Askofu Gwajima: Nchi imekosa maono, kila Rais anakuja na lake, ipo siku tutajuta

Gwajima ana hoja

Umemwelewa alichoongea ?
Kila Raisi akija anakuja na yake na kuponda ya mtangulizi wake...
Ni kweli ana hoja ndo sababu nchi kama Marekani rais anakabidhiwa national policy ambayo inampa direction ya nchi. Shida yangu ni moja tuu, je Magufuli angekuwa hai Gwajima angeongea haya?
 
Kujenga bandari.mpya bagamoyo kwenye ilani ya uchaguzi ya mwaka husika mwambie iko wapi? Sababu kila uchaguzi huwa tuna ilani ya CC ya kipindi hicho tunayoahidi tutafanya kwa Miaka mitano CCM tukiomba kura kaangalie ilani ya 2005 na 2010 kipindi cha Kikwete CCM tukiomba kura ni wapi ilani ilitamka kuhusu ujenzi wa bandari mpya bagamoyo
wataka katiba mpya hawataki kusoma yaliyo andikwa... je, katiba watasoma? watataka watu wasome na kuamua kwa niaba yao? au ndio wewe kama umeisoma sina mashaka nkabisa...
 
Ni kweli ana hoja ndo sababu nchi kama Marekani rais anakabidhiwa national policy ambayo inampa direction ya nchi. Shida yangu ni moja tuu, je Magufuli angekuwa hai Gwajima angeongea haya?
Akili sio static hata kichaa kuna siku aweza toa hoja .Si vizuri kuwa mtumwa wa historia
 
Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo

Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.

Analeta maono gani kama aliyakosa hata ya kugombea akashinda kwa jitihada zake mwenyewe??
 
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ni muhimu Tanzania kuwa na Dira ya Taifa ili kila Rais anayeingia Madarakani asimamie maono ya Nchi na si yake binafsi...
Wenye nchi yao wacha wajadili sisi wengine tulishahamia Burundi
 
Ameshindwa kusema kwamba tatizo ni katiba mpya. Ameona akisema hvyo wenzie watamnanga lkn alimaanisha tatizo ni katiba itakayo tengeneza taasisi imara ambayo ndio itamuongoza mtu na siyo mtu kui guide taasisi
Katiba liliyopo ina shida gani?
 
Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo...
Mzee wa fursa. JPM alipoacha ya watangulizi wake wakampamba kwa mapambio kua anayoosha nchi. Sasa hivi kwa kua aliyepo sio chaguo lao ndio wanakumbuka maono ya nchi. Tupa kule
 
Mbona aliyepita aliacha yamtangulizi wake akaanzisha mapya na hakusema?
Tulieni nyie sukuma Gang zamu yenu ilishapita.
Na ndiyo alichosema sikiliza acha chuki, naona shida yako ni Magufuli tu.DUUUUU chuki chuki chuki
 
Na ndiyo alichosema sikiliza acha chuki, naona shida yako ni Magufuli tu.DUUUUU chuki chuki chuki

Na ndiyo alichosema sikiliza acha chuki, naona shida yako ni Magufuli tu.DUUUUU chuki chuki chuki
Hao wanachojua kumtukana Magufuli! Kiufupi Gwajima anachosema vision iwe ajenda ya kitafa sio Rais! Kama ilivyo sasa Rais ndo hivyo tena mbele Giza!
 
Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo

Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.

Askofu Rashid sambamba na Jenerali Ulimwengu:

IMG_20220331_115838_847.jpg
 
Ili ndo jini linalotafuna nchi yetu ,tumekosa bunge imara la kutuwekea dira (mwongozo ,maana kila ajaye ana wazo lake nchi itaendelea vp
 
Hivi kwanini hawa marais wanaoongozwa na ilani ya chama chao lakini bado kila mmoja wao huja na lake na kuacha la mwenzake?

Ina maana hawaifuati ilani ya chama chao?

Kama jibu ni ndio, basi ile kauli ya Kinana kwamba CCM ndio wanaiagiza serikali na sio serikali kuiagiza CCM itakuwa ni batili.
Ilitakiwa tuwe na ilani ya taifa then vyama vipewe kazi ya kuutekeleza. Watupe mbinu za kuweza kuutekeleza ila sio Kila chama kike na ilani yake.
 
Hivi kwanini hawa marais wanaoongozwa na ilani ya chama chao lakini bado kila mmoja wao huja na lake na kuacha la mwenzake?

Ina maana hawaifuati ilani ya chama chao?

Kama jibu ni ndio, basi ile kauli ya Kinana kwamba CCM ndio wanaiagiza serikali na sio serikali kuiagiza CCM itakuwa ni batili.
Hili ndio tatizo kubwa "Ilani ya Chama" tunapaswa kuwa na "lani ya wananchi" ili sisi kama nchi tutambue vipaumbele vyetu ambavyo bila kujali nani atashinda uchaguzi, atekeleze vipaumbele hivyo, na akishindwa tum hold responsible! haya mambo ya ilani za chama yanatukwamisha sana.

Kuna kipindi nilikuwa naongea na kijana mmoja hivi Uingereza kuhusu mabadiliko ya serikali, akaniambia kuwa wao mara nyingi mabadiliko ya serikali hayaathiri vipaumbele vyao kama taifa, akanipa mfano wa ile railway network ya London almaaruf kama "London tubes" akasema ile imejengwa kwa zaidi ya miaka 100 ana aliyeanzisha ujenzi ule sio aliyemalizia na wala aliyemalizia hakutoka chama kimoja na aliyeanzisha! walifanikiwa hili kwa sababu waliweka ile reli kipaumbele kama taifa, haikuwa kipaumbele cha chama kimoja.
 
Rais anaongozwa na ilani ya chama Cha mapinduzi labda aseme ilani yao ni mbovu ndio nitamuelewa Japo kidogo
Ilani ya CCM sio mbovu kila Raisi akija kuna tabia ya kuchomekea yake ambayo hayamo kwenye ilani iliyotumika kumnadi ambayo huandikwa vizuri mno na wataalamu wabobezi kwenye mambo ya
 
Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo

Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.

Wakati msukuma mwenzanke anatawala hakuyaona haya?

Mnafki mkubwa huyu, mumuacha mama atawale kwa amani, Watanzania sasa tunapumuwa.
 
Back
Top Bottom