Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

Atheists ni washirikina ambao wamemkanusha Allah kwa jeuri, kiburi na matamanio ila wakachukua Sifa zake wakazipeleka kwa "nature", "sayansi", "ulimwengu" kisha wanaziabudu kinyume na Allah.

Hawa ni waabudu nature kama waabudu nature wa zamani na wa sasa wanaoendelea kuabudu nature. Tofauti yao ni wale waabudu nature wa zamani (kama waabudu Jua, Mwezi, Nyota, milima) wale walikuwa wazi na direct. Hawa "atheists" wa leo wanajificha nyuma ya Sayansi, Usomi, Mantiki, na Falsafa falsafa na ujanja ujanja wa kucheza na lugha.

Kila mtu ameumbwa na maumbile ya kutambua kuwepo kwa Muumba ambaye Analea na kuruzuku na kutambua kuwa Muumba huyo Ana uwezo juu ya kila kitu hivyo anapaswa kumnyenyekea na kumtii na kumuabudu. Ila yale maumbile yakiwa misguided ataabudu watu, wanyama, mazingira, na kadhalika. Kila mtu ameumbwa na hiyo fitra ya kuhitaji kumuabudu Muumba wake, lile hitaji la kuabudu lipo ndani ya MwanaAdamu, sasa wengine kwa sababu mbali mbali wanai misplace wanaabudu viumbe badala ya Muumba, ila ile hali ya kuhitaji kuabudu ipo ndani yao.

Asipomuabudu Muumba wake ataabudu viumbe wenzake tu.

Asipokubali kuwa mtumwa wa Muumba wake na kumnyenyekea na kumdhalilikia, atakuwa mtumwa wa viumbe tu. Kwa sababu hitaji la kuabudu lipo ndani ya maumbile yake.

Atheists ni watu tu kwa kiburi na matamanio wanaamua kujidanganya ila ndani ya nafsi zao wanajua kuwa yupo Muumba, ila wameamua kuabudu nature, ulimwengu or whatever kinyume na Muumba wao ila kwa kiburi wanajificha nyuma ya maneno maneno meeengi.

Kazakh destroyer
 
Ulimuona wapi huyo Mungu ukajua ni energy?

Au unajaribu kuhusisha Energy na huyo Mungu wako wa kufikirika?

Energy CANNOT be created or destroyed.

Kama kila kitu ni Energy. It means hatukuwa created.

Na huyo Mungu wako anakuwa hayupo.

Huelewi wapi?
Kuhusu kumuona Mungu ..nimekuambia kuwa energy ndiyo huyo huyo MUNGU SISI NI SEHEMU TU YA YEYE....SASA SWALI LAKO NI SAWA NA KUSEMA KUWA KISAYANSI NI UONGO KUSEMA KUNA ENERGY ..

ENERGY=GOD sisi ni sehemu ndogo ya ENERGY yaani MUNGU
 
Atheists ni washirikina ambao wamemkanusha Allah kwa jeuri, kiburi na matamanio ila wakachukua Sifa zake wakazipeleka kwa "nature", "sayansi", "ulimwengu" kisha wanaziabudu kinyume na Allah.

Hawa ni waabudu nature kama waabudu nature wa zamani na wa sasa wanaoendelea kuabudu nature. Tofauti yao ni wale waabudu nature wa zamani (kama waabudu Jua, Mwezi, Nyota, milima) wale walikuwa wazi na direct. Hawa "atheists" wa leo wanajificha nyuma ya Sayansi, Usomi, Mantiki, na Falsafa falsafa na ujanja ujanja wa kucheza na lugha.

