Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

Hapo umegusa hoja nyeti sana, mimi binafsi siwezi kusema ni wagonjwa wa akili ila wana reasoning yao tu. Kama mtu anaamini kila kitu kimetengenezwa basi ni logic gani kusema universe ipo tu hivyo?
Wanasayansi wengi na Atheists hawasemi kila kitu kimetengenezwa.
 
Ndugu mtoa mada (LIKUD), hoja yako uliyoileta inaibua mjadala mzito na wa kihistoria unaogusa misingi ya kifalsafa ya "Watchmaker Analogy" (Mfano wa Mtengeneza Saa)—hoja ambayo imetumiwa na wanafikra wengi wakubwa kutetea uwepo wa Muumba kutokana na utata na mpangilio wa ulimwengu. Ni hoja yenye mashiko katika ulimwengu wa teolojia na falsafa.

Hata hivyo, ili kulinda uzito wa hoja yako na kuifanya ikubalike kitaaluma, siyo vizuri au salama kimantiki kuhitimisha kwa kuwaita wasioamini (Atheists) "wagonjwa wa akili" au kudai "wanazidiwa akili na mtoto wa miaka mitatu." Katika sanaa ya mijadala na mantiki (logic), kumshambulia mtu binafsi badala ya kujibu hoja zake (Ad Hominem) kunapunguza nguvu ya ujumbe wako. Historia inaonyesha kuwa wanasayansi na wanafalsafa wengi wakubwa walikuwa wasioamini, hivyo suala hili halihusiani na upungufu wa akili timamu.

Hitimisho kuu la makundi haya mawili ni kwamba tofauti zao hazitokani na ukosefu wa akili, bali zinatokana na vigezo tofauti kabisa wanavyovitumia kutathmini na kutafuta ukweli wa mambo. Muhtasari wa kiweledi unaomaliza mjadala huu unajikita katika mambo yafuatayo:
Misingi ya Tofauti Zao
  • Upande wa Wanaoamini (Theists): Wanatafuta maana ya maisha na chimbuko la ulimwengu kupitia imani, utaratibu wa asili, na utata wa kibaolojia. Kwao, uwepo wa ulimwengu uliopangwa kwa usahihi wa hali ya juu (fine-tuning) na wenye mifumo tata (complex machines) kama mwanadamu, ni ushahidi tosha kuwa kuna Mbunifu Mkuu (Intelligent Designer) nyuma yake.
  • Upande wa Wasioamini (Atheists): Wanatafuta ukweli kupitia ushahidi unaoshikika wa kimaabara (empirical evidence) na mchakato wa kisayansi. Kwao, kufananisha kitanda (kitu kisicho hai) na mwanadamu (kiumbe hai kinachoweza kubadilika kibaolojia kupitia evolution) ni kosa la kimantiki. Msimamo wao unajengwa juu ya ukosefu wa thibitisho thabiti la kisayansi kuhusu Mungu na changamoto ya uwepo wa uovu na mateso duniani.
Kuhitimisha kwa lugha ya staha kunaongeza heshima ya mjadala wako. Ukomavu wa kifikra ni kukubali kuwa binadamu wanaweza kuwa na akili nyingi sana na bado wakawa na misingi tofauti kabisa ya jinsi wanavyoutazama na kuutafsiri ulimwengu.
AI
 
Waislamu nao wameambiwa na Mungu katika Qur’an:

«“Wapigeni wale wasioamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho… mpaka walipe kodi, huku wakijisalimisha kwa hiari na kwa unyenyekevu kamili.”»

Hii ni Qur’an 9:29.

Yaaani Mungu mwenye upendo na binadamu aliowaumba anaamuru wapigwe.

Sasa swali langu ni hili: kama Mungu huyo anaelezwa kuwa ni Mungu wa upendo, kwa nini anaamuru watu wapigwe kwa sababu ya imani yao na walazimishwe kulipa kodi kwa hali ya kujisalimisha?

Tukihoji huo “upendo wa Mungu” tunaambiwa tu kwamba akili zetu zimeturuka.

Haya bana
 
Attachments

  • Screenshot_20260819-173553.png
    Screenshot_20260819-173553.png
    338.7 KB · Views: 5
Darwinism theory inajenga Kwa evidence za common ancestry, natural selection, genetic mutations, au ushahidi wa fossils na genetics.

Umeombwa uchague dimension ipi kati ya hizo uanze kuichallenge unaleta story.

Lete evidence kuwa binadamu alitokana na nyani based on darwinism theory na sio janja janja!
Kiujumla, pamoja na yote unayochambua... basically, Darwinism inatuambia tuna chimbuko tokea masokwe, iwe relatively explained or otherwise, bado anasema hatujaumbwa kipekee bali tume-evolve from masokwe.
Point yangu ni hiyo basically - uhusiano na masokwe - yaani ndo chimbuko letu. Na nasema Hapana.
Sipo hapa ku discuss darwinism... siiamini thus really sihitaji kujadili pointi zako.
 
Walokole mbona mna vichwa vigumu ninyi

Evolutionary theory haisemi kwamba binadamu walitoka kwa masokwe wanaoishi leo.

Inasema binadamu na sokwe wakubwa wa leo, hasa chimpanzee na bonobo, wana common ancestor wa zamani aliyeishi takribani miaka milioni 6–8 iliyopita.

Huyo Mungu wenu ana kazi sana kuelewesha watu kama nyie

Hebu ingia hapa ujifunze

All in all thibitisha Mungu kama yupo.
 
