#COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

Kitendo cha kuikashifu serikali kila kukicha kwa maamuzi yake maana yake ni kumkashifu kiongozi wake,kwani asiyetaka kuchanjwa ni yeye tu mbona hatusikii hizo kelele kutoka kwa wengine? Ana lake jambo huyo mbwa.
Zipi zingine utakazo? Mbona mamilion tumesema hapana katika chanjo! Wazazi wako standby dhidi ya watoto wao siku hizi ukiingi shule yoyote hakikisha hujashikilia kigaloni mkononi, ama koti la kuwaconfuse wakulungwa ama usiingie na gari hasa hizi land lover kimia kimia ndani ya dk chache wazazi washatia timu shuleni kuhakikisha watoto wao wasijelambwa JJ okocha! Haya ww unaepinga hayo huyaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Peleka huko chokochoko za udini. Koma kujaribu kuibua uzushi wa udini zama hizi

Huoni bi mkubwa anavojaza waisilamu kwenye serikali yake, Wakristo nao wakinyanyua hoja za udini unapakwenda?

KOMA
 
Zipi zingine utakazo? Mbona mamilion tumesema hapana katika chanjo! Wazazi wako standby dhidi ya watoto wao siku hizi ukiingi shule yoyote hakikisha hujashikilia kigaloni mkononi, ama koti la kuwaconfuse wakulungwa ama usiingie na gari hasa hizi land lover kimia kimia ndani ya dk chache wazazi washatia timu shuleni kuhakikisha watoto wao wasijelambwa JJ okocha! Haya ww unaepinga hayo huyaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona wapi hiyo chanjo wamepewa watoto? Chuki zenu zinasababisha taharuki bure kwa kueneza uongo huko mitaani.
 
Gwajima amesikika ndani ya kanisa lake akitoa kauli hiyo yenye tuhuma nzito, kwamba kuna viongozi wa Tanzania waliodanganya umma kwamba wanachanja kumbe si kweli, ili iwe chambo ya wananchi wengine kujitokeza kuchanja.

Hii si kauli ndogo , kuna msemo kwamba "mbwa akikuzoea sana iko siku atakufuata msikitini" sasa ni vema serikali ikanushe jambo hili au imtake Gwajima athibitishe kauli yake ili kulinda heshima ya viongozi wa nchi waliochanjwa.
 
Peleka huko chokochoko za udini... Koma kujaribu kuibua uzushi wa udini zama hizi.

Huoni bi mkubwa anavojaza waisilamu kwenye serikali yake, Wakristo nao wakinyanyua hoja za udini unapakwenda?!

KOMA
Wewe huna akili hivi unakosa aibu kabisa kuongea maneno ya kipuuzi kiasi hicho wakati wakristo ndio mmejazana huko.
 
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Mbowe Ni mkristu na amepewa kesi ya Ugaidi.
 
Kama nawaona CCM vs Gwajima

IMG_20210815_141158.jpg
 
Kitendo cha kuikashifu serikali kila kukicha kwa maamuzi yake maana yake ni kumkashifu kiongozi wake,kwani asiyetaka kuchanjwa ni yeye tu mbona hatusikii hizo kelele kutoka kwa wengine? Ana lake jambo huyo mbwa.
Nimekuomba unioneshe tusi, siyo kashifa.
 
Back
Top Bottom