Kila mtu ameumbwa na maumbile ya kutambua kuwepo kwa Muumba ambaye Analea na kuruzuku na kutambua kuwa Muumba huyo Ana uwezo juu ya kila kitu hivyo anapaswa kumnyenyekea na kumtii na kumuabudu. Ila yale maumbile yakiwa misguided ataabudu watu, wanyama, mazingira, na kadhalika. Kila mtu ameumbwa na hiyo fitra ya kuhitaji kumuabudu Muumba wake, lile hitaji la kuabudu lipo ndani ya MwanaAdamu, sasa wengine kwa sababu mbali mbali wanai misplace wanaabudu viumbe badala ya Muumba, ila ile hali ya kuhitaji kuabudu ipo ndani yao.

Asipomuabudu Muumba wake ataabudu viumbe wenzake tu.

Asipokubali kuwa mtumwa wa Muumba wake na kumnyenyekea na kumdhalilikia, atakuwa mtumwa wa viumbe tu. Kwa sababu hitaji la kuabudu lipo ndani ya maumbile yake.

Atheists ni watu tu kwa kiburi na matamanio wanaamua kujidanganya ila ndani ya nafsi zao wanajua kuwa yupo Muumba, ila wameamua kuabudu nature, ulimwengu or whatever kinyume na Muumba wao ila kwa kiburi wanajificha nyuma ya maneno maneno meeengi.

Kazakh destroyer
Hakuna Mungu.

Hakuna Muumba.

Hakuna Allah.
 
Kama kila kitu ni Energy.

Na Energy cannot be created or destroyed.

It means, Hakuna kilichoumbwa.

Kwa sababu energy CANNOT be created. Na kila kitu energy.

Huelewi nini?

Kama kila kitu ni energy na energy cannot be created, Huoni kwamba hakuna muumbaji?

Kwa sababu kila kitu ni energy, Na energy haiwi created.

Una elewa?
UUMBAJI MAANA YAKE CHANGE OF FORM YA ENERGY ..KAZA AKILI UNAKALIBIA KUELEWA ...

KIPENGELE CHA UUMBAJI WA MUNGU KIPO KWENYE > ENERGY INABADILIKA KUTOKA MUUNDO MMOJA HADI MWINGINE >hii ndiyo uumbaji ..Mungu anabadili energy kuwa maji au kuwa moto au kuwa sauti au kuwa usumaku au kuwa mwanadamu au kuwa jini huo ndiyo uumbaji a
 
Kuhusu kumuona Mungu ..nimekuambia kuwa energy ndiyo huyo huyo MUNGU SISI NI SEHEMU TU YA YEYE....SASA SWALI LAKO NI SAWA NA KUSEMA KUWA KISAYANSI NI UONGO KUSEMA KUNA ENERGY ..

ENERGY=GOD sisi ni sehemu ndogo ya ENERGY yaani MUNGU
Kwa nini energy iwe Mungu?

Kwani Energy haiwezi kubaki energy?

Kwa nini useme Energy ni Mungu?

Hili neno Mungu umelitoa wapi?
 
UUMBAJI MAANA YAKE CHANGE OF FORM YA ENERGY ..KAZA AKILI UNAKALIBIA KUELEWA ...

KIPENGELE CHA UUMBAJI WA MUNGU KIPO KWENYE > ENERGY INABADILIKA KUTOKA MUUNDO MMOJA HADI MWINGINE >hii ndiyo uumbaji ..Mungu anabadili energy kuwa maji au kuwa moto au kuwa batidi ay kuwa sauti au kuwa usumaku au kuwa mwanadamu au kuwa jini huo ndiyo uumbaji a
Kama binadamu na sisi ni energy.

Na energy cannot be created or destroyed.

Huoni kwamba binadamu hatuumbwi kwa sababu hata sisi ni energy?

Sisi ni energy hatuumbwi.

Tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.

Huelewi nini?

Sisi ni energy hatuumbwi na wala hatukuumbwa.
 
Ndio maana kuna reply nimekwambia wewe kwa maelezo yako una chuki na Dini siyo Mungu, huelewi nini?

