Je, ni kweli Azam wameondoa chaneli kadhaa?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,748
Kabla sijahamia DSTV, Kuna hiki kifurushi cha 35,000 nilikuwa napata chaneli mbc1,mbc 2 , espn, espn 2, mbc action , history, nat geo, fox news, discvrry, dsscvry ID.

Je, ni kweli Azam wameziondoa nyingi kati ya hizo chaneli nilizotaja hapo au ni maneno ya watu tu?

Nataka kuweka TV dukani. Sasa nafikiria kuweka azam na hizo chaneli hapo juu ndio burudani zangu.
 
Kabla sijahamia DSTV, Kuna hiki kifurushi cha 35,000 nilikuwa napata chaneli mbc1,mbc 2 , espn, espn 2, mbc action , history, nat geo, fox news, discvrry, dsscvry ID.

Je ni kweli azam wameziondoa nyingi kati ya hizo chaneli nilizotaja hapo au ni maneno ya watu tu?

Nataka kuweka TV dukani. Sasa nafikiria kuweka azam na hizo chaneli hapo juu ndio burudani zangu.
hapana zipo zote
 
Sio kweli, acha kuchafua biashara ya watu. Labda kama fta zilizo nyingi zinakata kwenye kisimbuzi chako.
Kukata je labda. Mimi natumia bando la Azam Play jana usiku liliisha muda wake FTA zilizopo hewani ni 4 tuu,Tanzania Safari Chanel,Star Tv,Upendo Tv na UTV.Niharibu biashara ya watu mimi inanihusu nini.
 
Back
Top Bottom