Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 21,617
- 36,271
Crdb inabidi wamchukulie hatua huyu.... Anaaibisha hadhi ya kampuni
Alishafuluzwa toka 2020. Tamko wameshatoa
Crdb inabidi wamchukulie hatua huyu.... Anaaibisha hadhi ya kampuni
crdb wamemkana Emanuel, my classmet pale bush sek , mwamba alikuwa ni mkimya hata hawez kuongea na mtu.
Alishapata ujanja wa kuongea hadi kutukana.
Usiombe likukute. Hii familia inahitaji faraja siyo wakat wa kushangilia matatizo ya mtu. Kuna Leo kwake kesho kwakoView attachment 2825932
Hili lishangazi muonekano mshaalah ila roho nyeusi kama mkaa wa Sikonge Tabora
Hili lishangazi muonekano mashaalah ila roho nyeusi kama mkaa wa Sikonge Tabora
Bongo kuna vetting hapa au usanii tu ?, rushwa na hongo za ngono ndio vetting .Vetting
Product za jalalani yudizimu na yudomu kwa machakaramu hizoYaani AIBU tupu. Emmanuel na dadake sijui ni Ma Graduate wa wapi. Wamekalia majungu na ushirikina. Mganga kamuambia kuna Vijana wawili wametumwa na mbaya wako kuja kuvuruga biashara yako kisha kukuua wewe mwenyewe. Kusikia tu hivyo kamuagiza Dereva wake kuwasha gari na Kumuambia twende nyumbani mara moja. Alipofika akaenda kuwatendea Vijana wale alichowatendea bila hata kuzungumza nao.
Yeye anaamini wanaosambaza ni vijana wa Mbowe,kisa dada yake alikua CHADEMA kabla ya kujiunga na CCM,asijue kua kuna wadau wanataka kutumia mwanya huo kummaliza dadaake ili jimboni wateleze kiulaini,hasahasa kipindi hiki tunaporlekea kwenye uchaguzi.Asikariri.Hajui kuna watu wanakitaka hilo jimbo pia...?ameharibu zaidi. na pale anasema aachie wachagga wasambaze ndio ameonyesha ukabila na ujinga mkubwa sana.
Dada yake degree ya Jalala udizimu na masters yudomuEmanuel ni graduate wa IFM na advanc kasoma shinyanga sec. EGM
Inaonekana wanawekeana sana vinyongo hadi kuharibiana maisha.Wairaqwi hao, wazee wa saitaa saiyuuu
Hili lishangazi muonekano mashaalah ila roho nyeusi kama mkaa wa Sikonge Tabora
Hii kuteua kutumbua ni kiini macho tu. Rais ametumbua wangapi na baada ya muda akawarudisha tena?Angeshitaki vipi wakati akiwa ndani (korokoroni)
Jambo moja li wazi, mpaka rais amemtumbua basi kuna kitu! Urais ni taasisi kubwa isiyoendeshwa kwa mihemko!
Paulina ni nani?View attachment 2825594
EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally.
HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na kuwekewa chupa sehemu yake ya haja kubwa kwa amri ya Pauline Gekul, akiwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria. Wakazi wa Babati Mjini walichukizwa na kitendo hicho, wengine wakaamua kusambaza taarifa ile WhatsApp.
EMMANUEL GEKUL anasikika katika video hiyo yenye sauti akimchimba mkwara mzito na kumueleza PAULINA SLAA NARSIS atamkata kichwa na kumpiga risasi kwa kusambaza video hizo za Hashimu. Gekul ametukana matusi mengi ya nguoni. Gekul anatamba kwamba anaweza kumuua na Babati ikatulia.
PAULINE na EMMNAUEL wanapata kiburi kwa nani? RPC Manyara upo? RCO upo? Raia wa Babati anatishiwa maisha yake kwa sababu ya kusambaza taarifa za UOVU wa PAULINE GEKUL? Familia ya GEKUL imelimeza jeshi la polisi Manyara na Babati wanaitawala kifalme? Tunataka EMMANUEL anachukuliwa hatua za kisheria iwe fundisho.
PAULINA SLAA NARSIS ametoa taarifa za kutishiwa kuuwawa kwa kuchinjwa na kupigwa risasi na EMMANUEL GEKUL, lakini hadi sasa hakuna lolote ambalo linaendelea. RPC unajua vizuri hili suala. EMMANUEL GEKUL anasema jeshi la polisi Manyara kwake siyo lolote na haogopi. Je, ni kweli familia ya GEKUL imelishika jeshi la polisi Manyara?
IGP, tunataka jeshi la polisi Manyara na Babati, lichunguzwe na ikibainika kuna watu wanakula njama za kutenda uhalifu kwa kushirikiana na familia ya GEKUL, wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria. Hatuwezi kuwa na watu katika utumishi wa jeshi la polisi wanaoshirikiana na wahalifu kutenda UHALIFU wa kutisha kwa binadamu wenzao.
Ila Pauline ni toto mashallah. Anajaa mkononi