Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Gwajima yuko kwenye timu ya kampeni ya Lowassa. Alichokifanya pale ni mkakati wa kampeni wa Lowassa.

Hata kama kampeni ya Lowasa nilipenda ajibu tofauti iliyokuwepo ambayo yeye alikwenda kusuluhisha. Maelezo kinaganaga ndio yangemsafisha sio habari za jikoni kwa Dr Slaa.
 
Tangu siku hiyo slaa sijasikia akilopoka

Kweli hata ningekuwa mimi nisingejibu, kwa maana hakuna hoja ya kujibu. Hoja ni siasa si unyumba. Kwa maneno mengine Gwajima hakujibu kiini cha hoja. Sasa Dr angejibu nini?
 
Kweli hata ningekuwa mimi nisingejibu, kwa maana hakuna hoja ya kujibu. Hoja ni siasa si unyumba. Kwa maneno mengine Gwajima hakujibu kiini cha hoja. Sasa Dr angejibu nini?

Watanzania tulitaka kujua ukweli kama slaa alitupiwa vilago nje na shemeji yetu
 
Kama huna la kuandika ni bora ukadowea dona na kushushia maji ya kandoro ukahesabu siku

Pengine mwenzangu , Mmawia, hujaisikiliza ile Press c ya Gwajima. Maana kama ningekuomba utoe sammary ya alichokionge na uhusianishe na yale aliyoongea Dr Slaa si dhani kama nitakwambia huna cha kuandika. Tatizo ni uwezo wake wa kujibu hoja.

Nami nilikuwa na hamu ya kuchambua hoja zake, lakini naambulia kuokota udaku tu. Jamani tusipoziopnya kampeni namna hii Tanzania itarudi nyuma. Tafakari.
 
Watanzania tulitaka kujua ukweli kama slaa alitupiwa vilago nje na shemeji yetu

Hilo la kutupiwa vilago si tatizo, binafsi nimeshafanyiwa hivyo sijui mwenzangu? Nasijui wangapi wametupiwa virago nje hapa JF? Ninaimani ni zaidi ya nusu, haya ni mambo ya ndani wala si ya kuwa kichwa cha habari ninapofika kazini kwangu.
 
Pengine mwenzangu , Mmawia, hujaisikiliza ile Press c ya Gwajima. Maana kama ningekuomba utoe sammary ya alichokionge na uhusianishe na yale aliyoongea Dr Slaa si dhani kama nitakwambia huna cha kuandika. Tatizo ni uwezo wake wa kujibu hoja.

Nami nilikuwa na hamu ya kuchambua hoja zake, lakini naambulia kuokota udaku tu. Jamani tusipoziopnya kampeni namna hii Tanzania itarudi nyuma. Tafakari.

Hatuhitaji kupaka mafuta maneno,tunahitaji mabadiliko tu
 
Hilo la kutupiwa vilago si tatizo, binafsi nimeshafanyiwa hivyo sijui mwenzangu? Nasijui wangapi wametupiwa virago nje hapa JF? Ninaimani ni zaidi ya nusu, haya ni mambo ya ndani wala si ya kuwa kichwa cha habari ninapofika kazini kwangu.

Ndio maana unamtetea sana slaa
 
Gwajima amesema hivi "Roketi ranger(Dr.Slaa) iliyotumiwa na CCM ili kusambaratisha ukawa, risasi zake zimemkosa adui, na moto umewaunguza wenyewe"

Kama ulivyoeleza mwenyewe " Mswahili jambo la kipumbavu likisemwa kizungu, anaona sawasawa kabisa!! J.K.Nyerere"

Nami nasema :
Mswahili jambo la kipumbavu likisemwa na ASKOFU, anaona sawasawa kabisa!!

Kaeni tena na mtafakari, kwani uchaguzi wa rais si lelemama.

Inawezekana Rocket ronger imefanya hivyo, lakini la msingi ni wewe unavyoamini. Yote ni siasa, mtu wa mwisho ni wewe mwenyewe.
 
Hatuhitaji kupaka mafuta maneno,tunahitaji mabadiliko tu

Ni kweli kabisa, MABADILIKO, ndio neno sahihi, na hapo tupo pamoja. Tunapotofautiana ni mabadiliko gani tunayataka watanzani, yale ya GWAJIMA ya udaku wa JIKONI au ya matatizo ya watanzania? Jibu analo kila mtanzania.

Gwajima anafikiri watanzania ni wajinga kila watachoambiwa na Askofu watafuata, amepotea. Yaweza kawapata wengi katika kanisa lake, lakini huu ni uwanja tofauti. Huu ni uwanja wa SIASA, ambao msikilizaji si tu anasikiliza na kukubali kama kule kanisani kwake bali tutahoji mara 1000. Hiyo ndio tofauti.
 
Kikubwa ni kuuondoa ccm magogoni
 
Mod: Hakukuwa na sababu ya kuimove hii Thread. Hii ni thread inayojitegemea kimaudhui. Huu ni uoga tu jinsi Gwajima alivyochambuliwa kitaalam. Kama hamtaki tupost thread tuambieni tu.

Mi nawaonya kuwa mtindo kama huu utafanya JF IFE MARA BAADA YA UCHAGUZI. Acheni tumchambue Gwajima. Nawahakikishieni kuwa huyu GWAJIMA hatalala usingizi kwa UDAKU wake. Dhambi hii itamfuata mpaka aadhirike.
 
Kwa kweli watanzania wenzangu kabisa kabisa na kwa moyo thabiti, nimekua nikimuangalia askofu Gwajima kwa jicho la tofauti hasa jinsi anavyofanya mambo yake nikagundua kwamba, kiukweli kabisa tukiacha ushabika na misimamo ya kidini tunahitaji viongozi wa dini wa aina yake.. kwanini?

Kwasababu kwanza anaujasiri wa kusema jambo katika uhalisia wake bila unafiki na bila kumumunya maneno pia bila uoga.

Kwa wale wakirsto yaani wafuasi wakirsto yesu tunaaminu kwamba yesu aliwahi kuingia hekaluni akakuta kuna fanyika biashara, akakasirika sana na kuanza kupiga mateke meza zilizotumika kwa biashara huku akizipindua na kumwaga vitu, alifungua mabanda ya ndege na kuwaachia waondoke bila idhini ya wenyewe, alifungulia mbuzi na kondoo wote wokaondoka kiholela wasijulikane walikokwenda, ili mradi hakutaka unafiki alifanya jambo ambalo ukiliangalia ni kama fujo..

Yote haya alifanya yesu kwakua alikua hataki unafiki na alipokasirika alitaka watu wajue kabisa kwamba hili limemuuma, aliweka wazi alikemea...wakati mwingine alipopishana mtazamo na Petro alimwambia kwa hasira rudi nyuma yangu shetani! Si kwasababu petro alikua shetani bali kwasababu alibisha asichokijua.

Sasa najiuliza kwa wanaomsimanga Gwajima kweli wanajua walifanyalo? Na je angefanya kama alivyofanya yesu tungemuita majina gani? Tafakari...
 
ona tunavyosapoti ujinga... amekuja hadi na ushahidi feki!! katengeneza sms akasahau kuedit tarehe... tunawapa airtime watu wasio na maana badala ya kusikiliza sera za mgombea
Akili za namna hiyo hawana, hajui kwamba watu wa usalama wa Taifa wako light years ahead of them
 
Kwanza kabisa na diclare interest mi dini yangu ni mwarasii kwa asili..usijesema nimeandika kwa lengo la kumpamba Gwajima..
 
Back
Top Bottom