AZAM TV nawahama kwa kweli

AZAM TV nawahama kwa kweli

Digitek hawajawahi niangusha. Kwanza ni bure, hakuna malipo yoyote baada ya kununua king'amuzi. ITV, TBC1, Channel 10, Star TV, EATV, Capital, Algezeera, Citizens TV, Emmanuel TV, Ipo nyingine ya Kiislam, na zingine kibao kama za Japan na maigizo n.k.
Kwa matumizi nyumbani na kwa kuwa sina muda wa kuangalia Tv zaidi ya taarifa ya habari nadhani hizo zinanitosha.
Kwenye hizo channels kuna ambayo unapata mieleka angalau Mara 1 kwa wiki?
 
Azam hata mm nawahama.. Narudi zangu DSTV aiseeee

1: Fox news plus other U.S news channel like ABC, AMC, etc wamezitoa.. CNN hakuna.. Huu ni mwezi wa mwisho kuwa mteja wao.. Labda warudishe hizo channels.. Wamejaza machannel ya kihindi tupu sijui nani anataka

2: Azam TV akianza upuuzi wa kuweka na kutoa toa channel kama anavyofanya hasa za U.S, wateja wengi watakimbia sana
 
Digitek hawajawahi niangusha. Kwanza ni bure, hakuna malipo yoyote baada ya kununua king'amuzi. ITV, TBC1, Channel 10, Star TV, EATV, Capital, Algezeera, Citizens TV, Emmanuel TV, Ipo nyingine ya Kiislam, na zingine kibao kama za Japan na maigizo n.k.
Kwa matumizi nyumbani na kwa kuwa sina muda wa kuangalia Tv zaidi ya taarifa ya habari nadhani hizo zinanitosha.
Kwahiyo king'amuzi chake ni how much boss
 
Hii imekaaje kiongozi. Fafanua kdg
Dish la azam linafaa kabisa kutumika unabadili muinamo kidogo saaana karibu na degree 40 ktk angle. Mimi baada yakuona receiver yao inanisumbua na sipati msaada wakueleweka nikaona isiwe tabu,kama ni league ya bongo tu tusizinguane nikanunua receiver ya dish ya star times tu mambo sasa ni murua kabisa. Hakuna utakacho kikosa zaidi ya hizo channel za azam pekee na gharama yao ipo chini.
 
habari zenu wakuu,

Nilijiunga na Azam Tv baada ya kuona humu JF watu wanaisifia sana. na channel zangu pendwa zilikuwa mbili tu AMC series na AMC Movie. sasa wametoa hizo channel yaani Azam haina radha tena. najirudia zangu star times pamoja na mapungufu yao lkn wanaeleweka angalau. sasa hivi najitahidi kuangalia tu fox.

Mambo yakikaa sawa nahamia DSTV nafikiri hawa hawana longolongo. nimeangalia kwenye channel list nimeona AMC zipo kwenye kifurushi cha chini. Wakuu watumiaji wa DSTV naombeni mnijuze hawa DSTV na wenyewe upuuzi wa kutoa channel wanavyojisikia wanao?

Azam mnajiharibia biashara sana, tunapiga simu kuulizia majibu hayaeleweki.
Kule DSTV unazipata kwa kufurushi cha 19,000
Mimi ilibidi niwapigie simu kujua hiyo channel imeenda wapi.
Za mtaani ni kwamba jamaa wamegundua kwamba channel yao ni very popular Azam Tv hivyo wanadai billion moja kwa mwaka.
Ili Azam wamudu hilo, lazima waongeze bei kwenye vifurushi. Bila shaka tutapiga kelele. Hawajui wafanye nini
 
Tatizo kubwa la azam ni kujaza channel za kihindi katika nchi ambayo wahindi ni less than 0.5% sijui wanazipata bure au wamiliki wanzipenda.
 
