#COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Wapi katajwa rais?
 
Huyu wanajipanga kumfutia usajili, Ile sheria ya kuhuisha usaijili Kila baada ya miaka 5 naona kama inamhusu vile.
 
Labda kama sikusikia vizuri lakini alikuwa anaelezea tukio la yule Afisa Elimu Arusha ambaye clip yake imezagaa mtandaoni akiwa ana fake kuchanjwa hadi ikapelekea waziri mwenye dhamana kutoa tamko hali iliyopelekea kusimamishwa kazi kwa Nurse na Afisa huyo.

Kwahiyo hapo ndo akaeleza kuwa lengo la huyo kiongozi ilikuwa ni nini kama siyo kuja kuanza kuwahamasisha wananchi kuchanja alimhali yeye hakuchanja.
 
Nimekuomba unioneshe tusi, siyo kashifa.

..mimi sijaiona video.

..lakini kama kinachoripotiwa ni kweli basi Gwajima amevuka mpaka.

..kudai kwamba viongozi wamechomwa chanjo feki ili kuwalaghai wananchi ni tuhuma nzito.

..na kama tuhuma hizo si za kweli basi Gwajima atakuwa amekashifu na kutukana.
 
..mimi sijaiona video.

..lakini kama kinachoripotiwa ni kweli basi Gwajima amevuka mpaka.

..kudai kwamba viongozi wamechomwa chanjo feki ili kuwalaghai wananchi ni tuhuma nzito.

..na kama tuhuma hizo si za kweli basi Gwajima atakuwa amekashifu na kutukana.
Tuoneshe hilo tusi tu basi.
 
Wapinzani gani?

..mfano, chadema.

..polisi walikwenda na mbwa kutawanya kongamano la Chadema.

..Je, huo ni uungwana?

..Tumeshuhudia watu waliovalia kiraia na kubeba silaha wakiwapiga na kuwakamata wafuasi wa Chadema mahakamani?

..Je, huo ni uungwana?
 
Tukisema LIKATIBA ni lakijinga hatuelewi, Yani mtu sio doctor lakini mishipa imemtoka kasoma vijitabu vyake tayari kajiona yeye mjanja.

Sio kwenye hili mpaka kwenye elimu yetu ,yani mtu kapewa uwaziri jana ,leo anataka kubadili mtaala. Tuna nchi nzuri, watu mzingo.

Yani linaweka attention kwenye ujinga wake ili watu wamuone anajua.
 
Back
Top Bottom