Baada ya hili tukio jana, nimeacha pombe mazima

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
777
Reaction score
2,830
Moderator wiki jana sio jana.

Wiki iliopitia Wife kanipigia simu saa kumi umeme umekata na gesi imeisha, ila akili yangu ilikuwa settled katika kutuliza koo kidogo koo kwa dakika 10 alafu nikimbie home ninunue umeme fasta

Ebwana eeh, si raha ya maji ikazidi mixer nyagi nikasahu kila kitu nikawa nacheka cheka tu na mabaa medi.

Nimerudi nyumbani saa mbili na nusu nyumba giza na waifu akanipa hio menu hapo nile, nikaanza kumgombeza maana akili iko juu juu.

Asubuhi nimeamka na nafsi yangu imenichoma sanaa na nikaona watoto walishindia chai na biskuti za dukani, nikajiona fala sana.

NILIACHA UGALI, SASA NIMEACHA NA POMBE
 
View attachment 3415464

Huwa una kawaida ya kupiga picha chakula kabla ya kula?Maana wengine ukiwa unatusimulia jambo akili hupekecha hadi kesho yake.🤫🤫🤫🤫🤫🤫
 
View attachment 3415464

Moderator wiki jana sio jana.

Wiki iliopitia Wife kanipigia simu saa kumi umeme umekata na gesi imeisha, ila akili yangu ilikuwa settled katika kutuliza koo kidogo koo kwa dakika 10 alafu nikimbie home ninunue umeme fasta

Ebwana eeh, si raha ya maji ikazidi mixer nyagi nikasahu kila kitu nikawa nacheka cheka tu na mabaa medi.

Nimerudi nyumbani saa mbili na nusu nyumba giza na waifu akanipa hio menu hapo nile, nikaanza kumgombeza maana akili iko juu juu.

Asubuhi nimeamka na nafsi yangu imenichoma sanaa na nikaona watoto walishindia chai na biskuti za dukani, nikajiona fala sana.

NILIACHA UGALI, SASA NIMEACHA NA POMBE
Mnaoa wake hawawezi kusolve issue ndogo kama luku duu asee kazi mnayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom