Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Ila Gwajima ni msanii na amekamata Akili za watu wengi, yaani kwenye press conference anasafirisha waumini wake kwenda kumshangilia!!!
 
Hongereni sana mama zetu kwa kujitambua na kukataa kupelekwapelekwa wakati ninyi ndo viongozi wakuu wa familia na maendeleo ya nchi. Taifa hakika linawategemea.
 
Ccm mwaka huu mnahangaika sana. Mpaka inafikia kipindi nawaonea huruma. Kwanini mmechanganyikiwa!
 
Hongereni sana mama zetu kwa kujitambua na kukataa kupelekwapelekwa wakati ninyi ndo viongozi wakuu wa familia na maendeleo ya nchi. Taifa hakika linawategemea.

Muwe hata mnahoji ni nani aliyetoa hilo tamko LA kulaani,kujitambua ndo kufanya aliyotenda Josephine?
 
Hivi Dr. Slaa alifikiri maaskofu kama gwajima ni kama wa RC ambao hula kiapo cha hali ya juu cha kutotoa siri za muumini yeyote yule?! Hili ni fundisho kubwa sana kwake.
 
Wanawake Wa wapi hao? Ukitenda maovu gizani lazima yaibuke nuruni, Uchu Wa madaraka umemponza Tabia mbaya sana hiyo,na kakomeshwa sana hadi raha😀😀😀😀😀

Hadi raha 🎓🎓 kwa gwajima
 
Kama maelezo ya gwajima ni sahihi basi salaa ni mtu dhaifu sana kwa wanawake. Si ajabu kuwa na wanawake 2 au zaidi tangu aache upadre. Hainiingii akilini mwanamke amwamrishe na kumdhalisha kiasi hicho. Mie ningeingia na mlango. Inawezekana tatizojkawa mkewe ndio mwenye nyumba. Hapo lazima aipate. Mwanaume gani anadhishwa ovyo mpaka kuzuiwa kwenda kazini! Haiingii akilini. Yaani nashindwa hatabkuandika. Mwanamke uliyemuoa. Au slaa ndie aliolewa. Kwangu mimi mgemkuta mhimbili asubuhi.

Kwanza kwangu ndio ingekuwa safari ya kumrudisha kwao kamachumu😴
 
Kama maelezo ya gwajima ni sahihi basi salaa ni mtu dhaifu sana kwa wanawake. Si ajabu kuwa na wanawake 2 au zaidi tangu aache upadre. Hainiingii akilini mwanamke amwamrishe na kumdhalisha kiasi hicho. Mie ningeingia na mlango. Inawezekana tatizojkawa mkewe ndio mwenye nyumba. Hapo lazima aipate. Mwanaume gani anadhishwa ovyo mpaka kuzuiwa kwenda kazini! Haiingii akilini. Yaani nashindwa hatabkuandika. Mwanamke uliyemuoa. Au slaa ndie aliolewa. Kwangu mimi mgemkuta mhimbili asubuhi.
Tuko pamoja ktk hilo
 
Ila Gwajima ni msanii na amekamata Akili za watu wengi, yaani kwenye press conference anasafirisha waumini wake kwenda kumshangilia!!!

Mwambieni Slaa ajibu tuhuma kama ana ubavu! Wakati Slaa alituhumu kwa maneno matupu, Gwajima amejibu kwa ushahidi wa kufa mtu! Kibabu kwishney!!!!
 
WANAWAKE WASIKITISWA NA KAULI ZA GWAJIMA

Hatimaye kundi kubwa la wanawake Tanzania wakiongozwa na wenzao wa Dar es Salaam wamesikitishwa na kupinga kauli ya mchungaji Gwajima aliyoitoa hapo jana wakati anazungumza na wandishi wa habari. Katika maelezo yake mchungaji huyo anawaona wanawake kama ni viumbe dhaifu, wasio na maadili, wenye mapepo na wasio na thamani yeyote katika familia na jamii kwa ujumla. Akimtolea mfano mke wa Dr SLAA



Mchungaji huyo kutokana na kutofautiana kisiasa na Dr SLAA aliamua kufichua mambo yote ya siri za familia akieleza kuwa baada ya Dr SLAA kuondoka chadema amejitahidi kuongea na mke wa Dr SLAA ili wamshawishi abadilishe mawazo yake lakini hali ilikuwa tofauti.“Nilimpa maneno ya matumaini, nitamtafuta mkewe niongee nae, nilimtafuta mkewe hadi Rose Garden, nilianza mimi kumbembeleza amruhusu baba aendelee na hayo maelezo nimeyarokodi na mimi ni mtu wa kurekodi”.
Wanawake wanajiuliza kama ni kweli mtu anayejiita mtumishi wa Mungu kujihusisha na siasa hiyo haitoshi umeuthibishia ulimwengu kwa maelezo yako kutambua umuhimu wa wanawake afu bado unasema mama huyo hafai( WANAWAKE WOTE HAWAFAI), kama ulijua ana mapepo hafai kwa nni ulienda kumshawishi tena Hotelini na sio madhabahuni?.


Wanawake kweli wameshangazwa na mchungaji huyo kwa kusema hutambu umuhimu wa huyo mama wakati kuna kila dalili ya kutaka kumrubuni yeye na familia yake. Katika maelezo yake anasema “siku iliyofata tarehe 28, nilimuita yule mama Kibo Complex, tukakaa ndani ya gari yake tunazungumza”. Kweli mchungaji unakaa ndani ya gari na mke wa mtu afu unasema anamapepo HAFAI na ni maombezi gani unaweza kufanya na mke wa mtu zaidi ya masaa 3 kwenye gari?Hata hivo wanawake hao wameamua kufanya maandamano ya nchi nzima kupinga vitendo hivo vya kibaguzi, chuki, na unyanyasaji wa kijinsia aliofanyiwa mwanamke mwenzao.Pia taasisi mbalimbali za kiraia zitaungana na wanawake hao ktka kupinga kitendo hicho.

Jibuni hoja za Gwajima! Mwambieni Slaa ajibu hoja kama ana ubavu! Gwajima amemwaga ushahidi wa kufa mtu kuwa Slaa ni mwongo! Kuwa tatizo ni Kimada Josephine!
Nyie mnaolalamika INA maana mnakubaliana na kitendo cha Josephine kumfungia babu Slaa nje? Je mnakubaliana na kitendo cha Josephine kupora mume wa Rose Kamili? Mnakubaliana na kitendo cha Slaa cha kutelekeza mke na watoto wake?
Ningewaelewa kama mngekuwa mnamtetea mke wa ndoa wa Slaa Rose dhidi ya Josephine!
Inaonyesha na nyie wanawake mnaolalamika MNA tabia kama ya Josephine ya kupora waume za watu! Nawaomba wekeni picha zenu hapa ili wanawake wenzenu wachukue tahadhari wakiwaona mnajisogeza kwa waume zao waweze kuweka ulinzi stahiki!
 
Wanawake ni vema mkazidi kujitambua, safi sana

Yaani kujitambua ni kutetea mwanamke aliyepora mume wa mtu halafu akawa anamtesa kwa kumfungia nje? Hao bila shaka hawawakilishi wanawake waadilifu wa kitanzani!
Hao wanawake wanaolalamika ni wahuni tu na wao wanaishi kwa fadhila za waume wa wanawake wengine! Hebu waweke sura zao hapa tuwatathmini!!!!
 
Back
Top Bottom