Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,811
Kama Jiwe aliacha miradi ya gas na Bagamoyo...akaja na mambo yakeIla ana point, acheni ushabiki, ikiwa kila Rais akija anafanya yake, au anaacha ya mtangulizi wake na kufanya mengine mapya, ni hatari sana, sbb kuna mambo ni uti wa mgongo wa nchi, sasa ukikuta labda haijakamilika na kuiacha njiani, ni kukosa mipango ya maendeleo endelevu