Askofu Gwajima: Nchi imekosa maono, kila Rais anakuja na lake, ipo siku tutajuta

Ila ana point, acheni ushabiki, ikiwa kila Rais akija anafanya yake, au anaacha ya mtangulizi wake na kufanya mengine mapya, ni hatari sana, sbb kuna mambo ni uti wa mgongo wa nchi, sasa ukikuta labda haijakamilika na kuiacha njiani, ni kukosa mipango ya maendeleo endelevu
Kama Jiwe aliacha miradi ya gas na Bagamoyo...akaja na mambo yake
 
Ila ana point, acheni ushabiki, ikiwa kila Rais akija anafanya yake, au anaacha ya mtangulizi wake na kufanya mengine mapya, ni hatari sana, sbb kuna mambo ni uti wa mgongo wa nchi, sasa ukikuta labda haijakamilika na kuiacha njiani, ni kukosa mipango ya maendeleo endelevu
kuna maana gani ya vyama vingi... kama hata Hashimu Rungwe akiwa Rais hakuta kuwa na jipya? aelewe Ilani ya chama chetu ipo wazi hakuna Rais aliyeingia madarakani akatoka nje ya ilani...

Ilani ya CCM 2005-2010 CCM kuamia Dodoma Johnny Sack

mnjh.JPG


Ilani ya CCM 2005-10 Bandari ya Malindi - Rais Mwinyi anaendelea huko nazani taarifa mnazo ya hiki kitu huko malindi

2005-2010.JPG


Ilani ya CCM 2005-10 nazania taarifa za wafaranza mnazo kuhusu ujenzi wa uwanja wa dar... na taarifa za viwanja vingine kama songwe pia

2005.JPG


Ilani ya CCM 2005-10 nazani Taarifa za kuwatambua diaspora mnazo pia baada ya safari ya kikzi ya mama pale ulaya

200510.JPG


Ilani ya CCM mwaka 2005-10 na Reli mpya huku ikiendelea kutafuta pesa kuleta maendeleo

2010.JPG


YEHODAYA Last emperor pateni Muda wa kusoma soma hizi ilani zetu kutawasaidia sana... hapa nimeamua kukurejesha nyuma sana uone jinsi maisha ya CCM yalivyo ktk kuwaletea maendeleo wananchi wake....
 
Mikakati ya muda mrefu si ndiyo ipo kwenye ilani ya chama cha mapinduzi chenye kurasa 303
Kidumu Chama...... CCM Oyeeeeee!,

Ilani ya CCM 2010-15 Umeme wa Rufiji na utafutaji wa mafuta na gas, pia kuna njia ya dar mwanza itakuja tuwe wapole... hii ndio ccm

2010-15a.JPG


Ilani ya CCM juu ya DEMOKRASIA

ilani2005qa.JPG


Ilani ya ccm 2010-15 na madaraja lukuki

2010-15b madaraja.JPG


Ilani ya ccm 2010-15 reli mpya kwenda rwanda na burundi

2010-15c reli rwnd brnd.JPG


Ilani ya ccm 2010-15 ya bagamoyo mpya na zingine....

2010-15d bandari.JPG


Ilani ya CCM 2010 - 15 Juu ya usafiri wa anga na kununua madege...

2010-15e usafiri wa anga.JPG


Ilani ya CCM 2010-15 juu ya upanuzi wa barabara ya mbezi na ujenzi wa flyovers

2010-15f barabara mbezi na flyover.JPG


Ilani ya ccm 2010-15 juu ya kuamia dodoma hatua kwa hatua... ujenzi wa majengo ya wizara mbalimbali baada ya kukamilika mtandao wa barabara

2010-15g kuamia dodoma.JPG




YEHODAYA Last emperor Mshana Jr britanicca cocastic cocochanel Mohamed Said Zitto Saint Ivuga Maxence Melo Yna2 Aikambee financial services slip way Salary Slip

Dp800 wemamzuri Lu-ma-ga Fabolous Prince Kunta kolola Behaviourist Helixir Abrianna chinembe Phillipo Bukililo mzeewaSHY goodlif1600 Allency DON kina kirefu Swet-R Kilembwe AGITATOR pilipili kichaa jaap FUSO Gulwa Micho mapema KikulachoChako Larkin king suleman Daudi Mchambuzi sambulugu nyabhingi Mwana Mageuzi Covax Lucas philipo Josh J Subira the princess Pythagoras Sang'udi MGOGOHALISI Kambi ya Fisi sambulugu brazaj Blandes Noti bandia secret file denooJ KateMiddleton Matola GODZILLA utah jazz Ettore Bugatti Miss Madeko mdudu MALCOM LUMUMBA Mtafiti77 NOSWEAT Kennedy THE FIRST BORN TUJITEGEMEE Championship Mlachake Madukwa Peter Nipo huru Eng. Zezudu Kipangaspecial Paulsylvester Bams Saint Anne jonas amos Yoda allypipi Fiati Ikitotanzila Extrovert Me too Meagan tashwishwi tamsana beth chizcom Jay One
 
Kama Jiwe aliacha miradi ya gas na Bagamoyo...akaja na mambo yake
Mambo aliyokuja nayo hakuyatoa mbinguni... pata muda wa kupitia ilani ya chama vizuri... ni aliamua kuanza na jambo aliloanza nalo na mambo ya gas na bagamoyo yaliitaji muda kuyapitia vizuri hasa mikataba yake...

