Kwani kujua maana yake ni nini?Ambao ni upi huo?
Kwani kujua maana yake ni nini?Ambao ni upi huo?
Hivyo tu?TUMIA AKILI MUNGU ANAUMBA KWA KUIFANYA ENERGY ATAKAVYO
Wewe ulipojubu ndio, ulijibu kwa rejea ya tafsiri ipi?Kwani kujua maana yake ni nini?
Unatumia maneno aliandika Isaya au Yohana miaka 2000 iliyopita kana kwamba huwezi kutumia kichwa chako kufikiri.Maandiko ambayo ndio msingi wa dini (UKRISTO) yanasema wale wanaoisikia sauti ya Mungu na kutii hao ndio wanaunda taifa teule la Mungu (kut 19:5). Sauti ya Mungu ni Agalo (mkataba) kwahiyo kama kuna agano maana yake kuna vitu viwili (HAKI & WAJIBU) ninapolielewa agano na kutenda kama linavyoniagiza ndipo ninapokuwa mwenye haki mbele za Mungu, Ndipo Mungu anaweza kupendezwa nami na kunipa baraka alizoahidi.
Jambo tunalotakiwa kuelewa ni kuwa Mungu katika kila enzi huchaguwa watu na kuweka nao Agano mf (israel/ wayahudi) ndio maana tunamuita Mungu wa maagano. Kama ilivyokuwa tangu enzi ya Abrahamu Mungu alisimama tuu na taifa lile aliloweka naLo Agano japokuwa mataifa mengine yalikuwapo lakini Mungu alisimama na Israel pekee sababu ndio alioweka nao agano. Hata wewe leo huwezi wajibika kwa mtu pasipo makubaliano baina yenu.
Maandiko yanaonyesha Israel walioteuliwa na kupewa agano na Mungu kupitia mitume na manabii walikuwa na ukaidi katika kuenda sawa na maagizo ya Mungu (kukosa kuitii sauti ya Mungu). Mungu kupitia manabii akaahidi kuikomboa israel kwa kumleta MFALME, MWANA WA PEKEE, YESU KRISTO, ambaye alikuja kwa mujibu wa maandiko ambayo wayahudi hawa walikuwa wakiyasoma kila sabato, Ajabu ni kwamba walishindwa kumtambua na kumpokea, Ahadi ya kuja kwa mkombozi walikuwa nayo na walikuwa wakikiri kuwa Mungu aliwaahidi mkombozi kutokea shina la Daudi. Yet alipokuja walimpinga na kumsulubisha (matend 13:27)
Kwakumkataa yesu na kumsulubisha (math 27:20-26) baraka iliondolewa kwao kwakuwa hawakuweza kutii na kulishika Agano (mapenzi ya Mungu) la Mungu ambapo ilikuwa ni wao kumpokea na kumsikiliza yesu. Ndipo lilipokuja Agano Jipya ambalo hili tofauti na la mwanzo huitaji kuwa muisraeli ili kuwa taifa la Mungu unachoitaji ni kumkiri yesu nakuamini kuwa ndiye bwana na mwokozi (MKRISTO) (sound simple but its not) (math 8:11-13). Kupitia kristo tunaesabiwa haki kwa IMANI (warum 10:5). kuna hivi vitu vitatu vya msingi sana katika maisha ya imani (MAARIFA, IMANI, MATENDO).
IMANI msingi wake ni MAARIFA ili niweze kukuamini natakiwa kukujua kwanza then IMANI yangu kwako itapimwa kupitia matendo yangu. Mfn ninaamka kula siku ninawai kazini na kutimiza majukumu yangu kama tulivyokubaliana na boss wangu kwa sababu ninafahamu fika(MAARIFA) boss wangu(KAMPUNI) anaouwezo wa kulipa kile tulichokubaliana. Yesu mwenyewe anasema (yoh 14:21) kumpenda yeye ni kushika amri zake (neno lake) Ambalo ndilo Agano, ndiyo mapenzi ya Mungu aliyotumwa kuja kutufundisha.
