ATCL biashara inaelekea kuwashinda

ATCL biashara inaelekea kuwashinda

ATCL tumewaunga mkono lakini biashara inaelekea kuwashinda Leo abiria waliotakiwa kuondoka Saa 11 jioni wa Dar - Mwanza mpaka sasa SAA tatu na robo usiku bado wako airport.

Na kumbuka mlisema reporting time ni kuanzia SAA Tisa mchana INA maana wanaokaa mbali waliondoka SAA sita majumbani ili wawahi msongamani wa Magari.

Yaani ni sawa na MTU aliyesafiri na Gari toka SAA 12 asubuhi. Hii inakuwa haina maana kutumia Ndege ili uwahi shughuli zako
Tuliombee hili shirika lisimame maana watakaoumia ni watoto wetu kizazi kijacho kulipa madeni ya hasara
Duuh kweli hii ndio Afrika.
Kufikia maendeleo bado sana.
 
Ss siupande kisesa express au kodi chata, watu wengine wanamawazo ya ajabu, kwani hawajakuambia sababu za kuchelewa? Kama mwanza kuna mvua mpelekwe tu! We vipi?
Wangetoa miamvuli badala ya kuchelewesha watu.
 
Kabisa, heri ATC mara kumi kuliko Fastjet. Hawa Fastjet mara nyingi wanalaza watu. Ijumaa iliyopita ilikuwa tuondoke saa nne wakahairisha hadi saa moja na dk 25 jioni, nilipofika wakasema imejaa wakatulaza wakasema turipoti kesho yake saa kumi alfajiri, watu tukafika kama walivyotaka lkn matokeo yake tukaondoka saa 2 asubuh kuja Mwanza
Poleni kwa kulazwa
 
DAR LUXURY au KISBO mida hii uko mwanza mi nitapanda ndege siku ya kwenda kushuhudia mapanki akifanya majaribia pale s korea
 
Mimi nitapanda siku hiyo Trump atakapotangaza Askari wa kujitolea kwenda kupigana na huyo kichaa wenu!!
 
Halafu nasikia FastJet ni kampuni ya nanihii....sema sina takwimu, acha nikae kimya.😀
 
ATCL tumewaunga mkono lakini biashara inaelekea kuwashinda Leo abiria waliotakiwa kuondoka Saa 11 jioni wa Dar - Mwanza mpaka sasa SAA tatu na robo usiku bado wako airport.

Na kumbuka mlisema reporting time ni kuanzia SAA Tisa mchana INA maana wanaokaa mbali waliondoka SAA sita majumbani ili wawahi msongamani wa Magari.

Yaani ni sawa na MTU aliyesafiri na Gari toka SAA 12 asubuhi. Hii inakuwa haina maana kutumia Ndege ili uwahi shughuli zako
KWENYE KANUNI ZA UCHUMI haiwezekani serikali ikaendesha kampuni,Chadema tunasema serikali inakazi ya kutunga sera na kuwezesha mazingira ambayo yatapelekea kampuni wapate fedha na kutulipa kodi.CCM wanaanza kufanya mchezo wao wanakusanya nguvu kupitia makampuni haya ili yawatafutie fedha za uchaguzi
 
Back
Top Bottom