Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 8,322
- 19,244
Kumbe ninapiga soga na mtu mwenye upungufu wa maadili. Jumapili njema.Tuliza makalio mimi sijamtaja huyo mbowe wako,bwege we.
Kumbe ninapiga soga na mtu mwenye upungufu wa maadili. Jumapili njema.Tuliza makalio mimi sijamtaja huyo mbowe wako,bwege we.
DHARAU ni wewe kusema tuna SANAMU tuhii nchi ni kama hatuna amir jesh mkuu tuna sanamu tu
dharau zimezidi sasa
Wapi katajwa rais?Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Kisukuma sijui kwahiyo kama hujui kiswahili basi nenda chato makaburini kuna marehemu atakufafanulia.Nimekuomba unioneshe tusi, siyo kashifa.
Tatizo ni huyo mama mwenyewe anajifanya muungwana wakati hawa mijusi hawajui uungwana.
Kiongozi gani aliyemkusudia kwenye tuhuma zake kama sio rais.Wapi katajwa rais?
Wapinzani gani?..hana uungwana wowote hasa anapo-deal na wapinzani.
Nimekuomba unioneshe tusi, siyo kashifa.
Imagine lisu angesema hayaGwajima anatumia uhuru wake.
Kama porn star Gwajima.Kumbe ninapiga soga na mtu mwenye upungufu wa maadili. Jumapili njema.
Tuoneshe hilo tusi tu basi...mimi sijaiona video.
..lakini kama kinachoripotiwa ni kweli basi Gwajima amevuka mpaka.
..kudai kwamba viongozi wamechomwa chanjo feki ili kuwalaghai wananchi ni tuhuma nzito.
..na kama tuhuma hizo si za kweli basi Gwajima atakuwa amekashifu na kutukana.
Uhuru ni wa maoni sio facts, huwezi kusema soda za Coca Cola zina sumu halafu useme ni uhuru wa maoni.Gwajima anatumia uhuru wake.
Wapinzani gani?
Wamfutie haraka kwani hela anazowaibia watu mwenyewe anaita sadaka ndio zinampa kiburi.Huyu wanajipanga kumfutia usajili, Ile sheria ya kuhuisha usaijili Kila baada ya miaka 5 naona kama inamhusu vile.
ohooooJinsi Selikali ya Samia ilivyochambuka kwa sasaView attachment 1893270