Baada ya hili tukio jana, nimeacha pombe mazima

Baada ya hili tukio jana, nimeacha pombe mazima

Sasa huyo mwanamama alikuwa hana akiba yoyote ndani mpaka asipike? Wanawake wanaojitambua suala la jikoni siyo shida zao, wanajuwa nyumbani kwao chakula ni lazima kipikwe hivyo wanajiandaa kwa mkaa,kuni, umeme nk..nakusikitikia huyo mwanamke wako ni mzigo wa maisha.
 
View attachment 3415464

Moderator wiki jana sio jana.

Wiki iliopitia Wife kanipigia simu saa kumi umeme umekata na gesi imeisha, ila akili yangu ilikuwa settled katika kutuliza koo kidogo koo kwa dakika 10 alafu nikimbie home ninunue umeme fasta

Ebwana eeh, si raha ya maji ikazidi mixer nyagi nikasahu kila kitu nikawa nacheka cheka tu na mabaa medi.

Nimerudi nyumbani saa mbili na nusu nyumba giza na waifu akanipa hio menu hapo nile, nikaanza kumgombeza maana akili iko juu juu.

Asubuhi nimeamka na nafsi yangu imenichoma sanaa na nikaona watoto walishindia chai na biskuti za dukani, nikajiona fala sana.

NILIACHA UGALI, SASA NIMEACHA NA POMBE
Aibu yenu wote ,kwa hiyo siku ukifa kila kitu kitakufa? Kama wewe usipokuwepo umeme hauwezi kuwekwa wala gesi kununuliwa?nawaonea sana huruma watoto wenu kwa kuwa na wazazi vilaza namna hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom