me sijasikia kama Gwajima amemjibu Slaa nilichosikia Gwajima kamshambulia kwa maneno Dr Slaa na familia yake ufafanuzi tafadhari kwa mwenye taarifa kamili Gwajima kasemaje??
Huyu anafanya siasa za kipuuzi sana.!
me sijasikia kama Gwajima amemjibu Slaa nilichosikia Gwajima kamshambulia kwa maneno Dr Slaa na familia yake ufafanuzi tafadhari kwa mwenye taarifa kamili Gwajima kasemaje??
Wanajamvi, mimi siyo mwanasiasa na sina chama. Nimeona ujumbe mfupi wa sms uliotoka kwa daktari kwenda kwa Gwajima, na mengine mengi ambayo hayajanibariki. Hata hivyo ni kama majibu ya Gwajima kwa Dr. Silaa ambayo nahisi yeye(Dr) alidai watu waliotuhumiwa na press conferrence yake wajitokeze na kukanusha.
Ombi: Dr, huwa nakuaminia kwa weledi wako katika kujenga hoja, naomba ujitokeze tena hadharani umjibu pastor Gwajima.

Masikini amemvua hadi taulo
Ni bora ukosee Sehemu nyingine kuliko kukosea kuoa..Hawezi kwasababu katawaliwa na mkewe.
1-Dr Slaa alimtaja Gwajima kwamba amesema maaskofu wamehongwa, ulitaka hilo asilijibu?
Amjibu kwamba sio kweli.
2-Slaa alisema sababu ya yeye kuondoka ni ujio wa Lowasa na Gwajima akiwa mchenga, hilo amejibu
Sababu ni hawara wa slaa alimwambia asirudi chadema. tutaamini vipi maneno ya Gwajima, ndio maana akaonyesha sms ya slaa akisema anaacha siasa kwasababu ya familia yake na mlinzi alitoa ushahidi wa kilichotokea.