At Mlimani City...!!!

At Mlimani City...!!!

ndo mimi nisipopendeza....sishuki kwenye gari..nambeba shamba boy twende nae...ataingia umo ndani kwa niaba...chezea mauzo..hukawii kukutana na anaekudai umeshika fuko lako kubwaa la game
 
mrembo wa bongo akinunuliwa baga mlimani city anaenjoy kula balaaaaaaa.,baga zenyewe mpaka zile makuchambari pale kati zimekauka maana zimekaa mda mrefu,halafu akimaliza kula anakumbia ''ahsante babe nimeenjoy lunch''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom