Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,783
- 110,710
Energy haijali kama umekula kitimoto,Mungu naye ni Energy....sasa utasema kama Mungu naye ni energy na sisi ni energy kwa nini sisi siyo Mungu ? Nini tofauti ya energy ya mungu na energy sisi? Jibu sisi ni sehemu ndigo tu ya eneryg ya Mungu ...Mungu ni Energy yote na ufahamu wa hiyo energy yote kwa ujumla ndiyo mungu ..sisi ni sehemu tu ya mungu...
Kidini neno la kisayansi energy linatambulika kama spirit
Tatizo lako ni kushidwa kutambua mungu ni nini ...MUNGU NI NGUVU ZOTE ZA ENERGY TENA ZINA UFAHAMU (HIVYO HUO UFAHAMU WA ENEGRY YOTE ULIMENGUNI NDIYO NAFSI YA MUNGU NA NDIYO MUNGU
Energy haijali kama wewe ni shoga au sio shoga,
Energy haijali kama umetembea na mke wa mtu,
Energy haijali kama umesali Jumamosi au Jumapili,
Energy haijali kama umesali sala tano, kumi, mia au haujasali kabisa.