minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Pengo na marasusa ni makada wa CCM hata Bakwata wengi akiwemo Shekhe wa mkoa wa Dsm anayeshinda kutwa yupo Lumumba CCMHahahaaa
CCM ndio hamumpendi,ila Gwajima yeye ni askofu pia tena na Ubunge kagombea!
Kati ya Bagonza na Gwajima nani anashiriki siasa moja kwa moja?
CCM bwana,you motherfvckers are in a chronic paranoia!
Sijui mpoje yaani