AZAM TV nawahama kwa kweli

AZAM TV nawahama kwa kweli

habari zenu wakuu,

Nilijiunga na Azam Tv baada ya kuona humu JF watu wanaisifia sana. na channel zangu pendwa zilikuwa mbili tu AMC series na AMC Movie. sasa wametoa hizo channel yaani Azam haina radha tena. najirudia zangu star times pamoja na mapungufu yao lkn wanaeleweka angalau. sasa hivi najitahidi kuangalia tu fox.

Mambo yakikaa sawa nahamia DSTV nafikiri hawa hawana longolongo. nimeangalia kwenye channel list nimeona AMC zipo kwenye kifurushi cha chini. Wakuu watumiaji wa DSTV naombeni mnijuze hawa DSTV na wenyewe upuuzi wa kutoa channel wanavyojisikia wanao?

Azam mnajiharibia biashara sana, tunapiga simu kuulizia majibu hayaeleweki.
Wameshazirudisha Mkuu wa kazi.. Enjoy [emoji324]
 
mkuu wamezirudisha leo baada ya juzi kulalamika
 
Issue sio dish au LNB gani unatumia bali ni mwelekeo gani na satelite gani unataka
 
0764700222 ndo huduma kwa wateja Azam.
Nimefoka siku 3 kuhusu AMC series na AMC movie kuondolewa.Wanadai et wanafuatilia mikataba tena iliisha ya awali.
Azam bwana wapuuzi naona wamelewa wateja hadi chanel za wanyama kama natgeo nayo waliitoa ukilipia kifurushi cha 15000 unapata vichnnel vya kipuuzi tu nawahama hawa watu fundi kaniambia naweza tumia dish la azam kwa kung'amuzi kingine ndio nafanya utaratibu wik hii, naona hawa wamesha tuchoka wanataka pesa zetu nyngi huduma ya channel zisizo eleweka ya kipuuz
 
Njoo dstv kwa 19000(elfu kumi na tisa tu kwa mwezi) nimeangalia channel kibao plus game za epl live including chels vs newcastle , ars v man utd na champions league benfica vs basel
kwahiyo SS3 inapatikana kwa elfu19 ?
 
Yaani Azam wao ni michaneli ya wahindi ingekuwa sio mpira na habar cna cha kuangalia
 
Acheni kuchafua biashara za watu AMC movie na AMC series zote zinaonekana Azam
 
Azamtv vifurushi vyao ndani ya mwezi mmoja wanapandisha vifurushi mara2, nitahamia startimes msimu huu wa sikukuu
Marketing meneja wao anawapoteza...
 
Wanavyo,na unaweza ukanunua receiver ya star times kwa 39000 tu na ukatumia dish la azam bila shida yoyote
hicho cha 39,000 je kifurushi kikikata unapata local channels,? Maana naskia vya dish hupati local bila bando. Nafanya research nichukue kipi kati ya digtech na star au continetoo
 
ngoma ikivuma sana mwisho hupasuka!! majinga azam yameingia tamaa swine
 
Back
Top Bottom