luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,798
Dr.Slaa ndo kaanzisha hizi ligi....akaze roho
bila shaka yupo anaona?????
Dr.Slaa ndo kaanzisha hizi ligi....akaze roho
Lowasa na fedha zake wanaitumbukuza nchi vitani, inakuwaje waandishi wanaonyesha wazi kumshangilia na kuzomea wenye mtazamo tofauti? Si kawaida waandishi kushangilia upande wa Lowasa kama vile nao ni wakereketwa! Jamani fedha zinaangamiza taifa! Gwajima ameonyesha wazi analipwa na Lowasa eti ooh Lowasa ananisaidia nikimuita anakuja haraka! Wapi?
Nakiona kile ambacho kilijitokeza 1995 kwa kakobe ndicho kinachojitokeza,
Ki maadili, mchungaji haruhusiwi kutoa mambo ya familia za watu puplic, ametaja pia swala la liz 1
Sina uhakika kama hayo aliyoyasema ni yake..
Huenda anafanya compan ila hatari yake anapaswa kuwa na akiba ya maneno,
Dr, alisema kama ni kweli.. hakusema wamechukua..
Hakuwataja waisilam hum ndan yy kawataja..
Ninaamin sasa kuwa kwel alitembea na flora, na akamtengenezea kasi..
Ila mwisho wa mambo haya ni octoba 25,
Hamjapewa nchi mnakuwa na jeuri je mkipewa si ndo itakuwa balaa??
wote raia
Slaa ni nani katika hii nchi?
Dr. slaa hatakuwa na nguvu ya kuongelea tena personal issues nguvu yake imevunjwa leo
Hivi kuna mtu anaweza kufanya kitu kama hichi?
Wakati mwingine jamani tuone aibu
Si hawa ndiyo waliosema kuwa ni CCM ndiyo waliompeleka Slaa pale Serena?
Leo inakuja kuwa ni Josephine!
Hahahaha!
Basi tulia raia amjibu raia mwenzake
If the father in home doesn't care who should bear that burden then, tutaanza upya,
leo maaskofu wamekuwa wazuri wakati alimtukana Askofu Pengo kama motto mdogo? hana credibility ya kuongea huyu, mtu mwenye uwezo wa kumtukana mzee ambaye ni sawa na baba yake kama Askofu pengo, hawezi kuongea lolote la maana.
So far anaongelea maisha binafsi ya Dr. Slaa ambayo hatuyahitaji hapa (maana kila mmoja ana maisha ya mahusiano ambayo sio masafi), tunataka ajibu hoja kama ni kweli aliunganisha mchakato wa Lowasa kuhamia huko. kama issue ni kuachana na mke na kuwa na mke mwingine, mtafuteni mwenyekiti wa chama chenu mumuulize mkwe alivyompiga bao ustawi wa jamii na ndoa kutupwa kule kule sababu ya ufuksa wake.
Huku Gwajima amechemkaaaaa.....amei personalisr hii issue