ATCL biashara inaelekea kuwashinda

ATCL biashara inaelekea kuwashinda

Ss siupande kisesa express au kodi chata, watu wengine wanamawazo ya ajabu, kwani hawajakuambia sababu za kuchelewa? Kama mwanza kuna mvua mpelekwe tu! We vipi?
Mkuu wanataka wapelekwe hivyo hivyo ili wapate la kusema.
 
Unaonekana wewe ni mfanyakazi wa fast jet,pole sana kwa hiyo kadhia!
 
Ndege moja ilikuwa na snag jana!,leo ipo okey....nimeambiwa na mdau wangu mmoja..
 
ATCL tumewaunga mkono lakini biashara inaelekea kuwashinda Leo abiria waliotakiwa kuondoka Saa 11 jioni wa Dar - Mwanza mpaka sasa SAA tatu na robo usiku bado wako airport.

Na kumbuka mlisema reporting time ni kuanzia SAA Tisa mchana INA maana wanaokaa mbali waliondoka SAA sita majumbani ili wawahi msongamani wa Magari.

Yaani ni sawa na MTU aliyesafiri na Gari toka SAA 12 asubuhi. Hii inakuwa haina maana kutumia Ndege ili uwahi shughuli zako
Hawa ndugu zetu wana matatizo kweli hata huduma ni mbovu juzi tulisafiri toka KIA mpaka Zanzibar ndege ikiendelea kwenda Dar. Huyo mfanyakazi alishindwa kutujulisha kwamba tumefika Zanzibar tutelemke maana hiyo lugha......
 
A-any
T-time
C-cancel
Hii ndio maana halisi ya shirika la ATC
utajiumiza kichwa tu kulalamika hovyo[emoji1321]
 
Chadema wanashangilia matatizo ya ATCL !!
Jamani hivi ni lazima kila kitu au tatizo zihusishwe na siasa?tumechoka tunataka at least tupumzike,itafika wakati mtu unapatikana na Malaria hospital unasema ni sababu ya sijui CUF au CCM , ebu tuache kutafuta majibu rahisi kwa maswali magumu, hii naifananisha na kipindi kile UKIMWI umepamba moto kila mtu akikonda au kuumwa kidogo hata magonjwa ya kawaida tayari watu wanasema ni UKIMWI kumbe kuna magonjwa mengine pia kama Kisukari ua Kansa yanayokondesha hata zaidi ya huo UKIMWI.
 
Ss siupande kisesa express au kodi chata, watu wengine wanamawazo ya ajabu, kwani hawajakuambia sababu za kuchelewa? Kama mwanza kuna mvua mpelekwe tu! We vipi?
Si unajua wabongo kwa machozi!!angepanda Mohd trans aone.
 
Ebbbbbbooooooh
Kuponda kote kule kumbe bado mwavipanda videge vya le super uncle,baba jesca!?
 
Kabisa, heri ATC mara kumi kuliko Fastjet. Hawa Fastjet mara nyingi wanalaza watu. Ijumaa iliyopita ilikuwa tuondoke saa nne wakahairisha hadi saa moja na dk 25 jioni, nilipofika wakasema imejaa wakatulaza wakasema turipoti kesho yake saa kumi alfajiri, watu tukafika kama walivyotaka lkn matokeo yake tukaondoka saa 2 asubuh kuja Mwanza
Nadhani kuna wa lakini kwa vyombo vya kusimamia hizi kampuni za Ndege, wamezidiwa na Sumatra kwenye mabasi nchi nzima
 
Back
Top Bottom