Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,666
- 110,390
Hakupaswa kuleta El Nino, Mimi hata kama mvua isingekuwepo kabisa na kukawa hakuna njaa ni sawa, au hata kama tusingekuwa tunasikia njaa kabisa ni sawa pia.Mvua ni nzuri? nenda kawaulize watu waliokumbwa na El Nino kama wanakubaliana na wewe.