Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

hapo unachanganya kutopimwa moja kwa moja na kutokuwepo. Sayansi haisemi “kisichopimika hakipo”; inasema claim kuhusu uhalisia inahitaji evidence.

Akili tunaiona kupitia matokeo yake na uhusiano wake na ubongo. Ubongo ukibadilika, memory, tabia na maamuzi vinaweza kubadilika. Kwa hiyo “akili haipimiki moja kwa moja” si evidence kwamba iko nje ya ubongo.

Wewe leta evidence kuwa Mungu ni Designer wa Dunia acha maneno bwasheeeeeeeee🙂‍↕️
Mkuu mimi naandika ninachoelewa. Naelewa sayansi/saikolojia/mantiki. Naelewa imani/ukatoliki/falsafa. Najua mipaka ya sayansi/mantiki/saikolojia. Najua matatizo ya falsfa.

Unajua tatizo lako ni nini? Uelewa.

Ona ulichosema au andika mwenyewe hapa chini:-

"hapo unachanganya kutopimwa moja kwa moja na kutokuwepo. Sayansi haisemi “kisichopimika hakipo”; inasema claim kuhusu uhalisia inahitaji evidence."

Unaelewa ulichoandika hapo nini?

Ndio maana nilikuambia wewe ni shabiki tu ambae huna ushahidi wa ndani wa jambo unalolifuata.

Rudi ujifunze upya. Jifunze "Uhalisia" ni nini? Na "Ushahidi ni nini?. Jifunze kwanini kanuni msingi ya sayansi ni kupima? Na kwanini kama sayansi haiwezi kupima inanyamaza kimya?

Hapa hatuzungumzii kisichokuwepo. Mjadala wetu ni "Uwepo wa Hali ya Juu Wenye Akili tunaouita Mungu, ambao wewe unataka ushahidi wake.

Kwa ufupi kabisa mjadala wetu unahusu "Akili".

Nimeeleza hilo kisayansi na imani.

Nimekuuliza:-

Unaweza kunionyesha akili ya binadamu?

Unaweza kupima akili ya binadamu?

Nimekuuli pia:-

Unaweza kuonyesha wazo lililopelekea kutokea kwa mashine ya MRI likoje?
 
Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".

Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "

At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".

How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?

Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.

Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".

Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..

Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..

" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..

Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Umeongozwa na Mungu kuandika ivi, kwa ufupi ata wakisema ameandika malaika wa BWANA hapa twaweza kukubali
 
Mwelekeo wako unazingatia sayansi.

Hatahivyo, ni wazi hiyo sayansi unayoizingatia bado pia hujaijua vizuri zaidi ya ushabiki.

Kwa nini? Unachanganya sayansi na imani. Unashindwa kuelewa kwamba sayansi inashughulikia swali "jinsi gani" na imani anashughulikia swali "Kwa nini."

Sayansi inaongoza kwa kanuni ya kupima. Kama kitu hakipimiki kwa sayansi hicho kitu hakipo.

Tuelewe kwamba sayansi ni maarifa yanaokua na kuendelea. Ndio sababu yanaweza kusahihishwa.

Lakini katikati ya maarifa ya sayansi, katikati ya akili ya binadamu kuna ukweli (imani) ambao wenyewe upo tu. Uwe unapimika au haupimiki, unaonekana au hauonekani, unajua au haujui. Ukweli upo tu.

Kwisha kusema hayo.

Akili ya binadamu iko wapi?
Imani sio ukweli, ni hisia na vibes tu, ndio maana mmoja anaweza kusema Yesu alikufa na mwingine akasema hakufa, mwingine anasema kitimoto ruhusa mwingine anasema haramu, wingine wanasema mke mmoja wengine wanasema wake wanne.

Ni vizuri ukasema Sayansi inashughulika na data, vitu vinavyopimika na vyenye kuthibitishika wakati imani inashughulika na hisia na mambo ya kufikirika zaidi.
 
Maneno meeeeeeeeeengi

Huyo Mungu wako anashindwa kuwalinda watoto dhidi ya watumishi wake!
Wewe huelewi hata hicho unachojua kuwa unakijua.

