Askofu Bagonza anahudumu Kanisa gani na kwanini anajihusisha na Siasa za moja kwa moja?

Bagonza ni katoriki?..

Yuke ni KKKT, tena wakati wa korona kalijishaua kufunga makanisa katika dayosis yake wakati wenzie wanasisitiza kuchukua tahadhari huku wanaomba...

Ni kadikteta kwenye dayosisi yake ajabu.

Kwa Bagonza phd yake ndio kila kitu wengine wote takataka. Kana majivuno na kabishi sana na fikiri uhaya na ule ufupi unachangia.
Hebu punguza jazba mataga.
 
Huyu Bagonza anaharibu siasa. Kiongozi wa dini hapaswi kufanya siasa za kichochezi
Mafundisho ya Mungu wa kweli ni kuhusu HAKI. Yesu alisema kuweni wamoja kama nilivyo mimi na Babangu.

Shetani hudhulumu na kupalilia mafarakano na ubaguzi. Mtumishi wa shetani huwabagua watu.
"Mkinichagulie mbunge na diwani toka mpinzani, mtajuta", Jiwe akihutubia Magu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afanye siasa za kumsifia Mgombea wa CCM tu kama wanavyofanya Gwajima,Zee Levi la Upako,Gamanywa,Askofu Pengo,etc?

Akimsifia Magufuli na CCM basi sio siasa za uchochezi,ila akisifia chama ambacho si CCM ni uchochezi...

Mavi ya Lowassa!
Mbona umepanic sana?
 
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Ujumbe uko wazi kabisa nadhani ni viongozi wa dini wachache wanaojali haki za waumini wao zaidi kuliko hofu zao na maslahi zao binafsi
 
Nimepaniki kutokana na wewe unavyoona,which is none of my business....

Nimetukana yes,kwasababu I cant tolerate this nonsense!

Too much nonsense around here!
Alafu unataka uhuru wa maoni?

Utaanza lini kuvumilia kusoma maoni usiyoyapenda?
 
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Kafie mbele
 
Huyu Bagonza anaharibu siasa. Kiongozi wa dini hapaswi kufanya siasa za kichochezi
Huu ujinga wa kutumia neno uchochezi kama rungu la kuwakomoa wakosoaji wa udhalimu wa utawala wenu ndiyo imepelekea CCM kupata wakati mgumu kwenye kampeni, watu wamechoka kumbambikia kesi kwa visingizio vya neno la kishetani neno haramu linaloitwa uchochezi
 
CCM huwapenda viongozi wa Dini wanafiki watupu lakini wale viongozi wa Dini wapenda haki huwa wanaitwa ni wachochezi na hapo ndipo CCM hutengeneza mazingira ya kuwakomoa kwa kuwabambikia kesi.
 
Hudhuria ibada mbali mbali makanisani hasa wale wa Imani ya Lisu na JPM, utasikia wazi wazi nani wanataka achaguliwe.
Maneno ya Askofu Bagonza yako neutral Mitano kwanza na Mitano tena; wote kumshuhudia Mungu - aliyepigwa risasi kadhaa akapona kwa muujiza wa Mungu na yule anayesema ameponyesha corona kwa uwezo wa Mungu,; hapo kaegemea upande gani? au kwa kuwa ameyasema akiwa kwenye mkutano wa Lisu mnatafsiri kuwa ameegemea kwa lisu?. Maneno yake ya mwisho ni nukuu ya maneno ya baba wa Taifa Mwalimu Nyerere!
Maneno kama hayo akiyasema kwenye mkutano wa JPM mtasema anaegemea kwake?
 
Bagonza ni wa kanisa Lutheran, na kwenye kila mkutano huwa tunakuwa na viongozi wa imani zote kwa ajili ya maombezi.

Una swali lingine Comrade?
Jibu Mujarabu Kabisa!!
Na Kwanini Iwe Bishop Bagonza
Hao Wanaojaa Vyama Vingine Mbona Huwa Hasemi
 
Alafu unataka uhuru wa maoni?

Utaanza lini kuvumilia kusoma maoni usiyoyapenda?
Sijakunyima kuyaandika..

Na mimi ni haki ya kuchukia maoni nisiyoyapenda...naruhusiwa kuyachukia au kuyapenda

Au wewe unataka yapendwe tu?GTFOH!

Unaruhusiwa kutukana pia,who cares?
 
Huyu Bagonza anaharibu siasa. Kiongozi wa dini hapaswi kufanya siasa za kichochezi
Kwa gwajiboy ni ruksa,mbona mnajiona mnahaki sana na hisia za watu!?juzi kati apo kabla ya mzee kurudi kwenye chaka lake,ulikuwa na point sana,sijui umekwama wap?
 
Basi kila mtu ashunde mechi zake aisee,

Na Magu tano tena hutaki kufa.
 
Back
Top Bottom