Pauline Gekul anapaswa kurejeshwa kwenye uwaziri baada ya Tume za haki za binadamu kumsafisha?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,887
43,461
Baada ya Tume haki za Binadamu kusema wazi kuwa kwenye uchunguzi wake imeshindwa kubaini kama Mbunge wa Babati Paulin Gekul alitenda kosa la kumuingiza chupa kijana yule sehemu za siri!

Hivyo ni wazi Paulin Gekul atarejeshewa uwaziri baada ya kutumbuliwa kimakosa!

PIA SOMA
- Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora yasema madai ya Mbunge Gekul kumfanyia kijana udhalilishaji hayakuweza kuthibitishwa

- Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

- Tume ya Haki za Binadamu (THBUB) kuchunguza tuhuma za Pauline Gekul
 
Baada ya Tume haki za Binadamu kusema wazi kuwa kwenye uchunguzi wake imeshindwa kubaini kama Mbunge wa Babati Paulin Gekul alitenda kosa la kumuingiza chupa kijana yule sehemu za siri!
Hivyo ni wazi Mh Paulin Gekul atarejeshewa uwaziri baada ya kutumbuliwa kimakosa!
si muhimu na wala hakuna haja 🐒
 
kama tume ya haki za binadamu imemsafisha mh. pauline gekul ina maana yule kijana alidanganya? na kama alifanya udanganyifu kwa kwanini asichukuliwe hatua kwa defamation na kuzua taharuki kwenye jamii?
 
Ndio maana yake alidanganya 😂😂😂😂
 
Hiyo tume toka lini ikawa inafanya majukumu ya kipolisi au mahakama.Acha kuandika ujinga nawewe.
 
Baada ya Tume haki za Binadamu kusema wazi kuwa kwenye uchunguzi wake imeshindwa kubaini kama Mbunge wa Babati Paulin Gekul alitenda kosa la kumuingiza chupa kijana yule sehemu za siri!

Hivyo ni wazi Paulin Gekul atarejeshewa uwaziri baada ya kutumbuliwa kimakosa!

PIA SOMA
- Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora yasema madai ya Mbunge Gekul kumfanyia kijana udhalilishaji hayakuweza kuthibitishwa

- Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

Tume ya Haki za Binadamu (THBUB) kuchunguza tuhuma za Pauline Gekul
Uteuzi wa uwaziri ni discretion ya the pleasure of the appointing authority, and it's not right. Hivyo akitumbuliwa pia ni for pleasure tuu, haikuelezwa sababu, na akiteuliwa tena is the same.
Niliwahi kushauri Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?
P
 
Back
Top Bottom