Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

naona watu mnamshambulia sana Gwajima..binafsi press conference yake alikuwa anclear the Air Mosi ni kuhusu shtuma kwamba ni Gwajima ndo alifanya mpango wa Lowassa kuja CDM wakti aliyeanzisha ni Slaa mwenyewe. Pili ni kuhusu kauli kuwa Slaa kaamua wilingly kuachana na siasa after CDM kumpokea Lowassa wakati kumbe ni Josephine ndo kashinikiza. Tatu kuhusu tuhuma za maaskofu kuohongwa na pia ka mnakumbuka ile press conference Slaa alisema kuna Bishop alipigaa simu mbele yake akiwa na Gwajima akitaka naye mgao as if Gwajima alikuwa anapioneer huo mgao. Gwajima hawezi kujibu kuhusu hoja za ufisadi za Lowassa maana hapo yeye c msemaji thou naona watu wanashadahia kuhusu ishu za ufisadi..hizo yampasa Lowassa ajibu n not Gwajima
 
mkutano wa gwajima waandishi wameonekana kumshangilia Lowasa na kuamua kumzomea muuliza swali ambaye hakupangwa pale alipombana gwajima! Huyu mtu analitakia nini taifa hili?

Wale ni walokole na wafuasi wa Gwajima na si wote waandishi wa Habari..mbunyali wewe! na nilikuwapo!
 
Mimi simuelewi kabisa huyu Gwajima, sasa yy ni mchungaji/au ni kada wa Chadema, anaongea mambo ya kisiasa kabisa na kutetea hija za kisiasa wakati yeye ni mtu wa dini, au ndo ametumwa na CHADEMA katika harakati za kuzima hoja za Slaa, anajimaliza kabisa kiroho, na wala waumini wenye uelewa wasigeweza kumuamini tena....ya kaisari mwachie kaisari na ya Mungu ampe Mungu
Kwani Slaa alivyomtaja Gwajima alimtaja kama mchungaji au ni kada wa Chadema??

Mwiba hua unatokea palepale ulipoingilia.
 
Kwenye mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya Landmark huku akishangiliwa na Waumini wake waliomfuata amesema Dr. Slaa amewatukana Maaskofu kwa kusema wamehongwa na Lowassa.

Tusikilize hii video ya Gwajima wakati na sakata lake na Kardinari Pengo , tujadili nani aliyetukana Slaa au yeye Gwajima.
[video=youtube_share;fGwpPuTr5so]http://youtu.be/fGwpPuTr5so[/video]
 
Dah gwajima mbona kajitoa muhanga hivyo ???
Sasa bila ushabiki Wa vyama sikiliza alicho kisema Dk Slaa na pia skiliza alichosema Gwajima ,tafakari kwa umakini jibu kaa nalo mwenyewe tukutane Oct 25
Tanzania ni yetu sote
Amani na Upendo ndio ngao yetu
 
Askofu kwa kweli sisi tunaona aibu,kumbe ukiwa na shida Lowasa anafika haraka?mmmh,unazungumzia mwenzako amezaa nje je wewe ni msafi kiasi cha kuwa wa kwanza kumrushia jiwe?Mungu akupe hekima i pray
 
Back
Top Bottom