masatujr1985
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,980
- 780
Kumbe jamaa penda sana ile kitu ya chini eh!!! Jasiri haachi asili hata kama ni Padri teh teh teh. Saita sayu na mambo yetu ndo kwao bana
Ukikosea kuoa umekosea maisha kwa ujumla wake.
Huyu dada anatumia limbwata la aina gani?
Let the TRUTH BE SPOKEN!!!!!! Hahahaha mtaelewa tu wanaLumumba mwaka huu
Nyie acheni..hamjui yule mama anamfanya nini dr slaa... dr sla ukimuona tu yupo na yule mama anakuwa kama zezeta flan hivi. huwa hajitambui hata kidogo. mi siku zote najiuliza sababu ni nini.... sasa naelewa kuwa tatizo lilikuwa nini. maskini dr slaa amekuwa kama mjinga kama ndondocha hata hajielewe kwa yule mama tizama sasa anavyoumbuka. alidhani watu wangenyamaza tu? no hakuwah kufikiria kabisa kuwa haya yatafika huku. yule mama mswahili sana alitangaza kwa watu kuwa yeye atakuwa first lady? haaah. very childish and totally un-matured.
Kiongozi wa kiroho anazungumzia matatizo ya ndoa za watu kwasababu ya siasa ......Alafu badala ya kuja kukanusha maswali ya Dr Slaa anakuja kusema mambo ya ndani ....haya ndio matatizo ya uaskofu wa kupeana na mkeo .....maadili zero ....
Gwajima hajajibu hoja zaidi ya vijembe umbeya
Kama hayo uliyoeleza ni ya Gwajima,hakika nimepatwa na hofu juu ya viongozi wa dini ZA SIKU HIZI.
aaaah.jamani huyu anayeshawishi serkali kumfuta mtu kwenye uso wa dunia Tcra mki wapi?
serikali haiwezi kushikwa pabaya na kifaranga kama gwajima. ikiamua kumondoa kwenye uso wa nchi ni kazi ya dakika chache tu. bado yupo ana anabwabwaja kwakua sio tishio lolote kwa ustawi wa nchi hii. pumbavu.
Kumshambulia mtu on personal issues, ni dalili ya udhaifu wa mtu!
Mchungaji kabugi saaaanaaaaa.
toka lini gwajima anawaheshimu maaskofu wa kanisa katoriki au anasahau yeye ndie alimtukana baba askofu kadinali Pengo, halafu anajifanya anajua sana maana ya ndoa lakini anasahau yeye ni mtuhumiwa wa kuivunja ndoa ya Flora Mbasha bahati mbaya waandishi huwa wanaenda kama masanamu wanashindwa kuuliza maswali