KWELI MWAKA HUU UKIISHA HAWAJARUDISHA AFRICA MOVIE CHANEL NAHAMA KAMA KUNA MTU AZAM HUMU NDANI AFUKISHE UJUMBE MTAPOTEZA SANA WATEJA KWA STAILI HII SIKWEZI KULIPA 23,000 NAPATA MACHANELI YA KIHINDI TU YA NINI

Aaaaaaaah, Yaaani unalipia mihela yote Hiyo kwa michaneli mibovu Kama Hiyo, njoo kwa wajanja huku dstv, kwanza ukiwa na dish lake tu kitaa heshima,halafu kwa kifurushi cha bei rahisi kabisa cha bomba cha elf19,unapata Chanel classic zionyeshazo movies latest kabisa za kinigeria,pia Kuna channel ya movies latest za kinyamwezi m-net movies zone, za wanyama, kihindi, kichina, za miziki miKali ya Kibongo,east Africa hadi kimbefele,Jamaa kwa kweli wamejipanga haswaa kuburudisha wateja wao, Yaaani kwa ufupi hata kifurushi cha bei Poa unaenjoy, ndio uzuri wa Dstv,halafu channel zao ni HD balaaa
 
Digitek hawajawahi niangusha. Kwanza ni bure, hakuna malipo yoyote baada ya kununua king'amuzi. ITV, TBC1, Channel 10, Star TV, EATV, Capital, Algezeera, Citizens TV, Emmanuel TV, Ipo nyingine ya Kiislam, na zingine kibao kama za Japan na maigizo n.k.
Kwa matumizi nyumbani na kwa kuwa sina muda wa kuangalia Tv zaidi ya taarifa ya habari nadhani hizo zinanitosha.
Wana decoder za dish?? Bei zao zikoje
 
Azam TV ni King'amuzi bomba sana. Kwa Tz Ukiomdoa Dstv ndio King'amuzi Makini Kinachofuata

Changamoto yao Kubwa Inayonikera ni Signal Problem Kipindi cha Mvua na Mawingu Mawingu.

Hapo tu ndipo Azam Wanapoharibu na Kuachwa na Dstv. Wangeboresha hapo kwenye hiyo Mitambo yao Kuwa na Signal Strength Kubwa basi hakika hakuna atakayetamani kiwakimbia.
 
Ukiweka star times na Azam.
Nachagua star times.
Mazu, life's board guard, santo.
Chanel za kihindi. Za michezo n. K
 
Njoo dstv. Chanel za kijanja.....Mpira ligi zote duniani ispokuwa ligi ya tz maana tz hawajielewi.....kuna chanel kama Eva+ yani hapo utakula tamthilia za kijanja ......utajikuta unasahau shida zote za nchi hii..
 
habari zenu wakuu,

Nilijiunga na Azam Tv baada ya kuona humu JF watu wanaisifia sana. na channel zangu pendwa zilikuwa mbili tu AMC series na AMC Movie. sasa wametoa hizo channel yaani Azam haina radha tena. najirudia zangu star times pamoja na mapungufu yao lkn wanaeleweka angalau. sasa hivi najitahidi kuangalia tu fox.

Mambo yakikaa sawa nahamia DSTV nafikiri hawa hawana longolongo. nimeangalia kwenye channel list nimeona AMC zipo kwenye kifurushi cha chini. Wakuu watumiaji wa DSTV naombeni mnijuze hawa DSTV na wenyewe upuuzi wa kutoa channel wanavyojisikia wanao?

Azam mnajiharibia biashara sana, tunapiga simu kuulizia majibu hayaeleweki.
Uko wap mkuu uniuzie hyo risiva
 
Ni juzi nimetoka kuulizia dish la azam , ngoja nielekee DSTV wameniambia kila Kitu mpaka kufungiwa na kifurushi cha bure kwa mwezi mmoja ni shilling 109,000/=
 
Sasa ukitumia dish azam na lnb yao utakuwa unapata channel gani hapo mkuu
Unapata za star times kwasababu receiver itakuwa umeiset kwa frequencies na polarization katika satellite ya star times na sio ya Azam. Usiwaze sana mkuu,tafuta fundi unaemwamini wa sattelite dishes umuulize au nenda kwenye startimes shop uulize kama haiwezekani
 
Mkuu kinauzwa bei gani maana mwenyewe naona Azam wananifilisi tu kulipia wakati muda wakuangalia tv sinaga
Hawa azam bhana mm nangalia chanel 5 tu halafu nalipia 18000 muda wa kungalia wenyewe sina ni bora tuziwe chanel moja moja mtu unayo itaka
 
Back
Top Bottom