Kwenye hilo tatizo ni la nani?

Unasema Mungu anashindwa kuwalinda watoto dhidi ya uovu? Lakini husemi uovu unafanywa na nani? Is that rational?
 
Imani sio ukweli, ni hisia na vibes tu, ndio maana mmoja anaweza kusema Yesu alikufa na mwingine akasema hakufa, mwingine anasema kitimoto ruhusa mwingine anasema haramu, wingine wanasema mke mmoja wengine wanasema wake wanne.

Ni vizuri ukasema Sayansi inashughulika na data, vitu vinavyopimika na vyenye kuthibitishika wakati imani inashughulika na hisia na mambo ya kufikirika zaidi.
🫢
 
Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".

Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "

At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".

How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?

Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.

Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".

Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..

Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..

" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..

Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Inawezekana ni wagonjwa ila sisi wenye dini ni wagonjwa zaidi. Ugonjwa wa wenye dini ni kushindwa kutofautisha kipi cha dini na kipi cha kutumia akili tulizopewa.
 
Mimi sio energy, ni matter.
KILA KITU SIO ENERGY.
Haaaaa...hii comment sikuiona ...umenichekesha sana ...kiranga aliwahi kutapika boko kama hili ...hadi akanipiga block ....EVEN MATTER IS ENERGY wewe utakuwa ni wale wasomi feki kama wa UDSM, NDIYO MAANA UMEJIFUNUA UJINGA WAKO LEO ..SASA NAKUSHAURI KWA HII COMMENT YAKO ..KWA KUWA UMEDHANI MATTER SIYO ENERGY BASI NI RAHISI SASA KUMTAMBUA MUNGU KWA WEWE KUANZIA KUFANYIA KAZI HILI JAMBO JE MATTER NI ENERGY AU LA! ....UKIJA KUJUA KUWA MATTER NI ENERGY BASI SASA UTAANZA KUJUA MUNGU NI NINI NA BINADAMU NI NINI NA VITU VYOTE NI NINI ...NDIYO MAANA MWANA SAYANSI Albert Einstein alisema ..kihalisi hakuna matter kwa sababu even matter is energy ...matter is traped energy.
 
Mimi sio energy, ni matter.
KILA KITU SIO ENERGY.
Mlipotoshwa mashuleni mlipo ambiwa kuwa matter siyo energy ...kwenye shule wanafundisha kuwa kuna MATTER NA ENERGY ..kwa maana vitu vyote either ni matter au ni energy hii fafanuzi ni potovu kisayansi ...kisayansi TUNASEMA HIVI ...
KUNA ENERGY KATIKA HALI MBILI
1) MOVING ENERGY(ambayo ndiyo tunaita ni energy) na
2)TRAPED ENERGY (ambayo ndiyo wewe unaitambua kama matter)

HIVYO HAPO UTAONA KWANINI WANASANYANSI WANASEMA KIHASILI HAKUNA MATTER BALI VITU VYOTE NI ENERGY ....NANDIYO SABABU YA HAYA MANENO >EVEN MATTER IS ENERGY.
 
Maneno mengi mnashindwa kuonesha Mungu Yuko wapi

Mungu mnamficha kama Nyara za serikali

Mungu mnamficha kama Bangi ya Njombe

Si mseme Mungu Yuko wapi

Si mtuite hata tuhudhhrie kanisani kwenu tufanye maombi na nyie Ili tumuone kama nyie mnavyomuona na kujua anapoishi.
Haaaaa...hii comment sikuiona ...umenichekesha sana ...kiranga aliwahi kutapika boko kama hili ...hadi akanipiga block ....EVEN MATTER IS ENERGY wewe utakuwa ni wale wasomi feki kama wa UDSM, NDIYO MAANA UMEJIFUNUA UJINGA WAKO LEO ..SASA NAKUSHAURI KWA HII COMMENT YAKO ..KWA KUWA UMEDHANI MATTER SIYO ENERGY BASI NI RAHISI SASA KUMTAMBUA MUNGU KWA WEWE KUANZIA KUFANYIA KAZI HILI JAMBO JE MATTER NI ENERGY AU LA! ....UKIJA KUJUA KUWA MATTER NI ENERGY BASI SASA UTAANZA KUJUA MUNGU NI NINI NA BINADAMU NI NINI NA VITU VYOTE NI NINI ...NDIYO MAANA MWANA SAYANSI Albert Einstein alisema ..kihalisi hakuna matter kwa sababu even matter is energy ...matter is traped energy.
 