Attachments

  • Screenshot_20260819-194133.png
    Screenshot_20260819-194133.png
    1 MB · Views: 5
Walokole mbona mna vichwa vigumu ninyi

Evolutionary theory haisemi kwamba binadamu walitoka kwa masokwe wanaoishi leo.

Inasema binadamu na sokwe wakubwa wa leo, hasa chimpanzee na bonobo, wana common ancestor wa zamani aliyeishi takribani miaka milioni 6–8 iliyopita.

Huyo Mungu wenu ana kazi sana kuelewesha watu kama nyie

Hebu ingia hapa ujifunze

All in all thibitisha Mungu kama yupo.
Inasikitisha
 
Labda hukunielewa jibu la awali.
SIAMINI Darwinism, thus sina taimu kuijadili wala kusoma hizo link.
Blank point - Darwinism ni atheism, inatafuta sababu ya chanzo cha mwanadamu kwa sababu hakuamini Mungu aliumba mwanadamu.
 
Sasa kama hutaki Darwinism kwanini unaijengea hoja.

Si ulete hoja za upande wa Mungu.

Leo ni siku ya 3 nakuomba ushahidi wa Mungu kuumba binadamu haujanipa.
 
Sasa kama hutaki Darwinism kwanini unaijengea hoja.

Si ulete hoja za upande wa Mungu.

Leo ni siku ya 3 nakuomba ushahidi wa Mungu kuumba binadamu haujanipa.
Soma biblia kupata jibu la Mungu kumuumba binadamu.
Afu tafakari intelligent design, kisha angalia uumbaji wake ulivo intelligent bila kipingamizi chenye mantiki.
 
Soma biblia kupata jibu la Mungu kumuumba binadamu.
Afu tafakari intelligent design, kisha angalia uumbaji wake ulivo intelligent bila kipingamizi chenye mantiki.
Kusoma bibliq na kuamini uumbaji wa Mungu hiyo ni Imani sio ushahidi.

Lete hapa ushahidi wa Mungu kuumba binadamu
 
Mungu mwenye upendo wote anaruhusu vipi mtoto mdogo asie na hatia kuuawa!

Kama Mungu aliweza kutoka wana wa Israel, anashindwa vipi kuzuia hili tukio Kwa mtoto.
 
Attachments

  • Screenshot_20260819-230947.png
    Screenshot_20260819-230947.png
    1.3 MB · Views: 5
Mungu mwenye upendo wote anaruhusu vipi mtoto mdogo asie na hatia kuuawa!

Kama Mungu aliweza kutoka wana wa Israel, anashindwa vipi kuzuia hili tukio Kwa mtoto.
Shetani anatawala dunia, ndio maana alimuonyesha Yesu Yahusha sehemu nzuri za hapa duniani akimwambia ntakupa hizi ukinusujudia.

Binadamu wa umri wowote kuuawa bila hatia ni mbaya na ni dhambi mbele ya Mungu... ya kuhukumiwa hapa duniani ama mambeleni huko baada ya kufufuliwa.

NB: Mambo wachungaji wanatuambia makaburini eti utaenda mbinguni ukiwa uliishi vizuri ni porojo na halimo bibliani.
 
Kwahiyo

Mungu aliumba Dunia

Mungu akaumba mwanadamu Aishi duniani

Mungu akamuumba shetani

Shetani Kwa mujirbu wako anaitawala Dunia aliyoumba Mungu

Halafu ukifungua biblia ayubu 2:1-13... Mungu na shetani wamejaa zao wanapiga story halafu walokole wakosa akili wako wananunua mafuta ya UPAKO Kwa MWAMPOSA Ili kumtomokeza shetani Kwa nguvu za Mungu. 😆
 
Attachments

  • Screenshot_20260820-000137.png
    Screenshot_20260820-000137.png
    408.5 KB · Views: 5
Kwahiyo

Mungu aliumba Dunia

Mungu akaumba mwanadamu Aishi duniani

Mungu akamuumba shetani

Shetani Kwa mujirbu wako anaitawala Dunia aliyoumba Mungu

Halafu ukifungua biblia ayubu 2:1-13... Mungu na shetani wamejaa zao wanapiga story halafu walokole wakosa akili wako wananunua mafuta ya UPAKO Kwa MWAMPOSA Ili kumtomokeza shetani Kwa nguvu za Mungu. 😆
Shetani alikuwa Malaika mkuu kabla ya kuasi kisa mbichwa....
We unanukuu biblia afu hujui hili? Labda ndo maana unaamini darwinism
 
Shetani alikuwa Malaika mkuu kabla ya kuasi kisa mbichwa....
We unanukuu biblia afu hujui hili? Labda ndo maana unaamini darwinism
Kwa hiyo hizo story za Shetani na Mungu kwenye Biblia, hasa pale Mungu alipomwambia Shetani amjaribu na kumtesa Ayubu;

Kama wakati huo Shetani alikuwa bado hajamuasi Mungu, kwa nini Shetani anaonekana kuwa mbaya wakati yeye alikuwa anatekeleza alichoambiwa na Mungu?

Na kama Mungu ndiye aliyempa Shetani amri au ruhusa ya kumtesa Ayubu, kwa nini Shetani ndiye anaonekana kuwa chanzo cha uovu, wakati Mungu ndiye aliyetoa ruhusa ya hayo mabaya kutokea?
 
Back
Top Bottom