MHUB 1:9, Inasema hakuna jipya chini ya jua. WAYAHUDI (VIONGOZI WA DINI) WALIKUA NA AGANO LA KALE (MAANDIKO) WALIKUA WAKIISHI MAISHA YA IMANI KAMA SISI SASA, LAKINI WALISHINDWA KULISHIKA AGANO, WALIKUWA NA IMANI AMBAO MSINGI WAKE ULIKUWA NI MAWAZO YA WANADAMU (Isaya 29:13) TUKUMBUKE MAWAZO YA MUNGU SI YA MWANADAMU NI MBINGU NA ARDHI. BIBLIA IMEFUNGWA KWA MAFUMBO NA MIFANO NI PALE TUU UTAKAPOELEWA MAANA ZA MAFUMBO NA MIFANO ILIYOTUMIKA NDIPO UTAKAPO WEZA KUELEWA UJUMBE ULIOPO. MUNGU PEKEE NDIO ANAYEWEZA KUFICHUA MAFUMBO HAYA YAANI MAANA YA YOTE YALIYOFICHWA KWENYE BIBLIA ZINAPATIKANA KUPITIA BIBLIA PEKEE. HAPO NDIPO UTAKAPOWEZA KUISOMA BIBLIA NA USIONE CONTRADICTION YEYOTE. (yerem 33:3)(math 5:6)(math 7:7), Ufalme wa MUNGU hauji kwa kuutamani,kuulilia, tunapaswa kuutafuta na kuyajua MAANDKIKO (AGANO) yasiyoghushiwa ndio njia ya kuuendea ufalme wa MUNGU.
🙂🙂
Basi kama unaandika Kwa uelewaSi andiki kubishana.
Uelewa.
NdiyoHivyo tu?
Daaaah hii kali 🤣🤣🤣Unatumia maneno aliandika Isaya au Yohana miaka 2000 iliyopita kana kwamba huwezi kutumia kichwa chako kufikiri.
Mtumwa wewe!
Ni hatari sana kujua Historia nusu nusu. Matokeo yake ni kuwa na mtu hatari kama wewe.
Indeed, umejilenga
Mtandaoni Darwinism ipo na wala si memes... study more or peruse internet manake wabatwuka mno na kejeli zisizo na msingi wala wa kielim
Indeed, umejilenga
Mtandaoni Darwinism ipo na wala si memes... study more or peruse internet manake wabatwuka mno na kejeli zisizo na msingi wala wa kielimu
Darwinism theory inajenga Kwa evidence za common ancestry, natural selection, genetic mutations, au ushahidi wa fossils na genetics.Indeed, umejilenga
Mtandaoni Darwinism ipo na wala si memes... study more or peruse internet manake wabatwuka mno na kejeli zisizo na msingi wala wa kielimu
Unapoyaondoa maandiko ukategemea mawazo yako kwenye kufasiri Ahadi ya Mungu lazima utapishana na gari la mshahara kama walivyokuwa wayahudi apo mwanzo. note it takes a golddiger to recognize a true Gold. kama wew unatafuta kumjua Mungu kupitia maandiko utampata (math 5:6). na kama umeridhika na hicho unachokijua then uwezi pata zaidi.Unatumia maneno aliandika Isaya au Yohana miaka 2000 iliyopita kana kwamba huwezi kutumia kichwa chako kufikiri.
Mtumwa we
Kama Mungu ametupa akili ya kutafuta ukweli, kwa nini Mimi nikitumia hiyo akili kuhoji maandiko iwe tatizo? Kama maandiko ni kweli, basi yanapaswa kustahimili uchunguzi wa akili si kutaka nikubali kwanza ndipo niruhusiwe.Unapoyaondoa maandiko ukategemea mawazo yako kwenye kufasiri Ahadi ya Mungu lazima utapishana na gari la mshahara kama walivyokuwa wayahudi apo mwanzo. note it takes a golddiger to recognize a true Gold. kama wew unatafuta kumjua Mungu kupitia maandiko utampata (math 5:6). na kama umeridhika na hicho unachokijua then uwezi pata zaidi.
Jibu swali uulize swali lako.Wewe ulipojubu ndio, ulijibu kwa rejea ya tafsiri ipi?
Katika hayo ulioandika unahitaji nini? Ushahidi upate kujua? Au unahitaji kujua upate ushahidi?Nieleweshe Kwa kunipa evidence alipo mjenzi wa Dunia kama sisi tunavyoweza kukupa evidence za mjenzi wa nyumba.
Kazi ya kuthibitisha ni yakwako na wala si mtu mwingine, lakini kumbuka maandiko ni sheria ya Mungu na sheria siku zote hufasiriwa na sheria na wala si mawazo ya watu. Maana kama ingekuwa rahisi hivyo basi leo wakristo wote ulimwenguni wangekuwa na kauli moja. strangeKama Mungu ametupa akili ya kutafuta ukweli, kwa nini Mimi nikitumia hiyo akili kuhoji maandiko iwe tatizo? Kama maandiko ni kweli, basi yanapaswa kustahimili uchunguzi wa akili si kutaka nikubali kwanza ndipo niruhusiwe.
Usitumie biblia kuthibitisha mamlaka ya biblia. Kwanza thibitisha kwa nini kitabu hicho kinapaswa kupewa mamlaka; baada ya hapo ndipo tafsiri zake ziwe na uzito.
Wewe ndiye unayedai kwamba maandiko ni sheria ya Mungu, kwa hiyo ni jukumu lako kuonyesha kwa nini ni sheria ya Mungu; si jukumu langu kuthibitisha kwamba si sheria ya Mungu.Kazi ya kuthibitisha ni yakwako na wala si mtu mwingine, lakini kumbuka maandiko ni sheria ya Mungu na sheria siku zote hufasiriwa na sheria na wala si mawazo ya watu. Maana kama ingekuwa rahisi hivyo basi leo wakristo wote ulimwenguni wangekuwa na kauli moja. strange
Nahitaji ushahidi ili nifikie kwenye conclusion ya kwamba Mungu ndio aliumbw Dunia kama ulivyosema.Katika hayo ulioandika unahitaji nini? Ushahidi upate kujua? Au unahitaji kujua upate ushahidi?
Nichukuwe huu mfano wako na hapa nanukuu" Unasema Tundu lisu ni Gaidi wewe ndio inabidi utoe evidence."Sasa kwenye dunia, wewe unadai kuna Muumba nyuma yake. ni evidence gani ilikupeleka kwenye conclusion kwamba Mungu ndio mjenzi wa Dunia.
Wewe ndio mwenye claim hivyo basi burden of proof Iko upande wako sio Mimi.
Unasema Tundu lisu ni Gaid wewe ndio inabidi utoe evidence.
Nyuma ya huo uwepo wa hali ya juu wenye akili mnaouita mungu kuna nini?Nichukuwe huu mfano wako na hapa nanukuu" Unasema Tundu lisu ni Gaidi wewe ndio inabidi utoe evidence."
Kwenye maelezo yangu nimesema nyuma ya ulimwengu angalau vitu vya asili vinavyoooneka kuna "Uwepo wa Hali ya Juu Wenye Akili" tunaouita Mungu.
Sababu za kufikia hitimisho hilo ni jinsi gani ulimwengu ulivyotokea; ulivyo na mpangilio na muundo, unavyofanya kazi na unavyoendelea.
Aidha, (sababu nyingine) ni maarifa ya binadamu yana asili ya huo Uwepo wa Hali ya Juu Wenye Akili (Mungu).
Binadamu ameweza kuunda mitambo baada ya kuangalia vitu vya asili jinsi vinavyofanya kazi. Amejifunza sheria za fizikia; akajifunza viumbe hai jinsi vinafanya kazi akaunda mitambo mbalimbali.
Kwa lugha rahisi ameiga vitu vya asili kuunda vifaa mbalimbali.
Ndiyo alituumba kutokana na nguvu(energy) za mungu zilizopo ...yaani uumbaji wa Mungu maana yake ni art of energy" katika kanuni ile ile ya energy can change from one for to another.Na kama tulikuwepo milele kabla ya kuwa binadamu, Mungu alituumba kweli au alibadilisha tu kitu ambacho tayari kilikuwepo milele kuwa form nyingine? Hapo ndipo nataka unieleze vizuri.
Kuna tatizo kwenye hili.Nahitaji ushahidi ili nifikie kwenye conclusion ya kwamba Mungu ndio aliumbw Dunia kama ulivyosema.