AZAM TV nawahama kwa kweli

Mkuu kina movie za actions? Kina uzwa bei gani?
Sidhani, muda wangu wa kukodoa kwenye TV ni mchache, hivyo mara nyingi mi ni taarifa za habari na vipindi vya uchambuzi kwa TV tofauti ambavyo najua muda wake. Labda wanaojua zaidi watakujuza. Kuhusu gharama, sikumbuki sasa ni kiasi gani wakati ule kilikuwa cheap ukilinganisha na vilivyokuwa sokoni na bado uhitajiki kulipia chochote baada ya kununua
 
Sbukrani ntakitafuta hicho
 
habari zenu wakuu,

Nilijiunga na Azam Tv baada ya kuona humu JF watu wanaisifia sana. na channel zangu pendwa zilikuwa mbili tu AMC series na AMC Movie. sasa wametoa hizo channel yaani Azam haina radha tena. najirudia zangu star times pamoja na mapungufu yao lkn wanaeleweka angalau. sasa hivi najitahidi kuangalia tu fox.

Mambo yakikaa sawa nahamia DSTV nafikiri hawa hawana longolongo. nimeangalia kwenye channel list nimeona AMC zipo kwenye kifurushi cha chini. Wakuu watumiaji wa DSTV naombeni mnijuze hawa DSTV na wenyewe upuuzi wa kutoa channel wanavyojisikia wanao?

Azam mnajiharibia biashara sana, tunapiga simu kuulizia majibu hayaeleweki.
rip
 
Mimi nimehamia startimes. Azam wanasumbua,receiver zao zinasumbua. Na customer care yao ni ubabaishaji. Nimekuwa mteja wao tangu 2013 sasa hivi nimenyosha mikono juu
 
habari zenu wakuu,

Nilijiunga na Azam Tv baada ya kuona humu JF watu wanaisifia sana. na channel zangu pendwa zilikuwa mbili tu AMC series na AMC Movie. sasa wametoa hizo channel yaani Azam haina radha tena. najirudia zangu star times pamoja na mapungufu yao lkn wanaeleweka angalau. sasa hivi najitahidi kuangalia tu fox.

Mambo yakikaa sawa nahamia DSTV nafikiri hawa hawana longolongo. nimeangalia kwenye channel list nimeona AMC zipo kwenye kifurushi cha chini. Wakuu watumiaji wa DSTV naombeni mnijuze hawa DSTV na wenyewe upuuzi wa kutoa channel wanavyojisikia wanao?

Azam mnajiharibia biashara sana, tunapiga simu kuulizia majibu hayaeleweki.
ya kweli hakuna , lakini nilipiga simu wakasema wameweka MUVI AFRICA UNITE LI CHANEL LA KISHAMBA LA WAZAMBIA SINEMA ZA KIZAMANIA HAZINA HATA ISSUE WANASEMA MKATABA ULIISHA MPAKA WAKISAINI TENA
 
KWELI MWAKA HUU UKIISHA HAWAJARUDISHA AFRICA MOVIE CHANEL NAHAMA KAMA KUNA MTU AZAM HUMU NDANI AFUKISHE UJUMBE MTAPOTEZA SANA WATEJA KWA STAILI HII SIKWEZI KULIPA 23,000 NAPATA MACHANELI YA KIHINDI TU YA NINI
yaani sana tu, wanaweza ona tatizo dogo lkn likawaharibia sifa yao. wape wateja kitu wanachopenda. Azam illisifika sana ila sasa imeanza kushuka.
 
Duhh,

Mbona mnaniogopesha.....nimeulizia jana tu bei ya king'amzi cha azam ili niweke pembeni continental ilikuwa inanisaidia kubana matumizi kwa kupata local Chanel bure tangu nilipokinunua.....!
 
Back
Top Bottom