waheshimiwa.
 
View attachment 3415464

Moderator wiki jana sio jana.

Wiki iliopitia Wife kanipigia simu saa kumi umeme umekata na gesi imeisha, ila akili yangu ilikuwa settled katika kutuliza koo kidogo koo kwa dakika 10 alafu nikimbie home ninunue umeme fasta

Ebwana eeh, si raha ya maji ikazidi mixer nyagi nikasahu kila kitu nikawa nacheka cheka tu na mabaa medi.

Nimerudi nyumbani saa mbili na nusu nyumba giza na waifu akanipa hio menu hapo nile, nikaanza kumgombeza maana akili iko juu juu.

Asubuhi nimeamka na nafsi yangu imenichoma sanaa na nikaona watoto walishindia chai na biskuti za dukani, nikajiona fala sana.

NILIACHA UGALI, SASA NIMEACHA NA POMBE
Mke mzembe,mke gani anashindwa kutatua jambo dogo la umeme na gesi?
Hata aseme aende kwa mjazaji aweke dhamana jina lako hela baadae kashindwa!?
Bro mke huna hapo,mke kama uko mbali huwa hasubiri mume anatatua shida kesha ukirudi ndio mnaongea.
 
Shemeji Kichwa Kimeganda,,Tengeneza Supu Sasa Na Hiyo Minofu,,,Tia Hayo Mazaga Aliyo Katakata,,,Tafuta Na Kapilipili..Kagiwia Watoto Ya Kwao Wale Na Chapati....Bibie Mwachie Hiko Kiporo Cha Wali....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom