Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Baada ya kuwasikiliza Prof Baregu, Kitila Mkumbo, Tundu Lisu, JJ Mnyika na hatimaye mchungaji Gwajima nimeridhika kabisa kuna jambo si la kawaida limempata Dr Slaa. Laweza kuwa la kiimani au kidunia lakini impact ya jaribu hili limestua taifa.

Ninachotafiti ni juu ya tabia ya Slaa je katika historia ya maisha yake je ' Dr Slaa ni mkweli na mwenye msimamo au si mkweli na ni mtu wa kuyumbishwa' ! Unaweza kutoa hoja au unachokijua kusaidia utafiti huu.

Ahsante na karibu!

Tabia yake ni mtu wa kuzira, ana tabia ya kuanzisha jambo na kuliacha kabla ya kulihitimisha kisha anatoa visingizio kwa nini kaacha. Upadre, mke wa kwanza, Ccm kahamia Chadema na Ukatibu mkuu Chadema. Kote hakumaliza aliyoanzisha. Hiyo ni tabia yake na tabia haina dawa.
 
Dr Slaa alisema mambo makubwa mawili kuhusu Gwajma:

1) Kuwa ndiye alikuwa mshenga wa Lowasa kuichumbia CHADEMA. Wote tulikuwa tumeaminishwa na Mwewenyekiti wa CHADEMA kuwa UKAWA ndio walimfuata Lowasa kumuomba agombee urais kupitia CHADEMA. Baada ya Slaa kusema Gwajima alikuwa kuwadi wa kuiomba CHADEMA imruhusu Lowasa apitie huko kugombea urais watu wulihitaji ufafanuzi na kutaka kujua Gwajima kama kiongozi wa dini anabakije salama akishiriki siasa kwa undani huo

2) La pili tulilotarajia Gwajima ajibu ni kama kweli alimwambia Slaa kuwa makanisa yanamuunga Mkono Lowasa-Walutheri kwa kuwa yeye ni mLuteri na Wakatoliki kwa kuwaonga maaskofu 30 kati ya 34.
Majibu ya Gwajima tena baada ya kuwasubirisha watanzania yameishia kueleza kuwa Slaa hakuacha siasa kwa sababu ya Lowasa bali kalazimishwa na mkewe.

Kusingekuwa na agenda ya uchaguzi; Gwajima akasema haya, hii ingekuwa habari ya maana. Sasa watanzania tunahangaika kushawishiana namna ya kumpata rais bora. Mgombea mmoja ana historia ya kashfa za kupenda mali toka enzi za mwalimu Nyerere.

Slaa amekuja na ‘kuchafua hali ya hewa’ kwa kuwaeleza watanzania ukweli wa mgombea huyu. Gwajima akatarajiwa kusema lolote la maana. Anaishia kueleza habari za raia wa kawaida (Slaa) kuwa alizuiwa na mkewe kuendelea na Siasa. Hii inamsaidiaje mtu anayetaka kuamua kati ya Magufuli na lowasa?

Mimi ninafikiri gwajima ana matatizo tena yameshika kichwani. Jumla ya mwenendo wa Gwajima unaashiria hayo. Josephina kumzuia Slaa kuendelea na siasa haimaanishi kuwa Gwajima hakumwambia Slaa kuwa maaskofu walihongwa. Kwa kutosemea hilo anaendelea kuwaweka pagumu viongozi hawa. Nimesikia maelezo ya mmoja wao kuwa kanisa linadumu kuchangisha. Mimi sijui sana lakini kama kanisa linadumu kuchangisha ni lazima lijielekeze kuchangisha watu waadilifu vinginevyo litapoteza maana halisi ya kanisa. Wako maskini wengi waadilifu wanatosha kuyachangia makanisa. Haiwezekani maaskofu 30 kumchangisha mtu mmoja wote bila kujua na bila kujua kuwA SI MUADILIFU.

Mimi nadhani ujumbe aliotaka kuufikisha Gwajima ni jinsi Dr Slaa anavyokwepa kuwa anatumika kumchafua Lowasa,na ndio sababu akaamua kueleza na kufafanua shutuma wanazopewa maaskofu zimetokea wapi, chanzo chake nini, sasa mtanzania wa kawaida anayetaka kuamua kati ya hao wagombea wawili ataelewa na ndivyo watu wameelewa tu kwamba mgombea wa ukawa anachafuliwa kisiasa kufikia hatua ya kuwashutumu viongozi wao kwa 'kuwasingizia' maana Gwajima alisema kwamba ni uongo wa mchana kweupe, na akasema kwamba chanzo cha haya yote ni baada ya mkewe kuona amekosa nafasi ya kuwa first lady. Sasa alichokuwa anasema ni kwamba mzee slaa baada ya kuona familia yake 'inavunjika' akaamua kuwa upande wa familia yake,akawasaliti wenzake ambao hapo mwanzo alikuwa nao pamoja ili asitengane na familia. Na akauliza je,kama mtu ambaye mchumba wake anaweza kumgeuza kabla hajawa rais, je, tungempatia nafasi ya kuwa kiongozi wa nchi ingekuwaje, na kama ulimsikia vyema kuna mahali akasema, ' mke wa namna hii kama akiwa mke wa rais ukakorofishana nae si kesho utanyongwa!?'. Kwa hiyo mwananchi wa kawaida ataelewa kwamba kumbe sio hoja ya kukosa uadilifu bali kwa sababu chama tawala kimekosa hoja za msingi za kujenga majukwaani wanaamua kuubomoa upinzani kwa siasa kama hizi. Nimekujibu!?
 
Nachukia sana na huwa simalizi hata kusoma uzi unaochonganisha mambo ya dini na ukabila. CCM mmeishiwa hoja baada ya watu wenu kuchukua pesa nyingi pasipo impact yoyote UKAWA. Tukutane October mapakashume nyie.

Sasa kama unachukia uzi tu, ile video clip ya kkkt tabora si ndio itakuua kabisa!!?
 
Lukuvi wakati akiwahadaa waumini kanisani Dodoma lenyewe mlilichukulia vipi. Ishafafanuliwa kuwa yeye aliingia kanisani kuwaomba wamuunge mkono kama ilivyoada kwa wagombea wote. Mimi ni RC katu Magufuri hatapata kura yangu kwa siasa nyepesi hizi. Mmeona mtafute kura za wakatoliki wa Roman Catholic kwa kutumia ujinga mliotuwekea Watanganyika kwa nusu karne sasa!!?
 
Mkuu, ulisikia majibu ya Askofu Niwemugezi wa kanisa katoliki? Kama Dr Slaa anao ushahidi, basi auweke hadharani, period. Hakuna cha CCM, wala tiss wala...
 
WANAWAKE WASIKITISWA NA KAULI ZA GWAJIMA

Hatimaye kundi kubwa la wanawake Tanzania wakiongozwa na wenzao wa Dar es Salaam wamesikitishwa na kupinga kauli ya mchungaji Gwajima aliyoitoa hapo jana wakati anazungumza na wandishi wa habari. Katika maelezo yake mchungaji huyo anawaona wanawake kama ni viumbe dhaifu, wasio na maadili, wenye mapepo na wasio na thamani yeyote katika familia na jamii kwa ujumla. Akimtolea mfano mke wa Dr SLAA

Mchungaji huyo kutokana na kutofautiana kisiasa na Dr SLAA aliamua kufichua mambo yote ya siri za familia akieleza kuwa baada ya Dr SLAA kuondoka chadema amejitahidi kuongea na mke wa Dr SLAA ili wamshawishi abadilishe mawazo yake lakini hali ilikuwa tofauti.“Nilimpa maneno ya matumaini, nitamtafuta mkewe niongee nae, nilimtafuta mkewe hadi Rose Garden, nilianza mimi kumbembeleza amruhusu baba aendelee na hayo maelezo nimeyarokodi na mimi ni mtu wa kurekodi”.
Wanawake wanajiuliza kama ni kweli mtu anayejiita mtumishi wa Mungu kujihusisha na siasa hiyo haitoshi umeuthibishia ulimwengu kwa maelezo yako kutambua umuhimu wa wanawake afu bado unasema mama huyo hafai( WANAWAKE WOTE HAWAFAI), kama ulijua ana mapepo hafai kwa nni ulienda kumshawishi tena Hotelini na sio madhabahuni?.

Wanawake kweli wameshangazwa na mchungaji huyo kwa kusema hutambu umuhimu wa huyo mama wakati kuna kila dalili ya kutaka kumrubuni yeye na familia yake. Katika maelezo yake anasema “siku iliyofata tarehe 28, nilimuita yule mama Kibo Complex, tukakaa ndani ya gari yake tunazungumza”. Kweli mchungaji unakaa ndani ya gari na mke wa mtu afu unasema anamapepo HAFAI na ni maombezi gani unaweza kufanya na mke wa mtu zaidi ya masaa 3 kwenye gari?Hata hivo wanawake hao wameamua kufanya maandamano ya nchi nzima kupinga vitendo hivo vya kibaguzi, chuki, na unyanyasaji wa kijinsia aliofanyiwa mwanamke mwenzao.Pia taasisi mbalimbali za kiraia zitaungana na wanawake hao ktka kupinga kitendo hicho.
 
Hahahaa watu bwana, sasa tabia mbaya za mke wa Slaa zinawahusu nini wanawake wengine? kweli kifo kikikaribia roho inahangaika sana. CCM kila mnachokiona mnajishika angalau
 
Dr Slaa alisema mambo makubwa mawili kuhusu Gwajma:

1) Kuwa ndiye alikuwa mshenga wa Lowasa kuichumbia CHADEMA. Wote tulikuwa tumeaminishwa na Mwewenyekiti wa CHADEMA kuwa UKAWA ndio walimfuata Lowasa kumuomba agombee urais kupitia CHADEMA. Baada ya Slaa kusema Gwajima alikuwa kuwadi wa kuiomba CHADEMA imruhusu Lowasa apitie huko kugombea urais watu wulihitaji ufafanuzi na kutaka kujua Gwajima kama kiongozi wa dini anabakije salama akishiriki siasa kwa undani huo

2) La pili tulilotarajia Gwajima ajibu ni kama kweli alimwambia Slaa kuwa makanisa yanamuunga Mkono Lowasa-Walutheri kwa kuwa yeye ni mLuteri na Wakatoliki kwa kuwaonga maaskofu 30 kati ya 34.
Majibu ya Gwajima tena baada ya kuwasubirisha watanzania yameishia kueleza kuwa Slaa hakuacha siasa kwa sababu ya Lowasa bali kalazimishwa na mkewe.

Kusingekuwa na agenda ya uchaguzi; Gwajima akasema haya, hii ingekuwa habari ya maana. Sasa watanzania tunahangaika kushawishiana namna ya kumpata rais bora. Mgombea mmoja ana historia ya kashfa za kupenda mali toka enzi za mwalimu Nyerere.

Slaa amekuja na ‘kuchafua hali ya hewa’ kwa kuwaeleza watanzania ukweli wa mgombea huyu. Gwajima akatarajiwa kusema lolote la maana. Anaishia kueleza habari za raia wa kawaida (Slaa) kuwa alizuiwa na mkewe kuendelea na Siasa. Hii inamsaidiaje mtu anayetaka kuamua kati ya Magufuli na lowasa?

Mimi ninafikiri gwajima ana matatizo tena yameshika kichwani. Jumla ya mwenendo wa Gwajima unaashiria hayo. Josephina kumzuia Slaa kuendelea na siasa haimaanishi kuwa Gwajima hakumwambia Slaa kuwa maaskofu walihongwa. Kwa kutosemea hilo anaendelea kuwaweka pagumu viongozi hawa. Nimesikia maelezo ya mmoja wao kuwa kanisa linadumu kuchangisha. Mimi sijui sana lakini kama kanisa linadumu kuchangisha ni lazima lijielekeze kuchangisha watu waadilifu vinginevyo litapoteza maana halisi ya kanisa. Wako maskini wengi waadilifu wanatosha kuyachangia makanisa. Haiwezekani maaskofu 30 kumchangisha mtu mmoja wote bila kujua na bila kujua kuwA SI MUADILIFU.

