Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,889
- 9,392
shetani mwenyewe anajua kuwa Mungu yupoAtheists ni moja ya kazi ya Shetani wasiamini Mungu yupo, ili aendelee kuwatumia apendavyo.
shetani mwenyewe anajua kuwa Mungu yupoAtheists ni moja ya kazi ya Shetani wasiamini Mungu yupo, ili aendelee kuwatumia apendavyo.
Msela... soma biblia uielewe, usikumbatie wasemayo wachungaji - ni binadamu hao na huwa wanakosea...Kwa hiyo hizo story za Shetani na Mungu kwenye Biblia, hasa pale Mungu alipomwambia Shetani amjaribu na kumtesa Ayubu;
Kama wakati huo Shetani alikuwa bado hajamuasi Mungu, kwa nini Shetani anaonekana kuwa mbaya wakati yeye alikuwa anatekeleza alichoambiwa na Mungu?
Na kama Mungu ndiye aliyempa Shetani amri au ruhusa ya kumtesa Ayubu, kwa nini Shetani ndiye anaonekana kuwa chanzo cha uovu, wakati Mungu ndiye aliyetoa ruhusa ya hayo mabaya kutokea?
Sana mkuu... cha kuchekesha mambo ya darwinism na big bang theory hayana ushahidi ivo ni ya imani ya msomi kwamba elimu ni foolproof... kumbe elimu mara nyingine nia yake kukufoolWatu wagumu sana kuelewa kiongozi. Katika mambo ya maana kutokea ni ku barinwash watu wengi sana kuhusu haya mambo
Utakuta biblia inasema ... maandishi according to fulani , Eliya, Danieli, Yohana ama wengineoNani aliandika Biblia?
Labda shetani mmekutana akakwambia hivyo!shetani mwenyewe anajua kuwa Mungu yupo
Unaniambia nisome biblia nielewe wakati biblia yenyewe haieleweki na imekaa contradictions kuliko vitabu vya Nyambali Nyangwine.Msela... soma biblia uielewe, usikumbatie wasemayo wachungaji - ni binadamu hao na huwa wanakosea...
Shetani kazi yake kuu ni kushindana na Mungu kwamba aeza kuwageuza watu wake wote wamfuate yeye...
Anafanikiwa na baadhi, ila anashindwa kwa waliokomaa kiimani. Mungu katupa kipaji cha kuchagua, na anataka wafuasi waliochagua kumuumini na kufuata matakwa yake. HUU UWEZO WA KUCHAGUA NDO SABABU KUU ANARUHUSU MAJARIBIO... kama mateso ni sehemu ya majaribio kama ilivokuwa kwa Ayubu, basi anaacha na iwe, ila mwishowe anakuponya na kukubariki maradufu kama huu mfano wa Ayubu.
Therefore, kukujibu directly... umeandika Mungu alimpa amri shetani kumtesa Ayubu????? Hapana, aliruhusu majaribio na wala hakutoa amri hiyo.
Pia Kama shetani alikuwepo bustani ya Eden, we umeanzia wapi kuwazia hakuwepo duniani wakati anamjaribu Ayubu ????
Piga longo longoUtakuta biblia inasema ... maandishi according to fulani , Eliya, Danieli, Yohana ama wengineo
Swali lako ni kama kuuliza nani kaandika historia ya Kinjeketile na vita vya majimaji, ama historia ya vita vya Chifu Mkwawa na wajerumani. Waliandika wao?
watu weusi, hata bibliani tulikuwa na mila ya watu spesheli ambao kazi yao maishani ni kupokea elimu flani, kukariri, na kuisimulia kwa vizazi vijavyo... ORATORS IN ORAL TRADITION. Baadae sana maandishi yanapoweza kuchapishwa ndo mwingine anaandika...
Pia Biblia ya kale ipo Ethiopia ... uwezekano wa kwenda na kutafsiri na kuandika upo vizuri tu.
We taja sifa za mungu unayemwamini,tukupe hoja kwanini huyo mungu hawezi kuwepoWatu mnaopinga mada ni kwamba hamkubali uwepo wa huyu Abrahamic God au mnapinga idea ya kwamba kuna Mungu yeyote ambaye ana nguvu na akili kuliko chochote kwenye huu ulimwengu!