Hujui kusoma kwa ufahamu?
So what kama nina chuki na dini?
Kwanza sichukii dini, ni kwamba siamini dini kwa sababu naona ni upuuzi mtupu. Kama kuna kitu nimegundua hapa duniani ni kwamba hakuna yoyote anayejua lolote linaloendelea.
Wote mnaotetea uwepo wa Mungu hamjui Mungu katoka wapi, hamjawahi kumuona wala kumsikia, zaidi mmepata stori zake kutoka kwa watu wengine. Na hizi story ukisikiliza nyingi ni bullshit ndio maana watu wengine tunaona huyo Mungu ni "Made up character", sio real, hayupo. Yupo midomoni mwa watu ila sehemu nyingine hayupo
 
Wewe sio wa kwanza kugundua kuwa dini zina mapungufu, zaidi unaendeleza ujinga tu waliouanzisha wenzako.

Unatoa hoja nyepesi za kitoto sana, sijui nawezaje hata kujadili na mtu kama wewe ambaye hujakidhi viwango vya kufanya mjadala na mimi, hiyo consciousness uliyonayo imetoka wapi?

Kama asili ya ulimwengu ni blind matter , imewezaje kutengeneza kiumbe chenye akili kama wewe kinachoweza kuhoji kuwepo kwake?

Nipe hoja zenye mantiki siyo blah blah za kitoto, nitakupuuza.
 
Atheists ni washirikina ambao wamemkanusha Allah kwa jeuri, kiburi na matamanio ila wakachukua Sifa zake wakazipeleka kwa "nature", "sayansi", "ulimwengu" kisha wanaziabudu kinyume na Allah.

Hawa ni waabudu nature kama waabudu nature wa zamani na wa sasa wanaoendelea kuabudu nature. Tofauti yao ni wale waabudu nature wa zamani (kama waabudu Jua, Mwezi, Nyota, milima) wale walikuwa wazi na direct. Hawa "atheists" wa leo wanajificha nyuma ya Sayansi, Usomi, Mantiki, na Falsafa falsafa na ujanja ujanja wa kucheza na lugha.

Kila mtu ameumbwa na maumbile ya kutambua kuwepo kwa Muumba ambaye Analea na kuruzuku na kutambua kuwa Muumba huyo Ana uwezo juu ya kila kitu hivyo anapaswa kumnyenyekea na kumtii na kumuabudu. Ila yale maumbile yakiwa misguided ataabudu watu, wanyama, mazingira, na kadhalika. Kila mtu ameumbwa na hiyo fitra ya kuhitaji kumuabudu Muumba wake, lile hitaji la kuabudu lipo ndani ya MwanaAdamu, sasa wengine kwa sababu mbali mbali wanai misplace wanaabudu viumbe badala ya Muumba, ila ile hali ya kuhitaji kuabudu ipo ndani yao.

Asipomuabudu Muumba wake ataabudu viumbe wenzake tu.

Asipokubali kuwa mtumwa wa Muumba wake na kumnyenyekea na kumdhalilikia, atakuwa mtumwa wa viumbe tu. Kwa sababu hitaji la kuabudu lipo ndani ya maumbile yake.

Atheists ni watu tu kwa kiburi na matamanio wanaamua kujidanganya ila ndani ya nafsi zao wanajua kuwa yupo Muumba, ila wameamua kuabudu nature, ulimwengu or whatever kinyume na Muumba wao ila kwa kiburi wanajificha nyuma ya maneno maneno meeengi.

Kazakh destroyer
Kama hiyo fitrah ni ushahidi wa Allah, kwa nini watu wenye akili timamu na nia njema wanapata imani tofauti kabisa kuhusu Mungu? Muslim anasema Allah, Mkristo anasema Mungu katika Utatu, mwingine anasema miungu mingi, mwingine deist, mwingine haoni sababu ya kuamini Mungu.

