ATCL biashara inaelekea kuwashinda

ATCL biashara inaelekea kuwashinda

Chadema wanashangilia matatizo ya ATCL !!
hahahahahaha serikali kazi yake kubwa Ni kutoa service, au kitoa miundombinu ili service iende kwa wananchi wake lkn sio kujiengage kwenyw biashara ya kiushindani, sababu hawatofanikiwa itaendeshwa kihasara na bora liende
 
Tumekalilishwa ujinga na kuukubali! Ni mashirika mangapi ya ndege hayana umiliki wa serikali? Kwa Afrika mpaka sasa kampuni bora kabisa ya ndege Ni Ethiopia ndio bora kuliko zote na umiliki wake Ni serikali 100%. Turkish air? China yenye uchumi mkubwa dunianI, biashara inafanywa na serikali 98% . ATCL inatuhumiwa kisiasa zaidi kuliko ukweli wa kibiashara ndio maana inaviziwa kimatukio zaidi na sio kiuhalisia. Imekuwa moja ya issues za siasa za chadema na CCM! Tuwekeeni takwimu za mashirika yote ya ndege hapa Tanzania na hata ya nje pia yafanyayo safari zao hapa nchini kuhusu huo ucheleweshaji wa safari. Mtashangaa!!
hahahahahaha serikali kazi yake kubwa Ni kutoa service, au kitoa miundombinu ili service iende kwa wananchi wake lkn sio kujiengage kwenyw biashara ya kiushindani, sababu hawatofanikiwa itaendeshwa kihasara na bora liende
 
ATCL tumewaunga mkono lakini biashara inaelekea kuwashinda Leo abiria waliotakiwa kuondoka Saa 11 jioni wa Dar - Mwanza mpaka sasa SAA tatu na robo usiku bado wako airport.

Na kumbuka mlisema reporting time ni kuanzia SAA Tisa mchana INA maana wanaokaa mbali waliondoka SAA sita majumbani ili wawahi msongamani wa Magari.

Yaani ni sawa na MTU aliyesafiri na Gari toka SAA 12 asubuhi. Hii inakuwa haina maana kutumia Ndege ili uwahi shughuli zako
Emirates wanaahirisha sembuse ATCL...
 
Back
Top Bottom