- Thread starter
- #61
Sijawahi kupondaEbbbbbbooooooh
Kuponda kote kule kumbe bado mwavipanda videge vya le super uncle,baba jesca!?
Sijawahi kupondaEbbbbbbooooooh
Kuponda kote kule kumbe bado mwavipanda videge vya le super uncle,baba jesca!?
Sasa umewaunga mkono kivip labda???Sijawahi kuponda
Inawezekana abiria walikuwa hawajafikia level hivyo wakawa wanasubiri late comersATCL tumewaunga mkono lakini biashara inaelekea kuwashinda Leo abiria waliotakiwa kuondoka Saa 11 jioni wa Dar - Mwanza mpaka sasa SAA tatu na robo usiku bado wako airport.
Na kumbuka mlisema reporting time ni kuanzia SAA Tisa mchana INA maana wanaokaa mbali waliondoka SAA sita majumbani ili wawahi msongamani wa Magari.
Yaani ni sawa na MTU aliyesafiri na Gari toka SAA 12 asubuhi. Hii inakuwa haina maana kutumia Ndege ili uwahi shughuli zako
Ni sawa mkuu ila sometimes haya mambo kwenye airlines mbalimbali duniani hutokea sana..I mean delays huwa zinakuwepo....Solution kwa atcl kwasasa linapoanza kuibuka tena ni kwamba serikali iuze angalau hisa 40 za shirika hilo halafu yenyewe ibaki na asilimia 60 hapo lazma urasimu utapungua na am sure litakua shirika kubwa sana.ATCL tumewaunga mkono lakini biashara inaelekea kuwashinda Leo abiria waliotakiwa kuondoka Saa 11 jioni wa Dar - Mwanza mpaka sasa SAA tatu na robo usiku bado wako airport.
Na kumbuka mlisema reporting time ni kuanzia SAA Tisa mchana INA maana wanaokaa mbali waliondoka SAA sita majumbani ili wawahi msongamani wa Magari.
Yaani ni sawa na MTU aliyesafiri na Gari toka SAA 12 asubuhi. Hii inakuwa haina maana kutumia Ndege ili uwahi shughuli zako
Ni kweli Mkuu hata ukijiuliza ni viumbe wa aina gani hupati jibu acacia wameshangilia,ndege kukamatwa wameshangilia,majengo udsm wameshangilia nadhani wapewe nyungo waruke watimize ndoto zao.Chadema wanashangilia matatizo ya ATCL !!
Chadema wana laana ya Dr SlaaNi kweli Mkuu hata ukijiuliza ni viumbe wa aina gani hupati jibu acacia wameshangilia,ndege kukamatwa wameshangilia,majengo udsm wameshangilia nadhani wapewe nyungo waruke watimize ndoto zao.
Duuuuh kwa hiyo asubirie hiyo tren ndo asafir duuh hata hiyo shughuli anayoenda kuifanya daahsubiri treni standard gauge zianze
Tangia mwanzo mliambiwa wamepewa vitendea kazi wakati hawana business plan. Tusitegemee maajabu wakati tunaendesha mambo kama kawaida.ATCL tumewaunga mkono lakini biashara inaelekea kuwashinda Leo abiria waliotakiwa kuondoka Saa 11 jioni wa Dar - Mwanza mpaka sasa SAA tatu na robo usiku bado wako airport.
Na kumbuka mlisema reporting time ni kuanzia SAA Tisa mchana INA maana wanaokaa mbali waliondoka SAA sita majumbani ili wawahi msongamani wa Magari.
Yaani ni sawa na MTU aliyesafiri na Gari toka SAA 12 asubuhi. Hii inakuwa haina maana kutumia Ndege ili uwahi shughuli zako
this could be an isolated case, which is normal in air travel industry. Please be reasonable.ATCL tumewaunga mkono lakini biashara inaelekea kuwashinda Leo abiria waliotakiwa kuondoka Saa 11 jioni wa Dar - Mwanza mpaka sasa SAA tatu na robo usiku bado wako airport.
Na kumbuka mlisema reporting time ni kuanzia SAA Tisa mchana INA maana wanaokaa mbali waliondoka SAA sita majumbani ili wawahi msongamani wa Magari.
Yaani ni sawa na MTU aliyesafiri na Gari toka SAA 12 asubuhi. Hii inakuwa haina maana kutumia Ndege ili uwahi shughuli zako
Siasa ndio inayoendesha Maisha yetu, matokeo na matukio yote haya ni kwa sababu ya mfumo mbovu wa kiuongozi, uliopo Madarakani.Jamani hivi ni lazima kila kitu au tatizo zihusishwe na siasa?tumechoka tunataka at least tupumzike,itafika wakati mtu unapatikana na Malaria hospital unasema ni sababu ya sijui CUF au CCM , ebu tuache kutafuta majibu rahisi kwa maswali magumu, hii naifananisha na kipindi kile UKIMWI umepamba moto kila mtu akikonda au kuumwa kidogo hata magonjwa ya kawaida tayari watu wanasema ni UKIMWI kumbe kuna magonjwa mengine pia kama Kisukari ua Kansa yanayokondesha hata zaidi ya huo UKIMWI.
unawaza chadema tu [emoji20]Chadema wanashangilia matatizo ya ATCL !!
Mmeshindwa kuendesha shirika lililopewa ndege mpya hata miaka 2 haijaisha, mtaweza treni ambayo hamjawahi hata kuiona live hapa bongo!subiri treni standard gauge zianze
Hao chadema ni waume zako wanakukuna vizuri ndio maana huishi kuwataja.Chadema wanashangilia matatizo ya ATCL !!
We kuku kweli..Flights kuwa delayed ni kawaida, ila kwa sababu ATCL ni ya serikali basi watu washaanza kusema kuwa biashara imewashinda, haya mambo yashatokea kwa fastjet, na nakumbuka humu ndani nishawahi kusoma uzi kuwa precision iliacha abiria wake ikenda kenya kuchukua abiria from KQ.
Sawa mi kuku wewe samaki.... Kwaio ndege kuwa mbovu iruke tu sioSio watu wana lidege libovu
Mkuu utauwa sio vizuri hivyoBora kusafiri na gari la magazeti kuliko hiyo popobawa.
Mungu wangu! wala hamkuchukua hatua? ingekuwa mimi ningewashitaki mahakamani na wangelipa fidia kubwa sana.Kabisa, heri ATC mara kumi kuliko Fastjet. Hawa Fastjet mara nyingi wanalaza watu. Ijumaa iliyopita ilikuwa tuondoke saa nne wakahairisha hadi saa moja na dk 25 jioni, nilipofika wakasema imejaa wakatulaza wakasema turipoti kesho yake saa kumi alfajiri, watu tukafika kama walivyotaka lkn matokeo yake tukaondoka saa 2 asubuh kuja Mwanza