Mimi nilidhani anatoa majibu ya tuhuma zile za ufisadi
upuuzi mtupu..ndio mjue wachungaji wa makanisa fake ya kupiga dili..mchungaji intimate na wanasiasa, wafanyabiadhara wakubwa watabiri, hadi waganga wa kienyeji wakubwa. ni mshenga kuadi muongo etc, the whole episode is a planned drama. kuna kila sababu ya kuweka mamlaka ya ku regulate uendeshaji wa shughuli za kidini.
Usalama ni usalama wa nchi siyo usalama wa CCM.Gwaa anawaonya Maafisa Usalama.
Siwezi kufanywa ----- na mwanamke maisha.
Dr Slaa legacy yake yote ameizika kwa siku moja.
Kukaa kimya kumewasaidia sana kina Prof Baregu na Prof Safari, kwangu mimi hawa ndio wana siasa wa mfano ndani ya CDM
Kiongozi wa kiroho anazungumzia matatizo ya ndoa za watu kwasababu ya siasa ......Alafu badala ya kuja kukanusha maswali ya Dr Slaa anakuja kusema mambo ya ndani ....haya ndio matatizo ya uaskofu wa kupeana na mkeo .....maadili zero ....