Fitrah hiyo iko wapi ikiwa haiwapei watu conclusion moja?
Na kusema atheist anaabudu ‘nature’ kwa sababu tu hamwamini Allah ni false dilemma. Mtu anaweza kukataa Mungu bila kuabudu nature, sayansi, au mwanadamu. Kutokukubali X hakumaanishi umeabudu Y.

Pia kama Allah ni mwenye ujuzi wote na anataka watu wamuabudu, kwa nini ukweli wake haujionyeshi kwa uwazi kwa watu wote? Kwa nini mtu anaweza kuzaliwa katika mazingira ya Kiislamu na akaona Islam ni obvious, mwingine akazaliwa Hindu akaona Hinduism ni obvious, mwingine akasoma yote mawili na bado akawa atheist? Hapo ndipo tatizo la divine hiddenness linapoingia.

Kwahiyo unavyosema kila mtu ndani yake anajua Allah yupo si ushahidi wa Allah. Ni assumption ya dini yako kuhusu hali ya ndani ya watu, halafu unaitumia assumption hiyo kuthibitisha dini yako.

Na kama unataka kuthibitisha Allah, usiniambie kwamba ninamjua Allah ndani yangu. Nionyeshe ushahidi ambao unaweza kunifanya nijue Allah yupo hata bila kuanzia kwenye assumption kwamba Allah tayari yupo.
 
Kama binadamu na sisi ni energy.

Na energy cannot be created or destroyed.

Huoni kwamba binadamu hatuumbwi kwa sababu hata sisi ni energy?

Sisi ni energy hatuumbwi.

Tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.

Huelewi nini?

Sisi ni energy hatuumbwi na wala hatukuumbwa.
Ndiyo maana nilikuambia kuwa tulikuwepo hata kabla ya kuumbwa tena tulikuwepo milele ila siyo katika form ya ubinadamu ila mungu ndiye aliye tugeuza tuwe wanadamu kwa kutumia kipengere cha >ENERGY CAN CHANGE FROM ONE FORM TO ANOTHER ...yaani mungu anaweza kuibadili energy kuwa muundo wa kitu chochote atakacho huo ndiyo uumbaji.
 
Wewe sio wa kwanza kugundua kuwa dini zina mapungufu, zaidi unaendeleza ujinga tu waliouanzisha wenzako.

Unatoa hoja nyepesi za kitoto sana, sijui nawezaje hata kujadili na mtu kama wewe ambaye hujakidhi viwango vya kufanya mjadala na mimi, hiyo consciousness uliyonayo imetoka wapi?

Kama asili ya ulimwengu ni blind matter , imewezaje kutengeneza kiumbe chenye akili kama wewe kinachoweza kuhoji kuwepo kwake?

Nipe hoja zenye mantiki siyo blah blah za kitoto, nitakupuuza.
Mkuu kwanini usimfamyie maombi Ili Mungu muweza wa yote aweze kumponya huo ujinga?

Wepesi wa hoja zake umeupima dhidi ya hoja zipi ?

Kwako wewe mtu aliekidhi viwango vya kufanya mjadala inabidi akubaliane na hoja zako. Huko sio kufanya mijadala huko ni ku dictate mijadala.
 
Wewe uligeuzwa na huyo Mungu kuwa mwanadamu au Mama yako alikuzaa?
 
Ooh please usinipuuze, nakuomba sana usinipuuze maisha yangu yataharibika ukifanya hivyo...
Idiot, do you think I give a fvck 🚮🚮
 
Mkuu kwanini usimfamyie maombi Ili Mungu muweza wa yote aweze kumponya huo ujinga?

Wepesi wa hoja zake umeupima dhidi ya hoja zipi ?

Kwako wewe mtu aliekidhi viwango vya kufanya mjadala inabidi akubaliane na hoja zako. Huko sio kufanya mijadala huko ni ku dictate mijadala.
Maombi yanafanywa kwa mtu anayeutafuta ukweli sio nyie vichwa ngumu, msio na hoja zenye mantiki.