Wewe huelewi hata hicho unachojua kuwa unakijua.

Kwenye hilo tatizo ni la nani?

Unasema Mungu anashindwa kuwalinda watoto dhidi ya uovu? Lakini husemi uovu unafanywa na nani? Is that rational?
Kama mtu anamuua mtoto, muuaji ndiye anayefanya uovu. Sijawahi kusema Mungu ndiye muuaji.

Swali langu ni kwa nini Mungu mwenye kujua yote na uwezo wote anaruhusu mtoto huyo asiye na hatia auawe wakati angeweza kuzuia hilo.
 
Si lazima nikuonyeshe “wazo” la MRI kama kitu kinachoonekana ili kuthibitisha kwamba MRI ilitokana na akili ya binadamu. Tunajua kwa ushahidi wa kihistoria na kimwili kwamba MRI ilitengenezwa na binadamu: kuna wavumbuzi, tafiti, prototypes, patents, vifaa na mchakato wa development.

Hiyo ndiyo tofauti muhimu. Akili yenyewe inaweza isiwe kitu cha kuweka kwenye mizani, lakini tuna evidence ya shughuli zake na tunaweza kuhusisha matokeo na chanzo chake
Mkuu mimi naandika ninachoelewa. Naelewa sayansi/saikolojia/mantiki. Naelewa imani/ukatoliki/falsafa. Najua mipaka ya sayansi/mantiki/saikolojia. Najua matatizo ya falsfa.

Unajua tatizo lako ni nini? Uelewa.

Ona ulichosema au andika mwenyewe hapa chini:-

"hapo unachanganya kutopimwa moja kwa moja na kutokuwepo. Sayansi haisemi “kisichopimika hakipo”; inasema claim kuhusu uhalisia inahitaji evidence."

Unaelewa ulichoandika hapo nini?

Ndio maana nilikuambia wewe ni shabiki tu ambae huna ushahidi wa ndani wa jambo unalolifuata.

Rudi ujifunze upya. Jifunze "Uhalisia" ni nini? Na "Ushahidi ni nini?. Jifunze kwanini kanuni msingi ya sayansi ni kupima? Na kwanini kama sayansi haiwezi kupima inanyamaza kimya?

Hapa hatuzungumzii kisichokuwepo. Mjadala wetu ni "Uwepo wa Hali ya Juu Wenye Akili tunaouita Mungu, ambao wewe unataka ushahidi wake.

Kwa ufupi kabisa mjadala wetu unahusu "Akili".

Nimeeleza hilo kisayansi na imani.

Nimekuuliza:-

Unaweza kunionyesha akili ya binadamu?

Unaweza kupima akili ya binadamu?

Nimekuuli pia:-

Unaweza kuonyesha wazo lililopelekea kutokea kwa mashine ya MRI likoje?

.
 
Wewe huelewi hata hicho unachojua kuwa unakijua.

Kwenye hilo tatizo ni la nani?

Unasema Mungu anashindwa kuwalinda watoto dhidi ya uovu? Lakini husemi uovu unafanywa na nani? Is that rational?
Kwahiyo wewe kama baba una bunduki na magazine 1000

Mtoto wako wa kike anataka kubakwa na muovu!

Hutamuua huyo muovu ?

Mungu wako mwenye uwezo wa yote, shetani anaingiza watu matatizoni ila anashindwa kumuua huyo shetani na anajiita ndio muweza wa yote.
 
