TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,504
- 28,436
The whole system was Outsmarted by 'bishop'!
Mi si amini kama alirecord ila zimetengenezwa tu na kama bingwa wa kurecord kila kitu atuletee na record ya kamati kuu ambayo ilimpitisha Lowassa
Nikuulize mshana jr,kuna mitikasi ya kisiasa tunapanga pm,hata ile ya hatari,halafu kumbe mimi ni snitch..nikaja kukuanika huku,utaniacha kweli.
Gwajima kulisemea taifa juu ya siasa nikitu chema sana kwa mstakabali wa taifa, NB: Church movement kwenye nationalism.
Tatizo viongozi wa kikristo watapimwa kwa yard stick ambayo ni biblia takatifu. Wakipwaya watachanwa laivu. Ndiposa viongozi wa dini yawapasa wachunge ndimi zao.
Masikini amemvua hadi taulo
Kuna kiongozi mmoja wa imani nchini Kenya, aliwaamınisha waumini wake kuwa yeye ndiye Mungu.Bahati mbaya juzi kafarıkı.Sidhanı km Gwajima na huyo Mkenya ni vıongozi wa kiroho.
Ni kweli wakisema maaskofu sio uchochezi ila tatizo ni wakisema masheikh ni uchochezi,
Hivi bado UKAWA mnahangaika na Gwajima.Askofu anayepiga siasa fujo,hajakataa ushenga,hajakanusha kumuambia Slaa kuhusu maaskofu kuhongwa,aliitisha mashabiki badala yaWAANDISHIMbona tangu mwanzoni aliweka wazi kuwa asemi kama za ukweli au uongo. Yeye ameongelea dini zote buda, ukristo na uislam zilivuma kwa wakati wake.
Mbona unajichanganya?
Najua umeshindwa kuelewa pale niliposema kiongozi wa Imani na kiongozi wa kiroho.Kuna utofauti wa kimantiki.Hata Free massonary nı ımanı.
lakini mmoja asiingilie kazi ya mwenzie na kujiona yupo sawaEwe mchungaji fanya kazi ya kichungaji na wewe mwanasiasa fanya kazi ya siasa.