AZAM TV nawahama kwa kweli

Titia

Senior Member
Jul 3, 2013
140
225
habari zenu wakuu,

Nilijiunga na Azam Tv baada ya kuona humu JF watu wanaisifia sana. na channel zangu pendwa zilikuwa mbili tu AMC series na AMC Movie. sasa wametoa hizo channel yaani Azam haina radha tena. najirudia zangu star times pamoja na mapungufu yao lkn wanaeleweka angalau. sasa hivi najitahidi kuangalia tu fox.

Mambo yakikaa sawa nahamia DSTV nafikiri hawa hawana longolongo. nimeangalia kwenye channel list nimeona AMC zipo kwenye kifurushi cha chini. Wakuu watumiaji wa DSTV naombeni mnijuze hawa DSTV na wenyewe upuuzi wa kutoa channel wanavyojisikia wanao?

Azam mnajiharibia biashara sana, tunapiga simu kuulizia majibu hayaeleweki.
 
Chona

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
519
500
Digitek hawajawahi niangusha. Kwanza ni bure, hakuna malipo yoyote baada ya kununua king'amuzi. ITV, TBC1, Channel 10, Star TV, EATV, Capital, Algezeera, Citizens TV, Emmanuel TV, Ipo nyingine ya Kiislam, na zingine kibao kama za Japan na maigizo n.k.
Kwa matumizi nyumbani na kwa kuwa sina muda wa kuangalia Tv zaidi ya taarifa ya habari nadhani hizo zinanitosha.
 
Mtimba

Member
Mar 16, 2011
44
95

DIGITzee

Member
Apr 4, 2017
55
125
Hawa wanaboa sana. Wamejaza machannel kibao ya Kiganda na kuondoa channel karibu zote za muvi. Nimeamua sinunui tena hicho kifurushi chao. Ingependeza kama wangetuachia mtu ajichagulie channel anazotaka, watuuzie kila channel buku -minimum channel 10
Heri niingie gharama ya bundle - habari kupitia ITV app, Citizen na KTN kupitia kenyamoja.com.
 
Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
4,365
2,000
Digitek hawajawahi niangusha. Kwanza ni bure, hakuna malipo yoyote baada ya kununua king'amuzi. ITV, TBC1, Channel 10, Star TV, EATV, Capital, Algezeera, Citizens TV, Emmanuel TV, Ipo nyingine ya Kiislam, na zingine kibao kama za Japan na maigizo n.k.
Kwa matumizi nyumbani na kwa kuwa sina muda wa kuangalia Tv zaidi ya taarifa ya habari nadhani hizo zinanitosha.
Mkuu kinauzwa bei gani maana mwenyewe naona Azam wananifilisi tu kulipia wakati muda wakuangalia tv sinaga
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
13,458
2,000
Digitek hawajawahi niangusha. Kwanza ni bure, hakuna malipo yoyote baada ya kununua king'amuzi. ITV, TBC1, Channel 10, Star TV, EATV, Capital, Algezeera, Citizens TV, Emmanuel TV, Ipo nyingine ya Kiislam, na zingine kibao kama za Japan na maigizo n.k.
Kwa matumizi nyumbani na kwa kuwa sina muda wa kuangalia Tv zaidi ya taarifa ya habari nadhani hizo zinanitosha.
Mkuu kina movie za actions? Kina uzwa bei gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom