heavyload
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 925
- 528
Ni kweli kabisa mkuu,AZAM TV kwa sasa wanaboa sana kila kukicha ni kupunguza channels tu na kutuzidishia za makabachori. Jirekebisheni or else mtajikuta mnajiharibia biasharaAzam wamejaza channel za kihindi Bure kabisa