ATCL tumewaunga mkono lakini biashara inaelekea kuwashinda Leo abiria waliotakiwa kuondoka Saa 11 jioni wa Dar - Mwanza mpaka sasa SAA tatu na robo usiku bado wako airport.
Na kumbuka mlisema reporting time ni kuanzia SAA Tisa mchana INA maana wanaokaa mbali waliondoka SAA sita majumbani ili wawahi msongamani wa Magari.
Yaani ni sawa na MTU aliyesafiri na Gari toka SAA 12 asubuhi. Hii inakuwa haina maana kutumia Ndege ili uwahi shughuli zako