Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Hvi huyu ni mwarabu au mzungu, ndilo tatizo la kuingiliwa tamaduni zetu na wageniMbunge wa ilala Azan Zungu amependekeza kuwepo na kodi ya UZALENDO itakayo katwa ktk mitamdao ya simu .
Amesema ikikatwa kwa kila mtanzania anayetumia simu ya mkononi kama chanzo kipya cha mapato kwa serikali...
Huo ndio uzalendo wanaotakiwa wauongelee, sio kutunyonya sisi wakati wao wanachukua mihela mingi bila kuifanyia kaziKodi ya uzalendo kwa Wabunge kila Mbunge kila mwezi akatwe kodi ya milioni 5 kutoka kwenye mshahara wao wa milioni 11 kwa mwezi.
Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540 kwa kila siku.
View attachment 1758510