donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salaam,
Leo lucchese nikasema ngoja nitoke huku kijijini kwetu Goba nije nishangae ulaya ya bongo kidogo. Aisee niko hapa ila I can feel the sense of not belonging maana watu wa hapa aisee nitofauti kabisa na niliowazoea kule kwetu goba. Kuna warembo wa hatari hapa, wakaka waliopendeza wako safi kimuonekano mpaka mfukoni wanaonekana wako njema ili mradi burudani tu. Mi nimekaa zangu kwenye benchi nje ya duka la voda, napata fahari ya macho. Ulaya kuzuri, lol, mchana mwema jamani!