Piga longo longo
Maneno meeeeeengi
Unamaliza miti tu
Lete ushahidi wa Mungu aliumba binadamu
Asante Kwa wimbo nzuriView attachment 3654533
Nimetembea na hata kubishana na wachungaji... ila nilipojifundisha nje ya wachungaji na kutafakari... SIONI MWINGINE WA KUABUDIWA... PRAISES BE UNTO YAH (JAH)
Nilikuwa kwenye Bank ya shahawa za baba yangu.
🙂↔️
ila hauko sahihi ...mbegu shahawani si kiumbe hadi zikutane na yai ndo zitengeneze mtu / kiumbeSwali ulilouliza lilikuwa rahisi sana sema kwakuwa umejijibu mwenyew umejipendelea TUNAONA vitanda vinatengenezwa na mafundi Yani ipo hivyo je wew ulishawahi kuona Allah amemtengeneza mtu?Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".
Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "
At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".
How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?
Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.
Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".
Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..
Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..
" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..
Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Tumpelekee na wale Wagonjwa wanaofuata miujiza ya MWAMPOSAMafundi vitanda wanajulikana hata ukihitaji walipo unapelekwa na unaonyeshwa..!!
Kama mimi wangu yupo Keko
Wewe tuonyeshe mungu sasa yuko wapi niende akaniongezee hips..!!
Nilikuwa sijaona hii comment yako,Kim Jong Jr
Sikutaka kuingiza hii ndani ya mada ila ulivoshikilia 'genetic ancestry' zetu kwa masokwe kama Darwinism inavotuambia... ntaliingiza
Kama Darwin aliongelea wao wazungu basi kwa kiasi flani yuko sahihi... DNA za wazungu wengi ka si wote zina DNA ya Neanderthals (wale masokwe mtu waloishi mapangoni ulaya). ILA SISI WEUSI TUSIO MCHANGANYIKENI HATUNA. Kwa hiyo sisi tuliumbwa na Mola Mungu.
Pamoja na sayansi kuthibitisha hizi tofauti za DNA, pia kimantiki angalia nani ana vinyweleo kibao asiponyoa hugubikwa navo ka masokwe
Sasa hapo ndipo unajijibu mwenyewe. Umesema sperm peke yake si kiumbe, na yai peke yake si kiumbe kipya; zinapokutana ndipo zinaunda zygote, ambayo huendelea kuwa human organism.ila hauko sahihi ...mbegu shahawani si kiumbe hadi zikutane na yai ndo zitengeneze mtu / kiumbe
You said it all shekhe wetu, kwa ufupi mkubwa mwanadamu lazima awe na muabudiwa, lazima aabudu na hakuna budi isipokuwa hivyo.
Sasa itakapokuwa wamemkataa yule muabudiwa wa kweli aliyewaumba na anayewaruzuku kutoka mbinguni na ardhini basi wataabudu vingine tu katika viumbe wenzao.
Huenda wakaabudu matamanio ya nafsi zao, elimu zao, mapenzi ya kupenda vitu vya kidunia au kuabudu kisichojulikana kama kusema huyu muabudiwa wa waislamu na wakristo sisi hatumkubali ila tunaamini yupo wa kweli, al muhimm wanahangaika na watahangaika mpaka siku ya kufa kwao na mwisho watakutana na Allah mbele yao, naye atawapa hesabu ya matendo yao na Allah ni mpesi wa kuhesabu.
Nashukuru kwa kuniita ustadh Baljurashi
You said it all shekhe wetu, kwa ufupi mkubwa mwanadamu lazima awe na muabudiwa, lazima aabudu na hakuna budi isipokuwa hivyo.
Sasa itakapokuwa wamemkataa yule muabudiwa wa kweli aliyewaumba na anayewaruzuku kutoka mbinguni na ardhini basi wataabudu vingine tu katika viumbe wenzao.
Huenda wakaabudu matamanio ya nafsi zao, elimu zao, mapenzi ya kupenda vitu vya kidunia au kuabudu kisichojulikana kama kusema huyu muabudiwa wa waislamu na wakristo sisi hatumkubali ila tunaamini yupo wa kweli, al muhimm wanahangaika na watahangaika mpaka siku ya kufa kwao na mwisho watakutana na Allah mbele yao, naye atawapa hesabu ya matendo yao na Allah ni mpesi wa kuhesabu.
Nashukuru kwa kuniita ustadh Baljurashi