Maneno mengi mnashindwa kuonesha Mungu Yuko wapi

Mungu mnamficha kama Nyara za serikali

Mungu mnamficha kama Bangi ya Njombe

Si mseme Mungu Yuko wapi

Si mtuite hata tuhudhhrie kanisani kwenu tufanye maombi na nyie Ili tumuone kama nyie mnavyomuona na kujua anapoishi.
Wewe ulikuwa wapi kabla ya kuzaliwa ?
 
Kwahiyo wewe kama baba una bunduki na magazine 1000

Mtoto wako wa kike anataka kubakwa na muovu!

Hutamuua huyo muovu ?

Mungu wako mwenye uwezo wa yote, shetani anaingiza watu matatizoni ila anashindwa kumuua huyo shetani na anajiita ndio muweza wa yote.
I think you are a child or may be you still a child
 
Hapo umegusa hoja nyeti sana, mimi binafsi siwezi kusema ni wagonjwa wa akili ila wana reasoning yao tu. Kama mtu anaamini kila kitu kimetengenezwa basi ni logic gani kusema universe ipo tu hivyo?
 
Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".

Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "

At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".

How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?

Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.

Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".

Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..

Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..

" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..

Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Ndugu mtoa mada (LIKUD), hoja yako uliyoileta inaibua mjadala mzito na wa kihistoria unaogusa misingi ya kifalsafa ya "Watchmaker Analogy" (Mfano wa Mtengeneza Saa)—hoja ambayo imetumiwa na wanafikra wengi wakubwa kutetea uwepo wa Muumba kutokana na utata na mpangilio wa ulimwengu. Ni hoja yenye mashiko katika ulimwengu wa teolojia na falsafa.

Hata hivyo, ili kulinda uzito wa hoja yako na kuifanya ikubalike kitaaluma, siyo vizuri au salama kimantiki kuhitimisha kwa kuwaita wasioamini (Atheists) "wagonjwa wa akili" au kudai "wanazidiwa akili na mtoto wa miaka mitatu." Katika sanaa ya mijadala na mantiki (logic), kumshambulia mtu binafsi badala ya kujibu hoja zake (Ad Hominem) kunapunguza nguvu ya ujumbe wako. Historia inaonyesha kuwa wanasayansi na wanafalsafa wengi wakubwa walikuwa wasioamini, hivyo suala hili halihusiani na upungufu wa akili timamu.

Hitimisho kuu la makundi haya mawili ni kwamba tofauti zao hazitokani na ukosefu wa akili, bali zinatokana na vigezo tofauti kabisa wanavyovitumia kutathmini na kutafuta ukweli wa mambo. Muhtasari wa kiweledi unaomaliza mjadala huu unajikita katika mambo yafuatayo:
Misingi ya Tofauti Zao
  • Upande wa Wanaoamini (Theists): Wanatafuta maana ya maisha na chimbuko la ulimwengu kupitia imani, utaratibu wa asili, na utata wa kibaolojia. Kwao, uwepo wa ulimwengu uliopangwa kwa usahihi wa hali ya juu (fine-tuning) na wenye mifumo tata (complex machines) kama mwanadamu, ni ushahidi tosha kuwa kuna Mbunifu Mkuu (Intelligent Designer) nyuma yake.
  • Upande wa Wasioamini (Atheists): Wanatafuta ukweli kupitia ushahidi unaoshikika wa kimaabara (empirical evidence) na mchakato wa kisayansi. Kwao, kufananisha kitanda (kitu kisicho hai) na mwanadamu (kiumbe hai kinachoweza kubadilika kibaolojia kupitia evolution) ni kosa la kimantiki. Msimamo wao unajengwa juu ya ukosefu wa thibitisho thabiti la kisayansi kuhusu Mungu na changamoto ya uwepo wa uovu na mateso duniani.
Kuhitimisha kwa lugha ya staha kunaongeza heshima ya mjadala wako. Ukomavu wa kifikra ni kukubali kuwa binadamu wanaweza kuwa na akili nyingi sana na bado wakawa na misingi tofauti kabisa ya jinsi wanavyoutazama na kuutafsiri ulimwengu.
 
Back
Top Bottom