Mbona ccm hatusikii sera yoyote zaidi ya lowassa. Ina maana lowassa ndo kasababisha matatizo ya watanzania? Hata nikikuuliza serikali ilitoa sh ngapi kuilipa Richmond? Jibu huna, kwasababu hakuna sh serikali ilitoa kwasababu ya Richmond. Lakini kwanini hatuongelei kuhusu escrow na watu walitoka wamebeba magunia. Kumbe tatizo la nchi hii sio lowassa. Watawala wanatamani kungekuwa hakuna uchaguzi
 
makitoro unaleta mada za kwenye tahakiki ya kiswahili
;😀hamira za kazi ya fasihi.
1.Uongozi
2. Mapenzi
3. ''Nafasi ya mwanamke ktk jamii''
 
Last edited by a moderator:
WANAWAKE WASIKITISWA NA KAULI ZA GWAJIMA

Hatimaye kundi kubwa la wanawake Tanzania wakiongozwa na wenzao wa Dar es Salaam wamesikitishwa na kupinga kauli ya mchungaji Gwajima aliyoitoa hapo jana wakati anazungumza na wandishi wa habari. Katika maelezo yake mchungaji huyo anawaona wanawake kama ni viumbe dhaifu, wasio na maadili, wenye mapepo na wasio na thamani yeyote katika familia na jamii kwa ujumla. Akimtolea mfano mke wa Dr SLAA

Mchungaji huyo kutokana na kutofautiana kisiasa na Dr SLAA aliamua kufichua mambo yote ya siri za familia akieleza kuwa baada ya Dr SLAA kuondoka chadema amejitahidi kuongea na mke wa Dr SLAA ili wamshawishi abadilishe mawazo yake lakini hali ilikuwa tofauti.“Nilimpa maneno ya matumaini, nitamtafuta mkewe niongee nae, nilimtafuta mkewe hadi Rose Garden, nilianza mimi kumbembeleza amruhusu baba aendelee na hayo maelezo nimeyarokodi na mimi ni mtu wa kurekodi”.
Wanawake wanajiuliza kama ni kweli mtu anayejiita mtumishi wa Mungu kujihusisha na siasa hiyo haitoshi umeuthibishia ulimwengu kwa maelezo yako kutambua umuhimu wa wanawake afu bado unasema mama huyo hafai( WANAWAKE WOTE HAWAFAI), kama ulijua ana mapepo hafai kwa nni ulienda kumshawishi tena Hotelini na sio madhabahuni?.

Wanawake kweli wameshangazwa na mchungaji huyo kwa kusema hutambu umuhimu wa huyo mama wakati kuna kila dalili ya kutaka kumrubuni yeye na familia yake. Katika maelezo yake anasema “siku iliyofata tarehe 28, nilimuita yule mama Kibo Complex, tukakaa ndani ya gari yake tunazungumza”. Kweli mchungaji unakaa ndani ya gari na mke wa mtu afu unasema anamapepo HAFAI na ni maombezi gani unaweza kufanya na mke wa mtu zaidi ya masaa 3 kwenye gari?Hata hivo wanawake hao wameamua kufanya maandamano ya nchi nzima kupinga vitendo hivo vya kibaguzi, chuki, na unyanyasaji wa kijinsia aliofanyiwa mwanamke mwenzao.Pia taasisi mbalimbali za kiraia zitaungana na wanawake hao ktka kupinga kitendo hicho.

Hahaha dawa imeingia vizuriii. CCM wanatapatapa
 
hahahaa watu bwana, sasa tabia mbaya za mke wa slaa zinawahusu nini wanawake wengine? Kweli kifo kikikaribia roho inahangaika sana. Ccm kila mnachokiona mnajishika angalau

nashangaaa, kama wamesikitika inawezekana nao wana tabia kama za josephine
 
Ccm mmebakiza propaganda dhaifu hivi?

Kweli Lowassa kawashika kubaya.
 
Wanawake ni vema mkazidi kujitambua, safi sana

Wanawake Wa wapi hao? Ukitenda maovu gizani lazima yaibuke nuruni, Uchu Wa madaraka umemponza Tabia mbaya sana hiyo,na kakomeshwa sana hadi raha😀😀😀😀😀
 
Acha uongo. Wanawake wa wapi hao?

Kwokwote kule kuwayo, watakuwa ni wale ambao waliolewa na kuachika sababu ya kutokuelewa mapema. Biblia Takatifu inasema wanawake ni VIUMBE DHAIFU, TUISHINAO KWA AKILI. Sasa sijui hao wanawake ni wepi!

Kama kweli wamesema basi wametumwa. Wameahidiwa khanga na fulani ilhali jioni hawajui wanaoga wapi
 
Back
Top Bottom