Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Ukiongea na mtu hakikisha hagusi simu wala hana miwani ya ajabu...la sivyo usiache kuwa mkweli, ogopa uongo
 
mshana jr kazi uliotumwa jf imekula kwako hauwezi kuwabadilisha kondoo wa kanisa lolote.
2. Wewe ni mpagani na haujui Biblia.
3.Usinunue laana kwa bei ya bure kwa kushindana na watumishi wa Mungu.
 
Last edited by a moderator:
mshana jr kazi uliotumwa jf imekula kwako hauwezi kuwabadilisha kondoo wa kanisa lolote.
2. Wewe ni mpagani na haujui Biblia.
3.Usinunue laana kwa bei ya bure kwa kushindana na watumishi wa Mungu.
BAOBAO ni hili tu au una la ziada? Kama lipo hebu malizia kabisa
 
Last edited by a moderator:
hata lowasa inabidi awe makini na huyu mcongomani,asiwe anaropoka bila tahadhari,maana ngwajima anadai kurecord ndo kazi yake....

ananikumbusha enzi nasoma middle school,miaka ya 1960 Kulikua na mkurugenzi wa FBI kule marekani aitwa J Edga Hoover,huyu alikua na siri za karibu kila kibosile,kina kenedy,jack ,robert,ford etc,,,
matokeo yake wakawa wanamuogopa na alikua katika nafasi nzuri ya kuwablackmail,
hi ni hatari sana kwa usalama wa taifa
Maana yake hata maaskofu kawarekodi wakati wanapokea mil 60 hadi 300 za lowasa
 
Hili laweza kuwa somo zuri na fundisho tosha kwa wale wanaopenda mno kuongea na kufunguka kuhusu mambo yao binafdi
Mazungumzo yote aliyorekodi Gwajima ya mchumba wa Dr Slaa na wengine pia yametufundisha mengi

1: kwamba Dr Slaa pamoja na uwezo wake wote wa kujieleza na kusimamia mambo kwa ufanisi, elimu yake ya theologia na daraja lake LA upadri hakuwa anajiamini na alikuwa dhaifu mno kwenye mahusiano mpaka kutafuta msaada wa Gwajima

2:Zile enzi za usipige picha hapa zimepitwa na wakati kutokana na technolojia kukua

3:gwajima ni mjanja mtoto wa mjini mhuni anayejiamini asiyeogopa chochote aliyeaminika mno na wale waliomwamini na hivyo kumpa nafasi kubwa ya kumwamini na kumwambia yao ya ndani bila kujua kuwa jamaa alikuwa anaweka kumbukumbu kwa matumizi ya baadae, wengi sasa matumbo joto Wakiwa hawana uhakika kama nao walirekodiwa au la

4: Serikali imeshikwa pabaya na kupitia Gwajima mambo mengi yaliyo nyuma ya pazia bila kujifahamu wamempa loophole kubwa sana ya kuyafahamu kwahiyo kuanzia sasa inabidi waende naye kwa tahadhari kubwa la sivyo atazidi kuharibu

Hata wewe inawezekana ni dhaifu mbele ya mkeo (kama unae)ila kwa sababu unaandika tu humu JF unapata ujasiri wa kusema uongo
 
serikali haiwezi kushikwa pabaya na kifaranga kama gwajima. ikiamua kumondoa kwenye uso wa nchi ni kazi ya dakika chache tu. bado yupo ana anabwabwaja kwakua sio tishio lolote kwa ustawi wa nchi hii. pumbavu.

Hakuna mwenye mamlaka wala uwezo wa kumuondoa yyt isipkua Mungu pekeyake, kwa wasio waamini ndo wanaweza kuondolewa kipumbavu
 
Hivi kuna mtu anaweza kufanya kitu kama hichi?
Wakati mwingine jamani tuone aibu
Si hawa ndiyo waliosema kuwa ni CCM ndiyo waliompeleka Slaa pale Serena?

Leo inakuja kuwa ni Josephine!
Hahahaha!

Tumia akili wewe!!!......huyo ni Delila anatumika......kichwa kina mafunza au ubongo!
 
Back
Top Bottom