Hoja zake nimezipima dhidi ya logic ya kawaida kabisa. Hoja yake kubwa ilikuwa ni sijamwona Mungu, kwa hiyo hayupo na kila kitu ni upuuzi. Huoni kama hio sio hoja ya kimjadala bali ni kauli ya mtoto mdogo anayeongea pasipo kuelewa hatiani nini anakizungumza?

Kama ukikataa kitu kwa sababu tu hukielewi, basi kila kitu duniani kitakuwa chepesi kwako, na haitokuwa na maana yoyote.
 
Ndiyo maana nilikuambia kuwa tulikuwepo hata kabla ya kuumbwa tena tulikuwepo milele ila siyo katika form ya ubinadamu ila mungu ndiye aliye tugeuza tuwe wanadamu kwa kutumia kipengere cha >ENERGY CAN CHANGE FROM ONE FORM TO ANOTHER ...yaani mungu anaweza kuibadili energy kuwa muundo wa kitu chochote atakacho huo ndiyo uumbaji.
Sawa, unasema energy inaweza kubadilika kutoka form moja kwenda nyingine. Mfano chemical energy inaweza kubadilika kuwa heat, electrical energy inaweza kubadilika kuwa light na heat, na kinetic energy inaweza kubadilika kuwa heat. Sasa swali langu ni hili, ni wapi kwenye hiyo principle tunaona energy ikibadilika kuwa nafsi, consciousness au binadamu?
Kama unasema tulikuwepo milele kama energy, tulikuwa energy ya aina gani? Chemical, electrical, thermal, kinetic au energy gani hasa? Na ni process gani iliyofanya hiyo energy iwe consciousness na hatimaye iwe mimi na wewe?

Halafu umejuaje kwamba Mungu ndiye aliyefanya hiyo transformation? Energy kubadilika kutoka form moja kwenda nyingine ni fact tunayojua. Lakini kusema Mungu alibadilisha energy kuwa mwanadamu ni claim nyingine kabisa. Evidence ya hiyo connection iko wapi?

Na kama tulikuwepo milele kabla ya kuwa binadamu, Mungu alituumba kweli au alibadilisha tu kitu ambacho tayari kilikuwepo milele kuwa form nyingine? Hapo ndipo nataka unieleze vizuri.
 
Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".

Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "

At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".

How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?

Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.

Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".

Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..

Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..

" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..

Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Mungu ameumbwa/kutengenezwa na mtu
 
Wewe uligeuzwa na huyo Mungu kuwa mwanadamu au Mama yako alikuzaa?
Tuna ongelea source siyo matokeo ...sasac rudi nyuma kinyume nyume kwa kutumia hiyo hoja yako ya mama kuzaa ...je kabla ya huyo mwanamke kuwepo binadamu wa kwanza alizaliwa na nani?
 
Maombi yanafanywa kwa mtu anayeutafuta ukweli sio nyie vichwa ngumu, msio na hoja zenye mantiki.

Hoja zake nimezipima dhidi ya logic ya kawaida kabisa. Hoja yake kubwa ilikuwa ni sijamwona Mungu, kwa hiyo hayupo na kila kitu ni upuuzi. Huoni kama hio sio hoja ya kimjadala bali ni kauli ya mtoto mdogo anayeongea pasipo kuelewa hatiani nini anakizungumza?

Kama ukikataa kitu kwa sababu tu hukielewi, basi kila kitu duniani kitakuwa chepesi kwako, na haitokuwa na maana yoyote.
Kwahiyo maombi yenu makanisani na msikitini mkitaka kumuua shetani na Bado shetani hajafa tangu Leo ni miaka zaidi ya 2000 tangu kuanza Kwa hizo dini zenu.

Ni tafsiri kuwa nyie ni vichwa ngumu huyo Mungu wenu anashindwa kuwajibu maombi yenu ?
 
Back
Top Bottom