Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Mimi nilidhani anatoa majibu ya tuhuma zile za ufisadi
 
Ndugu watanzania wote ungana nami kwa Taarifa za Uhakika kutoka katika Mkutano wa Waandishi wa Habari na Askofu Gwajima sasa hivi.

Vituo vya TV vilivyoko hewani ni Channel 10 na Sibuka TV

More updates to follow!

12:28 PM
Waandishi wa habari waliofika mpaka ni kutoka:
Radio:
BBC, DW, RADIO ONE, CLOUDS FM, EAST AFRICA RADIO, WAPO RADIO na E-fm

Television:
Clouds Tv, Channel 10, Mlimani Tv, EA TV na Sibuka Tv

Bado waandishi wanaingia kwa wingi!

UPDATE
Askofu Gwajima ameshafika hapa Landmark Hotel, wageni na waandishi wanamsubiri Ukumbini
=========

Gwajima anaonyesha meseji aliyotumiwa na Dr. Slaa kuhusu kustaafu kwake siasa

Gwajima: Kama Dr. Slaa anakaja aje atoke hapa akane aone mambo ya mshenga yalivyo, watu wanashangaa Slaa anaweza kufanya haya! Si yeye ni mama. Slaa alikuwa adili, sasa uzoefu wa ndoa hana, bora sisi wachungaji tunaoa.

Nilimpa maneno ya matumaini, nitamtafuta mkewe niongee nae, nilimtafuta mkewe rose garden. Nilianza mimi kumbembeleza amruhusu baba aendelee na hayo maelezo nimeyarokodi na mimi ni mtu wa kurekodi. Alisema ameshawaambia watu yeye atakuwa first lady, siku iliyofata tarehe 28, nilimuita yule mama Kibo complex.

Tukakaa ndani ya gari yake, nilikuwa mimi na mtu mwingine, niliendelea kurekodi tena. Ilikuwa ni siku Lowassa anapokea kadi bahari beach, nawaonyesha hio sio kwa mumuone Slaa mbaya. Saa nane mchana akasema nimekubali Slaa arudi aingie kazini kwa sharti mkutano wa kumpokea Lowassa ufutwe. Nikamwambia hilo halitatokea milele.

Watu wengi sana wametumwa kuongea na yule mama, akiwemo mzee Ndesamburo ambae alishindwa kumpata yule mama, kumbe yule mama anaongea kwa karibu sana na mchungaji Max hivyo akampeleka Ndesa.

Mchungaji Max: Ilifika mahali chama kiliacha majukumu yote kumpata yule mama kuongea na Ndesamburo, yule mama alisema CHADEMA wanacheza mpaka waongee nami, alisema CHADEMA ni waongo na wanafiki, kwanini watufanya mpaka tumekosa urais. Mpaka juzi nilikuwa nawasiliane nae lakini maongezi yake kwa ujumla anasema kwanini wameachwa kugombea Urais, kwa jinsi alivyokuwa anaongea nikajua hata Dokta hawezi kuchomoka.

Slaa alisema Josephine amemfungia Serena, ukweli mimi naufahamu, ishu ipo kwa mkewe, Dr tumeshampoteza.

Gwajima:


UPDATE
Askofu Gwajima ahoji..."Kama Dr Slaa anaongozwa na kuendeshwa na mke wake kiasi hiki, Je angekua Rais nchi ingeongozwa na mke wake?"

Askofu pia anasema ....."Dr Slaa wa leo sio Dr Slaa wa mwaka mmoja uliopita!"
upuuzi mtupu..ndio mjue wachungaji wa makanisa fake ya kupiga dili..mchungaji intimate na wanasiasa, wafanyabiadhara wakubwa watabiri, hadi waganga wa kienyeji wakubwa. ni mshenga kuadi muongo etc, the whole episode is a planned drama. kuna kila sababu ya kuweka mamlaka ya ku regulate uendeshaji wa shughuli za kidini.
 
Mwanamke taifa kubwa, aweza kubomoa ndoa kwa mikono yake mwenyewe. Wanawake wakibadilika ni hatari sana yaani bora uishi na mnyama wa porini kuliko kuishi na mwanamke. Wanawake mi nawaogopa sana nyie, napenda kuwaangalia mkiwa mmevaa vimini tu!. Nawaheshimu sana! Heshma yenu akina uzao wa EVA/HAWA!
 
Hahahaaaaa Gwajima anatapika leo......

Huku kitaa masela wanamshangilia........
 
Exactly Mkuu,yan Ukawa Wanabaki Kushambulia Familia Ya Dr. Instead Ya Kujibu Hoja..Huyu Gwajima Atueleze Watz Kwanin Wewe Kiongoz Wadin Ujihusishe Na Siasa Tena Direct Kabisa?Hata Amiri Jesh Mkuu Anaweza Kuendeshwa Na Mkewe Sembuse Slaa,familia Ngap Kanisan Kwake Zinamatatizo Nazo Hzo Anazitangazaga Hadharan?

Hili ndilo ninaloliongelea hapa kila siku

Siasa inaingiza more personal issues zaidi ya issues za maendeleo ya watu...

Na katika hili hakuna wa kulikwepa...ninyi CCM mmebobea katika hili na sasa upinzani nao wamenunua kutoka kwenue kama best idea...

Tunaona kwenye kampeni za CCM...Na Dr. Slaa alifanya hivyo na kuattack watu kwa nguvu badala ya issues....

Sasa watu wanapo-retaliate hakuna namna nyingine...

Simnyooshei kidole Gwajima, Slaa, Makamba wala yeyote katika haya mavuvuzela yote....Bali sisi Watanzania kwa kuwaendekeza maana ndiyo ujinga tunaotaka usikia...

Tofauti ya ujinga huu ni kuwa ukiongelewa in favor of CCM unaonekana wa busara kwa pro-CCM na ukiongelewa in favor of CDM the same....

Ni ugonjwa tunaoufuga wenyewe
 
upuuzi mtupu..ndio mjue wachungaji wa makanisa fake ya kupiga dili..mchungaji intimate na wanasiasa, wafanyabiadhara wakubwa watabiri, hadi waganga wa kienyeji wakubwa. ni mshenga kuadi muongo etc, the whole episode is a planned drama. kuna kila sababu ya kuweka mamlaka ya ku regulate uendeshaji wa shughuli za kidini.

Mbona POVU mkuu?
 
Kiongozi wa kiroho anazungumzia matatizo ya ndoa za watu kwasababu ya siasa ......Alafu badala ya kuja kukanusha maswali ya Dr Slaa anakuja kusema mambo ya ndani ....haya ndio matatizo ya uaskofu wa kupeana na mkeo .....maadili zero ....

Kani ni MASWALI YAPI HAJAYAJIBU?
 
Kuna watu wanaleta ushabiki mandazi kwenye hoja za msingi dr slaa na wanalumumba walishajibiwa kuwa kma wana ushaidi waende mahakamani gwajima anachofanya nw nikujibu mapigo cz dr mihogo alimshambulia personall.
 
Hakuna hoja ya Slaa iliyo jibiwa na huyu tapeli zaidi ya mashambulizi binafsi....
 
Back
Top Bottom