Askofu Bagonza anahudumu Kanisa gani na kwanini anajihusisha na Siasa za moja kwa moja?

CCM Mpya wao hits huita viongozi wa kidini na kuwahutubia kila mara, lakini hawa viongozi wachache wa kidini wanaoamini katika Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu imekuwa nogwa wakikutana na upande mbadala usio wa CCM Mpya !

.................................................................................

22 September 2020
Karagwe, Tanzania

Askofu Bagonza ...uchaguzi huu wa 2020 ni uchaguzi wa Mitano kwanza v/s Mitano tena hivyo wananchi fanyeni uamuzi wa busara kwa kuchagua kiongozi asiyeona haya kusema na kutenda HAKI

Ahsante kwa ushuhuda wa picha bwashee!
 
Neno kuu sana; "Chagueni Mgombea asiyeona aibu kutamuka neno HAKI" By Askofu Bagonza
 
CCM Mpya wao hits huita viongozi wa kidini na kuwahutubia kila mara, lakini hawa viongozi wachache wa kidini wanaoamini katika Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu imekuwa nogwa wakikutana na upande mbadala usio wa CCM Mpya !

.................................................................................

22 September 2020
Karagwe, Tanzania

Askofu Bagonza ...uchaguzi huu wa 2020 ni uchaguzi wa Mitano kwanza v/s Mitano tena hivyo wananchi fanyeni uamuzi wa busara kwa kuchagua kiongozi asiyeona haya (aibu) kusema na kutenda HAKI

Hakika Baba Askofu Bagonza ana roho wa Mungu na ni mwanafalsafa mahiri. Ameongea kiuweledi mno. Mwenye akili hasubiri kuambiwa mara ya pili. Ni LISSU 2020.
 
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaa

CCM ndio hamumpendi,ila Gwajima yeye ni askofu pia tena na Ubunge kagombea!

Kati ya Bagonza na Gwajima nani anashiriki siasa moja kwa moja?

CCM bwana,you motherfvckers are in a chronic paranoia!

Sijui mpoje yaani
 
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Itafute na clip yake uone alivyomchana Babako.

Mtanyooka.
 
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Kama ni wa RC basi amejiingiza kwenye matatizo na kanisa lake
 
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Vipi yule shehe ubwabwa wa d'salaam? Nyani haoni kundule.
 
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Pengo na Malasusa wapo makanisa gani?
 
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.

Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.

Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?

Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.

Maendeleo hayana vyama!
Naona mnaanza dalili za kutengeneza mazingira ya kumbambikia kesi
 
Back
Top Bottom