Ilani ya ccm 2015-20 mabarabara

2015-20a mabarabara.JPG



2015-20b mabarabara.JPG


ilani ya ccm 2015-20 Madaraja

2015-20c madaraja.JPG


Ilani ya CCM 2015-20 flyovers

2015-20d flyovers.JPG


Ilani ya CCM 2015-20 upanuzi wa miundombinu dar

2015-20e upanuzi wa miundombinu dar.JPG


Ilani ya CCM 2015-20 upanuzi wa miundombinu ktk majiji mengine

2015-20f majiji mengine.JPG


Ilani ya CCM 2015-20 Vivuko

2015-20g vivuko.JPG


Ilani ya CCM 2015-20 Reli mpya

2015-20h reli mpya.JPG


Ilani ya CCM 2015-20 Reli ya Kisasa

2015-20i reli ya kisasa.JPG


Ilani ya CCM 2015-20 mambo mengine na katiba mpya

2015-20j katiba mpya.JPG


Ilani ya CCM 2015-20 Juu ya umoja wetu afrika mashariki na sarafu yetu

2015-20k afrika masharik.JPG


Ilani ya CCM 2015-20 juu ya wafanyakazi

2015-20m wafanyakazi.JPG


Ilani ya CCM 2015-20 Juu ya mpango kazi wa kuhamia Dodoma

2015-20l dodoma.JPG



mrangi FaizaFoxy Depal konda msafi kareem kim Pascal Mayalla
 
Mambo aliyokuja nayo hakuyatoa mbinguni... pata muda wa kupitia ilani ya chama vizuri... ni aliamua kuanza na jambo aliloanza nalo na mambo ya gas na bagamoyo yaliitaji muda kuyapitia vizuri hasa mikataba yake...
Kwani wakati hiyo miradi inajadiliwa kwenye baraza la mawaziri yeye alikuwa wapi?
 
Mbona aliyepita aliacha yamtangulizi wake akaanzisha mapya na hakusema?
Tulieni nyie sukuma Gang zamu yenu ilishapita.
The past does not equal the future !! Nchi isiendeshwe kwa kusema mbona aliyepita alifanya hata kama ilikuwa haistahili kufanywa vile !! Mbunge Gwajima alitakiwa afafanue kwamba hayo maono yanatakiwa yaandikwe wapi ili Rais alazimike kuyafuata !! Na pia itakuwaje kama akikataa kuyafuata !! Mhe Mbunge hajafafanua !!
 
Kifupi Tanzania ni sawa na saluni ambayo mwendawazimu ambayo kila Raisi anayekuja anajifunzia kunyoa au kusuka mtindo unadhani yeye uko sawa

Ndio maana Kikwete alisema uraisi hausomewi .Nakubaliana naye hata Kibajaji aweza kuwa Raisi ndio maana baada ya tamko lile elfu 2915 CCM ilipata wagombea uraisi wataka kupitishwa na CCM zaidi ya 40 na kitu akiwemo mkulima darasa la saba toka kijijini kigoma aliyehamasika kuwa uraisi hausomewi kitaeleweka mbeleni akakopa milioni moja kununua fomu na pesa za kuzunguka kutafuta wadhamini!!

Kuna shida mahali uraisi nchi hii
 
Ulichokiwaza juzi ndicho unakiwaza leo! Juzi hukuwa na maono haya....leo maono yamekuja kupitia fikra na unayatoa kupitia kinywa ulichobarikiwa. Tatizo lipo wapi hapo?
Hakuna tatizo lolote. Anabadilika kulingana na mazingira. Mimi nasisitiza awe na msimamo endelevu kwenye masuala ya msingi na sio kubadilika kila wakati.
 
Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo

Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.

Kama alivyokuja John magufuli halafu akavuruga vuruga kila kitu.
 
Ameshindwa kusema kwamba tatizo ni katiba mpya. Ameona akisema hvyo wenzie watamnanga lkn alimaanisha tatizo ni katiba itakayo tengeneza taasisi imara ambayo ndio itamuongoza mtu na siyo mtu kui guide taasisi
Hapo ndipo palipoungua shoka pakabaki mpini !!
 
Hatuna mwongozo wa Taifa kutokana na ubovu wa katiba. Kila kitu kipo mikononi mwa Rais. Ndiyo maana hata yeye aliweza kuupata ubunge kwa njia chafu.

Tupiganie katiba mpya.
 
..Ni mambo yapi yaliyoachwa? Maana kama ni miradi Mama Samia kwa kiasi kikubwa anajitahidi kumalizia miradi mikubwa iliyoachwa na marehemu huku pia akianzisha na mengine.
Mradi wa kuua watu, kuteka, kutesa na kuwapoteza wanaokosoa, Mama hajauendeleza kwa uaminifu.
 
Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo

Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.


Angemlaumu kwanza jpm ambaye alikuwa anawatukana akina mkapa na jk kila akipewa maiki. Jpm ndo alianza kupandika mbegu mbaya ya chuki
 
Huyu hakupaswa kuwa bungeni kabisa angeendelea na kazi yake ya kuchunga kondoa za bwana, ila jpm kwa sabb ya ukabila na ukanda kaleta wakina Tom and Jerry
Kondoo gani? Sema kuchunga mazwazwa yasiyo kuwa na elimu Wala akili
 
Back
Top Bottom